Search results

 1. Juakali jr

  Madereva tuache tabia hizi

  madereva wa siku hizi wamekua wakuda sana yani hadi kero. Ngoja kwanza tutambue ukuda ni upi. 1. Upo barabara kuu hamna matuta wala kizuizi chochote lakini wewe unaamua kuendesha 30 kmph (sio kosa), nyuma yako kuna gari linataka kuovertake lakini haliwezi sababu upande wa pili upo busy, pale...
 2. Juakali jr

  Ushabiki wa siasa za nchi sio kama wa Simba na Yanga

  Wakuu kama kichwa kinavyojieleza hapa juu, sitapenda kurudia kusema yaliyosemwa na wengine kwenye uchaguzi huu. Ila mwenye hekima ataweza kutofautisha madhara ya ushabiki wa timu za mpira na ushabiki wa siasa za nchi, tutakapoamua kushabikia siasa kama tunavyoshabikia Simba na Yanga tujue...
 3. Juakali jr

  Pancha kwenye upande wa tairi

  Wakuu nimefuatilia kwenye mtandao inasemekana tairi likipata pancha yeyote kwenye sidewall sio vizuri kuiziba. Wajuzi hebu tusaidie pancha ya kama kwenye picha hapo tunatupa tairi.
 4. Juakali jr

  redio ya gari inaomba sd card

  Habari wakuu, Naombi msaada wa jinsi au mtu anayeweza kuondoa error ya kwenye redio ya gari aina ya eclipse avn-g04. Ambayo inaonesha kama vile inataka sd card [UPDATE] Kulingana na mawazo ya wataalam mbalimbali nimegundua kuwa hizi redio zinakua na sd card yake (memory card kama ya camera au...
Top Bottom