BEYOND PAIN
SEHEMU YA 1
MTUNZI : PATRICK .CK
Ni saa kumi jioni nikiwa maeneo ya Kimandolu nikielekea Usa river katika baa iliyotulia ya Roterdam garden mahala panapofanyika vikao vya harusi yangu.Wanakamati ya maandalizi walichagua mahala hapa kutokana na utulivu wake kwani kuna bustani nzuri...
MAAZIMIO YA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CHAMA ILIYOKUTANA MACHI 1, 2016, JIJINI DAR ES SALAAM
Kamati Kuu ya Chama imesema kuwa tangu utawala wa awamu ya tano chini ya Serikali ya CCM ikiongozwa na Rais John Magufuli uingie madarakani, misingi ya uongozi bora na demokrasia ya vyama vingi imeyumba...
Zimebaki siku chache watanzania kufanya mahamuzi kulipereka mbele taifa au tubakie hivi hivi tulivyo kuwapa Chadema nchi hawatafanya masiara watataka kuwa sibitishia kwa wananchi kwani ni waliwahamini ila kuipa nchi ccm watajisau tena vile vile hawata wajali wananchi kama wanavyo tuona sasa...