Search results

 1. N

  Ipi nzuri kati ya infinix na Oppo ya Mchina

  Natumia Redmi S2 toka August 2018,iko vizuri sana kila kitu,na nilianza kuzifuatilia hizi simu kupitia maandiko ya Chief Mkwawa,ila upande wa Camera haina ubora mzuri,ila sekta zingine is among of the best phone kwa watu wa kipato cha wastani. Kingine ni moja ya simu zinazotunza chaji kwa muda...
 2. N

  Azam TV ina matatizo ya kiufundi

  Niliwahi kukutana na upumbafu DSTV,king'amuzi kilikuwa kinaleta meseji katikati ya screen na hata ufanye nini haitoki,kuwaeendea wananiambia king'amuzi kimekuwa ni cha siku nyingi natakiwa kununua kingine,nikawaambia maisha yenyewe manati na pia hamkuniambia ni baada ya muda gani kitakuwa ni cha...
 3. N

  Kanisa Katoliki lagoma kumzika bilionea wa Ngurudoto

  Mkuu si hukumu,hayo ni maamuzi ya kanisa,hakuna hukumu hapo ni kanisa kama kanisa limeona hastahili kupata huduma ambayo wakati akiwa hai hakuithamini.
 4. N

  Nimepata vidonda kama picha inavyoonesha. Je, ni ugonjwa gani huo?

  Because there's opening wound in this matter, erythromycin can work as anti staphylococcal antibiotics, in case the patient is itching Cetrizine might work as antihistamine,as long as we only see the picture without clacking the complain we cant be sure 100% with the treatment, cha msingi...
 5. N

  Wataalamu msaada 'Bechet's disease and Oral Candidiasis'

  Wataalamu wa afya msaada wa elimu ya afya,Tunaomba msaada wenu tupate ufafanuzi juu ya haya magonjwa ya kinywa maana yanafanana kwa dalili lakini naangalia approach ya matibabu yake yaweza kuwa tofauti. Tupate mtaalamu wa afya ya kinywa na meno atusaidie.
 6. N

  Mbunge Ally Kessy: Road licence ihamishiwe kwenye mafuta(petrol & diesel)

  katoa mfano tu, sio pendekezo...akili hizi !!!1 pole pole tu tutafika
 7. N

  Chunusi: Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

  soma definition ya cream hata google then ndo ulivyokurupuka ukurupuke vizuri...
 8. N

  Navumilia mateso ya moyo kwaajili ya mtoto wangu

  hapa asilimia kubwa ya wanaume wa kitanzania wanaulemavu,kutamka ni vigumu
 9. N

  Vifo vya Wanafunzi Arusha: TBC mmetutia Aibu kubwa

  Ni kweli,ila TBC iliyokuwa na Tija ni ile ya TIDO,sasa hivi Pumba zimezidi,ubunifu Duni,Hawana hata clips kwenye maktaba zao wakawaangalia watu kama kina Betty Mkwasa walivyokuwa wakiripoti matukio kipindi cha msiba wa baba wa Taifa,au Jerry Muro kipindi akiwa TBC.
 10. N

  Vifo vya Wanafunzi Arusha: TBC mmetutia Aibu kubwa

  sikuelewi nini maana yako?
 11. N

  Yaliyojiri jijini Arusha katika kuaga Miili ya Wanafunzi wa Lucky Vincent waliopata ajali ya gari

  Nani kaleta siasa ?usitutoe kwenye maombelezo basi na mihisia yako.
 12. N

  Vifo vya Wanafunzi Arusha: TBC mmetutia Aibu kubwa

  Jana kuanzia mida ya saa tisa hivi walikuwa wakionesha ila mahojiano na mwakilishi wao kama jina sijalikosea Mark Mkwame hayakuwa yaliyolenga kutoa majibu kwa Watanzania,Mfano badala ya kujikita zaidi kwenye suala la ajali na nini huenda kilisababisha tatizo la ajali hiyo je tahadhari zipi...
 13. N

  Mtoto wa flora Mbasha akiwa na baba yake mpya

  Siunaina ndo lugha ya nchi gani? Huko kolomije ndo huwa mnaitumia?
 14. N

  Je, Unene ni ishara ya mafanikio?

  Mkuu usipotee please,hebu Ongelea mijamaa yenye mitumbo mikubwa utafikiri imebeba mizigo ya mwizi,na mashavu manene utafikiri kameza paka wa muhimbili,achana na hawa wauza sura wenye rangi za kuchovya na kubandika vi-plastic hairs akiwa anaongea anatikisa vinywele kawa wazungu wakati hakuna kitu...
 15. N

  Je, Unene ni ishara ya mafanikio?

  Check watu kama Aliko Dangote,Mohamed Dewji,Reginald Mengi,Diamond Platnum,Bill Gates? Halafu mwanaume ukinenepa sana ka shafti kanakuwa kadogo utafikiri kitovu,wengi wanaishia kupigiwa tu na mashamba boi wao,watu wanabaki kusema ohh wanawake wengine ovyo kabisa,nyumba kajengewa,gari kanunuliwa...
Top Bottom