Habari wakuu!
Nina mdogo wangu alihitimu form four mwaka 2017 lakini kwa bahati mbaya kutokana na ubabaishaji wa shule aliyokuwa anasoma(shule ya private) uongozi wa shule haukulipia ada ya mtihani ya wanafunzi hali iliyopelekea matokeo yao kufungiwa.
Naomba mnisaidie procedures za kufuata ili...
Habari wana Jf wakati naendelea na kazi zangu hapa pc yangu imecollapse ghafla ikanambia your pc run ito ploblem you need to restart ikajizima na kurestart yenyewe lakini ghafla tena ikacollapse na mara hii inashtuka na kuzima.
Sasa naomba wataalamu mnieleze tatizo ninini na inatakiwa...
Habari wanajamvi wa JamiiForums. Kwa muda mrefu nimekuwa nikiutumia kusikiliza RFA hususani kuanzia ile saa 12:00 asbh Hadi 1:00 asubuhi, lengo likuwa ni kusikiliza kipindi cha BBC na magazeti hiyo asbh kabla sijaingia job.
Lakini huwa naenjoy sana siku za weekend ambapo huyu mtangazaji Denis...
Samahani wanaJamiiForums nipo kitaa maeneo fulani jijini Dodoma. Kwa muda mrefu nimekuwa nikijishughulisha na upigaji picha kwa kutumia simu yangu na mpaka Sasa nimefikia hatua ya kutengeneza jina.
Sasa tatizo ni kwamba imekuwa ni vigumu kwenda na simu kupiga picha kwenye matukio Kama harusi...
Leo mida ya jioni nimeondoka na jamaa angu kwenda kupata huduma sehemu umbali wa Kama km10 hivi na usafiri wetu ukiwa ni pikipiki. Kwa bahati mbaya baada ya kufika tu mwisho wa Safari yetu, mvua kubwa ikaanza kunyesha na kupelekea mafuriko makubwa. Ikabidi mwenyeji wetu atupe hifadhi maana njia...
Kwa wafuatiliaji wa huu mchezo wetu pendwa wa soka, watakubaliana na Mimi kuwa tangu yanga wapate uongozi mpya kumekuwa na utulivu wa Hali ya juu huku utekelezaji kwa vitendo kwa Yale waliyo yaahidi ukionekana.
Nafikiri msimu ujao wapinzani wajiandae kisaikolojia maana pamoja na Hali mbaya...