Search results

 1. B

  Naomba kujua namna ya kuingiza Mbuzi nchini kutoka Nje

  Habarini wana Jamii forum, naomba msaada jamani, nataka kuingiza mbuzi kama 10 aina ya Pure boer breed kutoka nje ya Nchi katika Port ya Dar. naomba kujua taratibu zote za uingizaji tafadhali.
 2. B

  Ng'ombe na mbuzi wa kisasa wanapatikana

  Watanzania tupo nyuma jamani kwanini hizi mbegu zitushinde ?? nadhani hatujaamua bado ...nipo nafuatilia wapi nitapata mbegu hizi za boer ..mm nina mbuzi za local
 3. B

  Habar wana forum ..naomba kujuzwa hili sina uelewa nalo.....mita 1 ya mraba ni 10,000/ ...Je nyumba ya kawaida ya vymba 4 na fenc inakuwa ni mita ngap

  Habar wana forum ..naomba kujuzwa hili sina uelewa nalo.....mita 1 ya mraba ni 10,000/ ...Je nyumba ya kawaida ya vyumba 4 na fenc inakuwa ni mita ngap za mraba na makadirio ya jumla ya bei yake hicho kiwanja ?? NAOMBA MSAADA
 4. B

  Kanisa Katoliki Tanzania hizi ‘ Kero ‘ tunazokutana nazo katika ‘ Jumuiya ‘ litafutieni ufumbuzi wa haraka

  NAAMINI IPO DIKU UTAKUWA MUISLAMU.. NA IPO SIKU UTAKUMBUKA MANENO NILOKUAMBIA .... POLE SANA ALLAH AKUBARIKI SANA
 5. B

  Kanisa Katoliki Tanzania hizi ‘ Kero ‘ tunazokutana nazo katika ‘ Jumuiya ‘ litafutieni ufumbuzi wa haraka

  MUNGU AKUSAMEHE SANA NA UKUONGOZE ....DINI SIO UTUMWA ILA DINI NI NJIA YA KUFIKIA MALENGO YALIYOEKWA NA ALIYEKUUMBA WEWE , AMBAYE AMEKUPA AKILI, NA UMBO ZURI SANA LA KUPENDEZA ...MUNGU AMEWEKA MASHARTI YAKE KWAMBA LAZIMA ABUUDIWE HILI SILO OMBI BALI NI LAZIMA ....MUNGU (ALLAH ) ANAKUBALI KBXA...
 6. B

  Kanisa Katoliki Tanzania hizi ‘ Kero ‘ tunazokutana nazo katika ‘ Jumuiya ‘ litafutieni ufumbuzi wa haraka

  POLE SANA NDUGU YANGU...KARIBU SANA KATIKA DINI ISIYO NA SHAKA HATA KIDOGO , NDIO DINI PEKEE AMBAYO MUNGU (ALLAH) AMEICHAGUA KUWA NDIO YA HAKI , DINI ISIYO KUWA NA UBABAISHAJI WALA KASORO .WALLAH NDUGU ZANGU HUWENDA BAADAE MTU AKAJA KULALAMIKA KUWA HAKUWAHI KUAMBIWA KUHUS UKWEL WA DINI YA UISLAM...
 7. B

  Naomba Msaada Jinsi ya kujisajili NACTE

  samahn ndugu nimekosea ...unaweza kufnya kupitia chuo moja kwa moja lakini vyuo ambvyo vimeruhusiwa na nacte
 8. B

  Ni jinsi gani ya kufanya udahili NACTE??

  mkuu naombeni msaada..... nina diploma in clinical medicine nataka kusoma advance diploma in anaesthesia au ophthalmology,inatake ya march/april...chuo gan naweza kupata cha priate tanzania.....msada plzzzzzzz kwa amayejua
 9. B

  Naomba Msaada Jinsi ya kujisajili NACTE

  hamna chuo cha afya kilicho ruhusiwa kuchuwa wanafunzi march/april intake ....subiri aug/ sept intake......according to nacte
Top Bottom