Hi wapendwa,
Naomba kuwashirikisha jambo hili na pia kunipa ushauri shida ni nini, mimi ni kijana wa kiume,niko kwa mahusiano muda tu na nimekuwa nikishiriki tendo vzuri tu lakini imetokea hivi karibuni tu kuwa ninapomaliza kupee bao la pili kichwa kinauma balaa .
Yani naweza shinda usiku...
Kama ilivyo kawaida yake mzee wa Surpries mheshimiwa kanali dokta JEYKEY anatarajia kuushangaza umma leo kwa kutoa jina la Waziri mkuu ambaye watu hawataamini masikioni mwao! Tumeanza na sita sasa Subirini!
UPDATES:
JK akabidhi rasmi jina la Waziri Mkuu kwa Spika Anne Makinda!!
JINA...
Nimekuwa na tabia ya kufanya punyeto na ni kwa muda mrefu kiasi kwamba hata nahisi kupungukiwa na nguvu za kiume!! Hivi kuna tiba gani mana ninapokutana na mwanamke kileleni ni dakika 2 tu. Lakini goli hata nne tano zinafika sijui mwenzenu nifanyeje naomba msaada mana tabia hii yanikera
Si kama nina chuki binafsi ila ctaki kukiamini hiki ambacho huyu mrithi wa maximo alichokifanya cha kumteua mwai kimba staz na kumuacha mgosi hivi kweli linaingia akilini au hiyo staz ni ya majaribio! Hebu tulijadili hili wadau.
kama kuna cku ambayo ccm(chaka chua matokeo) mtafanya makosa na kuliacha bunge likaongozwa na fisadi ni leo!! Sasa kazi kwenu mtuletee huyo vgcent wenu!! Cjui hilo bunge litakuwaje!!
Kwani tanzania ilikuwa haina rais,waziri mkuu na mawaziri? Sasa anayeapishwa c alikuwa rais hata cku tunapiga kura,matokeo hayajatangazwa .............................mi sielewi