Search results

 1. Mtulivujohn

  Ni wakati gani sahihi kufanya uhamisho wa mwanafunzi wa Kidato cha Kwanza?

  Wakuu habari zenu poleni na majukumu. Ningependa niulize hivi uhamisho kwa mwanafunzi anayeenda kuanza kidato cha kwanza ingefaa nifanye mchakato kwa mda Gani je huu ndo mda wa kufuatilia wakati bado hawajapangiwa shule? Je kuna haja niende hiyo shule ninayotaka ihamie? Kwa mda huu au...
 2. Mtulivujohn

  Napataje uhamisho wa mwanafunzi wa kidato cha kwanza nje ya mkoa?

  Wadau natanguliza shukrani kwa yeyote aliejitolea kunipa mda wake na uelewa wake kuhusu swali langu apo juu, Wadau naombeni ushauri Pia msaada kwamba kuna mwanafunzi amemaliza la saba mwaka huu na amefaulu na nataka nimhamishie shule za sekondari za mkoa wa tanga Au Kilimanjaro je process zipi...
 3. Mtulivujohn

  Natafuta Shule ya Sekondari ya Serikali ya Wasichana ili nimuhamishie mdogo wangu

  Wadau kwanza nawasalimu kwa upendo wa mungu nina matumaini wazima wa Afya. Bila shaka Nina matumaini apa nko mahali sahihi ya watu wenye uelewa tofauti tofauti ila nina imani nikikutanisha mawazo yao nitapata wazo la kuifanyia kazi Ninaombeni kwa mwenye uelewa Kama kichwa kinavyojieleza Mimi...
Top Bottom