Search results

 1. minda

  Nini maana ya mzeiya au mzeia?

  Nimekua nikisoma majibu kwa watoa post, "pouwa mzeiya." maana yake nini?
 2. minda

  Today is my birthday

  thank you god for the gift of life, a life of peace, joy and serenity; full of charming parents, family, and friends. On my birthday, i always ask you to endow me with your spirit; that i may love as to be loved; that i may serve as to be served and that my existence may make a difference...
 3. minda

  rihana na brown wamerudiana?

  habari zinazopatikana mitandaoni zinadai "wapenzi" hao wameanza kupeana miadi inayoashiria ujio wa kurudiana. ikadaiwa kwamba ni ri ri ndiye aliyeanza uchokozi huo kwenye mtandao wa twita. wa kale walisema wagombanao ndio wapatanoa! tusishangae kama hiyo sapraizi ipo kweli.
 4. minda

  makubwa: Lucky is a woman who is a man's last love; lucky is a man who is a woman's first love.

  kwamba mwanamke afaidie penzi la mwanaume ni yule wa mwisho kati ya wale aliowapitia huyo dume? kwamba mwanaume afaidie penzi la mwanamke ni yule wa kwanza kwa vile 'njia' itakuwa bado haijaiharibiwa? haya ni maneno kwenye 'signature' ya mkuu mmoja. guess who?
 5. minda

  makubwa: Lucky is a woman who is a man's last love; lucky is a man who is a woman's first love.

  kwamba mwanamke afaidie penzi la mwanaume ni yule wa mwisho kati ya wale aliowapitia huyo dume? kwamba mwanaume afaidie penzi la mwanamke ni yule wa kwanza kwa vile 'njia' itakuwa itakuwa imeharibiwa? haya ni maneno kwenye 'signature' ya mkuu mmoja. guess who?
 6. minda

  aka "king maker"

 7. minda

  Elections 2010 wito: mod anzisha forum ya "arusha politics"

  wakuu, kutokana na jinsi uchaguzi 2010 ulivyopelekea kutokea kwa matukio ya arusha; ambayo pia yanaakisi hali halisi ya yanayojiri nchini tanzania; ninayo heshima kupendekeza kuanzishwa kwa jukwaa la siasa za arusha kwa mod(s) na kuomba kuungwa mikono na wakuu wote weledi na wenye mapenzi mema...
 8. minda

  kp cartoon: Ni 'Mwasia' gani anayeiongoza CCM na Tanzania kutoka mlango wa nyuma?

  kwenye 'mwananchi' la jana, katuni ya kipanya inaonesha ccccm (kombati la kijani) akishika remote control kuiendesha tv (tanzania); huku nyuma ya huyo ccccm akiwapo 'ponjoro' ambaye pia ana rimoti ya kuiendesha tv hiyo huku kipanya akiuliza; " na huyo wa nyuma ni nani?" bila shaka msanii huyo...
 9. minda

  Ya mjomba mjomba: Adela ni Anne Makinda?

  wimbo niliousikia hivi karibuni wa msanii huyo uitwao 'adela' unanifanya nifikirie pamoja wa watanzania wengine (pengine!) kwamba ni nani hasa anayetajwa kama adela? ikumbukwe mpoto ni selebu aliyetokea kupendwa sana kwa mtindo wake wa kufikisha ujumbe kwa hadhira kwa njia ya mafumbo ( kama...
 10. minda

  willow smith: atembeza 'kichapo' darasani kwa kutumia nywele zake!

  ama kweli mtoto wa nyoka ni nyoka tu. mtoto huyu wa miaka takribani 9 amekuwa selebu si kwa sababu ya baba yake will smith na mama yake jada pinkett; ambao pia ni maselebu. ni kutokana na wimbo wake huo maarufu ambapo video yake inatesa sasa duniani kote ikiwepo bongo yetu. ni katika...
 11. minda

  nimeibiwa simu yangu: nifanyeje?

  wakuu, jana nilikuwa kwenye sherehe ya bdau ya mtoto wa mtwasi wangu na wakati wa kwenda ku-tos na mtoto (cheers), simu yangu ilipotea katika mazingira ya kutatanisha kwani dakika chache baada mc kutangaza kupotelewa cm yangu haikupatikana tena baada ya kupiga kwa kutumia nyingine japo muda...
 12. minda

  Vilaza ndio watu wa aina gani?

  nimepata kuwasoma wakuu kama akina acid, kiranga, rev masanilo na wengineo wakitumia neno 'vilaza' katika hoja zao kuonesha mwenendo fulani { pengine kifikra?}. nimejaribu kutumia context kuelewa neno hilo lakini nimeona bado halijakaa; na nikaishia kukiri kwamba lugha ni kitu kinachobadilika...
 13. minda

  Elections 2010 ya sitta na makinda: kupewa uongozi kwa sifa za juu juu inakuweje?

  wakuu, baadhi ya vyombo vya habari vilimnukuu makamba akitangaza kwamba uspika safari hii kupitia chama chake sifa ni uanauke. vyombo vingine vya habari vikaripoti kwamba jk ameshauriwa kumteua samwel sitta kwenye safu ya uongozi wake ili 'kumpoza.' je, kumpa mtu uongozi kwa sababu ya jinsia...
 14. minda

  hivi kumbwelambwela ndio kufanyeje?

  hivi karibuni nilitembelea wilaya ya mpwapwa na katika kijiji kimoja mwanafunzi mmoja wa kike aliyemaliza kidato cha 4 mwaka jana katika shule ya kata ya kata hiyo mpya iliyoanzishwa hivi karibuni alishiriki kwenye kinyang'anyiro cha udiwani viti maalumu kupitia chadema na almanusrat aukwae...
 15. minda

  Elections 2010 Ushindi wa Kikwete: mashabiki walisherehekea nini hasa?

  kama mashabiki wa jk walisherehekea ushindi wake kwa sbb tu aliwashinda akina dk ws na wenzake, basi ninaweza kusema walifaidi unono huo kwa 100%. ni ukweli usiopingika kwamba sekunde ya kwanza ya kuapishwa kwa jk, imekuwa sekunde ya kwanza ya mfumuko wa bei nchini. wakati nawauliza wakuu...
 16. minda

  malaria sugu yuko wapi?

  tangu oktoba 23, huyu mkuu hapatikani hapa. ni shabiki mwenzangu wa chama tawala, tena ni mdini sana kama mimi, kokote atakapokuwapo,] aendelee kumshabikia jk lakini ampigie kura dk slaa. aaaaaaamin!!!
 17. minda

  Elections 2010 Dr Slaa: Live Dodoma leo saa 10.00 alasiri!

  dk slaa anasubiriwa na umati wa watu hapa mjini dodoma kwenye viwanja vya barafu, vinavyopakana na uwanja wa jamhuri; uwanja uliokuwa mali ya mlipa kodi wa nchi hii ukapokwa. inesemwa ya kwamba dk ws atawasili hapa majira ya saa 10:00 alasiri akitokea iringa. nusu saa iliyopita nilikuwa hapo...
 18. minda

  Z - Anto: Bongo Fleva na maisha binafsi ngoma droo

  (nb: these pics are links; kindly click them) mwanzoni nilipomuona huyu selebu akitoa 'shooting' ya nguvu na sara 'binti kiziwi' [ kwenye wimbo maarufu wa 'binti kiziwi' alimshirikisha msanii pingu], nilidhani mchezo uliishia kwenye kupiga picha (shooting) ya wimbo huo maarufu uliowashika vibaya...
 19. minda

  Elections 2010 Dk Slaa: Sitakubali damu ya watanzania kumwagika!!!

  miongoni mwa kauli zilizonifurahisha zilizotolewa na dk ws kwenye mahojiano ya moja kwa moja aliyofanya na kituo cha runinga cha itv hivi karibuni, ni kauli yake hiyo ya kutokukubali damu ya watanzania kumwagika. Hivyo, propaganda yoyote ile ya kumchafua dk ws kunakofanywa na 'watu...
Top Bottom