Search results

  1. B

    Naomba kujua namna ya kuingiza Mbuzi nchini kutoka Nje

    Habarini wana Jamii forum, naomba msaada jamani, nataka kuingiza mbuzi kama 10 aina ya Pure boer breed kutoka nje ya Nchi katika Port ya Dar. naomba kujua taratibu zote za uingizaji tafadhali.
  2. B

    Habar wana forum ..naomba kujuzwa hili sina uelewa nalo.....mita 1 ya mraba ni 10,000/ ...Je nyumba ya kawaida ya vymba 4 na fenc inakuwa ni mita ngap

    Habar wana forum ..naomba kujuzwa hili sina uelewa nalo.....mita 1 ya mraba ni 10,000/ ...Je nyumba ya kawaida ya vyumba 4 na fenc inakuwa ni mita ngap za mraba na makadirio ya jumla ya bei yake hicho kiwanja ?? NAOMBA MSAADA
Top Bottom