Search results

 1. achengula

  App ya Ufugaji wa mifugo mbalimbali

  App inapatikana google play store kwa jina la Ufugaji au ipakue kupitia kiunganishi hiki https://play.google.com/store/apps/details?id=ifugaji.app.tanzania.kilimo Au nenda moja kwa moja kwenye Tovuti ya Ufugaji kupitia kiunganishi hiki hapa chini (no title)
 2. achengula

  Nataka kununua simu budget 650000 mpaka 700000

  Hivi battery za aina hii kwa s5 ya kawaida zipo (ambayo siyo min) zenye uwezo wa kukaa na charge 3 days?
 3. achengula

  Msaada: Nawezaje kuedit maneno kwenye hii doc?

  Ni kweli hata word inwezekana,
 4. achengula

  Msaada: Nawezaje kuedit maneno kwenye hii doc?

  Kwangu kutumi word yalikuwa yanagoma
 5. achengula

  Msaada: Nawezaje kuedit maneno kwenye hii doc?

  Nashukuru wakuu nilifanikiwa kuya edit kwa kutumia powerpoint
 6. achengula

  Msaada: Nawezaje kuedit maneno kwenye hii doc?

  Wana Jf, naombeni msaada nime attach hapa word doc kuna maneno nataka kuyaedit yananishinda, naeditije na je ni software gani imetumika kutengeneza hayo maneno. Natanguliza shukrani.
 7. achengula

  Soko la Hisa la Dar es Salaam na orodha ya makampuni yaliyosajiliwa

  Mkuu kati ya hizo ipi iko poa na unaanza kuweka kwa kiasi gani kama kima cha chini?
 8. achengula

  Nini maana ya haya maneno.. Android is upgrading.... Optmizing app

  Nashukuru mkuu utakuja, bado sijajua kama hizi hatua zitaondoa pia tatizo la simu kupata joto. Asante
 9. achengula

  Nini maana ya haya maneno.. Android is upgrading.... Optmizing app

  Nina Sony Experia Z inatatizo kama hilo, sikumbuki nini kilisababisha. Nahisi kati baada ya kubsdili display au baada ya ku upgrade kwenda lolipop. Nimejaribu kuidowngrade wapi. Nikiwa natumia inaoata moto kisha inajizima. Ukiiwasha ina onyesha adroid is upgrading baadaye ina optimize apps...
 10. achengula

  Whatssap kwa computer sasa bila bluestack

  Hakuleta maelezo yalikaaa sawa, sasa nimekupata
 11. achengula

  Whatssap kwa computer sasa bila bluestack

  Hii ya kuscan code ilikuwepo tangu zamani. Sijui kama kunajipya wameweka, shifa kwangu ilikuwa kila ukizima simi ukiwasha lazima uscan code. Na kudcan inachukua muda. Labda kama wamerahisisha. Wangefanya kama Teregram ningeona wamefanya big up
 12. achengula

  Telegram ni bora kushinda Whatsapp Mara kumi

  Wakuu endeleni kuweka Link nzuri za channel za Teregram
 13. achengula

  Telegram ni bora kushinda Whatsapp Mara kumi

  Nilikuwa sijui channel zinakuwaje na najiungage. Huu uzi umenifumbua vema.
 14. achengula

  Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

  Hapa lazima simi yako iwe rooted kisha tumia root Uninstaller Pro zinauwezo wa kuhamisha downloaded app. Kwa uelewa wangu mdogo.
 15. achengula

  Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

  Hiyo kazi yake ni ku boost, unaweza kuiondoa tu.
 16. achengula

  Msaada jinsi ya ku-root Samsung j1

  Nineroot juzi Samsung Galaxy S5, lakini pia suku za nyuma nimeroot Sony Xperia Z. Kwa kutumia Kingo root na Kingroot. Kwa app ya simu na kwa computer. Lakini si mtaalamu wa ku root simu.
 17. achengula

  Msaada jinsi ya ku-root Samsung j1

  Ndiyo juzi nimeroot Sumsang S5
 18. achengula

  Bila ya kushawishia na mtu nataka kuroot simu yangu

  Hiyo kingo root ni app ya simu au umetumia computer? Ukitumia computer ni nzuri uwezo wake unaongezeka. Jaribu.
 19. achengula

  Msaada jinsi ya ku-root Samsung j1

  Mimi naiaminia Kingo root hasa ya kutumia computer. Anza na ya simu ikishindwa tumia computer
 20. achengula

  Msaada APN za halotel Internet

  Fuata hiyo ya PNC 1, nilichanganya
Top Bottom