Search results

 1. achengula

  App ya Ufugaji wa mifugo mbalimbali

  App inapatikana google play store kwa jina la Ufugaji au ipakue kupitia kiunganishi hiki https://play.google.com/store/apps/details?id=ifugaji.app.tanzania.kilimo Au nenda moja kwa moja kwenye Tovuti ya Ufugaji kupitia kiunganishi hiki hapa chini (no title)
 2. achengula

  Msaada: Nawezaje kuedit maneno kwenye hii doc?

  Wana Jf, naombeni msaada nime attach hapa word doc kuna maneno nataka kuyaedit yananishinda, naeditije na je ni software gani imetumika kutengeneza hayo maneno. Natanguliza shukrani.
 3. achengula

  Msaada: Lenovo Tablet 2 ukiwasha inajizima baada ya sekunde chache

  Ndugu wanajamiiforum, Tablet nilikuwa nimeiacha kwenye umeme kwa muda wa saa moja hivi huku ikiwa na muvi inaendela kucheza wakati ina download windows 10 kwa ajili ya ku upgrade kutoka windows 8.1. Nili opt idownload kwanza ikimaliza ndo niinstall. Kilichonishangaza nitakuta imejizima na umeme...
 4. achengula

  Tovuti ya ufugaji wa mifugo mbalimbali

  Tembelea hapa ufugaji.co.tz TOVUTI YA UFUGAJI ni tovuti iliyobadilishwa kutoka blogu ya SEKTA YA MIFUGO TANZANIA iliyoanzishwa mnamo mwaka 2012 kwa lengo la kumuelimisha mfugaji au mtu anayetaka kuanza ufugaji wa mifugo ya aina mbalimbali namna ya kufanya ufugaji wenye tija. Mfugaji au mfugaji...
 5. achengula

  Msaada kuunganisha Internet ya tigo kwenye windows 8 tablet

  Nijitaka ku connect naambiwa nijaze: 1.Access Point Name (APN) 2.Username 3.Password 4. Ni select authentication type (none, PAP, CHAP, MS-CHAP v2) Nimewapigia tigo wamenipa APN: tigoweb, Account name: tigointernet, Nimejaribu zimekataa, nimeshajiunga na bando tayari kwa simu. Nahitaji...
 6. achengula

  Huduma ya bure ya ushauri kwa wakulima na wafugaji kwa njia ya simu

  Pata ushauri wa bure kuhusiana na kilimo kwa njia ya simu kupitia mtandao wa ushauri kwa wakulima (MUWA). MUWA inaratibiwa na mradi wa EPINAV - 'MOBILE FOR IMPROVING AGRICULTURE EXTENSION SERVICE', uliopo Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo. MUWA inawawezesha wakulima kupata ushauri katika mambo...
 7. achengula

  Msaada uwekaji contents kwenye uploaded template ya blog

  Ninablog yangu iliyokuwa inatumia template ya google lakini nilikuwa nashindwa kuweka heading zenye dropdown list mwanzoni mwa blog. Hivyo nimedownload template nikaupload kisha nikaedit hizo heading na droplist ziendane na kile ninacho kitaka kupitia HTML code (Simtaalamu wa ke edit codes...
 8. achengula

  Msaada: Calibration setting za Sony Bravia TV

  Wakuu naombeni msaada mtu mwenye calibration setting nzuri za SONY BRAVIA TV 32 LEDModel: KLV-33R4024. Picha hazina ubora mzuri kama nilivyotarajia na kwa mbali zinaonekana kuzibwa na mithili ya ukungu. Nimejaribu ku google sijafanikiwa.
 9. achengula

  Msaada wa Kamusi ya TUKI

  Wana JF, Naomba mwenye dictionary ya TUKI ya Eng-Swa-Eng ambayo ni ya kuinstall kwenye computer. Natanguliza shukrani.
 10. achengula

  Nafunguaje progrma za msi ili ni install

  Habari wana JF, Natumia laptop yenye window 8. Nashindwa ku-install program aina ya msi na nyingine zenye mfumo wa zip. Nilitaka kuinstall swahili dictionary ya TUKI ndipo nilipo anza kuona hilo tatizo, sasa nikataka ni-install winzip nayo inakataa maana ipo katika mfumo wa msi.Sasa sijui...
 11. achengula

  Nafasi za kazi SUA

  Vacancy Vacancy Monday, 10 March 2014 09:22 The Management of Sokoine University of Agriculture (SUA) invites qualified Tanzanians to apply for positions for Tutorial Assistants (TA’s) (<35 yrs of age) and Assistant Lecturers (<45 years). Applicants are advised to note that the minimum GPA...
 12. achengula

  Masada: Samsung galaxy note 1 haiwaki

  Ndugu yangu ana simu ya galaxy note one. Iliisha charge na kuzima, akaicharge ikawa asilimia 60 hivi. Akajaribu kuiwasha ikawa inafika kwenye maneno Samsung galaxy note one kisha inazima. Baadaye akijaribu kuiwasha haiwaki kabisa. Msaada tattoo hapa linawezekana kuwa nini? Natanguliza shukrani. .
 13. achengula

  Uninstalling Windows programs in Linux mint 16

  Msaada kuna program za Windows ambazo nimeinstall kwenye Linux. Sasa naona baadhi hazifanyi kazi vizuri naziondoaje maana nimejaribu kwa njia ya terminal hazitoki. Naombeni msaada wanajf.
 14. achengula

  Messrs: Laptop inanipa ujumbe NO SUCH PARTITION

  Wana JF, laptop yangu kunapartion nimeona delete kimakosa lengo ilikuwa ni kushirink kasa ikaenda kwenye kudelete. Haikuwa drive C. Sasa laptop ikiwaka inanipa ujumbe juu -Error: No such partition Entering rescue mode Grub rescue> Msaada nifanyeje ili iwake normally? Natanguliza shukrani.
 15. achengula

  Walioitwa kwenye usaili chuo kikuu cha SUA

  MAJINA YA WALIOOMBA NAFASI MBALIMBALI KWA AJILI YA USAILI HAYA HAPA http://achengula.blogspot.com/
 16. achengula

  Get 20 gb free online storage

  Follow the link below to download and install the Copy software to start enjoying the 20 GB free online storage, I now have 50 GB online free storage from the same. https://copy.com?r=wWAMtC
 17. achengula

  Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo chatangaza nafasi za kazi

  SOMA ZAID HAPA SEKTA YA MIFUGO TANZANIA
 18. achengula

  Hivi hii kitu ni kweli au?

  Tumia mtandao wowote unaoupenda huku ukilipwa na Perfect Internet Tunatumia fb na mitandao mingine bila kulipwa hata senti tano. Kwa nini usijiunge na Perfect Internet ukapakua (download) Perfect App ambayo itakuwezesha kutumia mitandao kama fb lakini wakati huo huo ukiwa mwanachama wa kulipwa...
 19. achengula

  Get 20 GB free online storage

  Sign up for Copy and get 20 GB free online storage, follow the link below to sign up and download the desktop software https://next-d.copy.com?r=wWAMtC
 20. achengula

  Wataalamu wa MacBook Air: Ushauri nataka kununua

  Nahitaji kununua Laptop nzuri, mtu mmoja kanipa ushauri kwamba MacBook Air ni nzuri zaidi naomba ushauri kwa mwenye ufahamu wa laptop au ambaye ameshatumia MacBook Air anaweza kunisaidia kama nikanunue au vipi? Na specification zake ziweje kwa MacBook Nzuri. Msaada tafadhali.
Top Bottom