Search results

 1. B

  Kuridhishwa/ kutoridhishwa kwenye mapenzi na kupewa hela, kipi humpa kinyongo mwanamke?

  Waungwana, Najiuliza kati ya hawa mwanamke yupi huwa na kinyongo sana yaani, yule ambaye amekuja uka duu nae hakuridhishwa lakini ukamapa hela au ambaye amekuja ukamduu lakini ukamridhisha lakini hukumpa hela. Nawasilisha.
 2. B

  Hivi kati ya nyama ya bata na kuku ipi tamu?

  Nimekaa waungwan nkasema mnisaidie kat ya hao ndeg wawili ni yupi kati yao nyama yake inashikia hatamu kwa utamu???
 3. B

  Nyanda za juu kusin khaa!!! tunaharib majina..

  Wakuu kama kuna kanda hatujuii kuita majina basi sisi wa mbali na bahar tunaongoza mfano Henry tunaita henure Cliff tunaita kilifu Frank - furee au furankii Mengine mtanisaidiaa
 4. B

  Zama zimebadilika kuhusu watoto wetu

  Jamani naona kama hizi zama za sasa zimebadilika na sio tena zile za kusema kuwa ukimpa mtoto hela ya kula shule inamaanisha kuwa atakuwa mwizi. Maana leo nimepita shule moja ya msingi nikaona mtoto mmoja kashika sahani ya muhogo huku kundi la watoto kama saba wanamuomba awape vipande. Maono...
 5. B

  Tusipoamua sasa basi tutaendelea kuchelewa.

  Moja nadhani imefika muda tuamue kua ipi itakuwa lugha ya kufundishia kuanzia awali mpaka vyuo vikuuu kama ni english au kiswahili. Juzi kati hapa mjin mbeya kulikuwa na mchucho katika shule ya msingi mkapa ambayo ni shule ya serikali ilainatumia mitaala ya kingereza . Kulikuwa na watoto zaid...
 6. B

  Dawa ya mchepuko ni kuichafua tu!

  Leo narudi kibaruani ile nafika nikaingia ndani, mke wangu kanikaribisha kanipokea maliboro. Baada ya dakika kumi nasikia paaaa mara tena paaaa! Ikabidi nitoke nje namuona mpangaji mwenzangu anatoka kichapo kwa mdada full tandam imetitia utadhani imebeba kabeji. Yanu inachezee vitasa huku jamaa...
 7. B

  Dhana ya uhanithi na kukatika kwa kitovu.

  Toka nimepata akili kuna dhana tumejengewa kuwa mtoto akizaliwa ususani wa kiume ,basi shart mzazi mwangaloe kwa makin na kuwa kitovu kikikatika kisidondokee kweny uchochoro wa uboo. Tafadhali naomba majib ya kiitalaam yaan kibailogia kitov kukatika kuna WiFi ipi anyopelekea mashine isifanye...
 8. B

  Usaili wilaya ya Mbalala katika kazi ya mtendaji kijiji. Kuna mwenye taarifa ya siku ya usahili?

  Jaman usaili mbalali bado kwa kada ya afisa mtendaj wa kijiji? Washaita au mi ndo nimepitwa???
 9. B

  Mbeya: Polisi wawakaba pabaya madereva wa Bajaji

  Tangu wiki ianze Polisi wanakamata bajaji. Hakuna kupakia watu zaidi ya watatu Pili watoe ngao, yaan imesababisha usumbufu mpaka imefikia Polisi wanakimbizana na bajaji utadhan majambazi. Kwa maana hiyo zamani alikuwa anapakia vichwa sita au vitano kaipiga root akiwa full anaenda na 2500 akirud...
Top Bottom