Aliyekuwa Naibu Spika wa Bunge lililopita, Dkt. Tulia Ackson, kupitia CCM ametangazwa kuwa mshindi wa Ubunge wa jimbo hilo kwa kupata kura 75,225.
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo kupitia CHADEMA, Joseph Mbilinyi (Sugu) ametangazwa kupata kura 37,591 katika nafasi ya pili.
PIA SOMA
= > Uchaguzi...
Msajili wa vyama vya siasa aiandikia barua Chadema kupeleka ratiba ya mkutano mkuu wao wa kuchagua viongozi wao
=====
Msajili wa vyama vya siasa nchini Tanzania amekiandikia barua Chadema kukitaka kuwasilisha ratiba ya mkutano mkuu wa kuchagua viongozi wa kitaifa wa chama hicho kabla ya...
Miss Mwanza Sylivia Sebastian, usiku huu wa leo amefanikiwa kutwaa taji la Miss Tanzania baada ya kuwashinda warembo wenzake 19 waliokuwa wanawania taji hilo
Sylivia baada ya kushinda taji la Miss Mwanza, alishiriki na kushinda pia taji la Miss Lake Zone
Kwa ushindi huo, Sylivia amefanikiwa...
Duchess of Sussex Meghan Markle mapema leo amejifungua mtoto wa kiume
Meghan alijifungua mtoto mnano saa moja asubuhi kwa saa za Afrika Mashariki, na Mama na Mtoto wanaendelea vizuri
Prince Harry amewashukuru wananchi kwa support yao katika kipindi chote, na bado wanafikilia jina la kumpa...
Watu 41 wamefariki dunia baada ya ndege waliyokuwa wamepanda kupatwa na hitilafu na kuwaka moto.
Tukio hili limetokea jijini Moscow, baada ya ndege hiyo kujaribu kutua kwa dharura kwenye uwanja wa Sheremetyevo.
Ndege hiyo ilikuwa imeruka kutoka Moscow kwenda Murmansk.
Ndege hiyo ilikuwa na...
UINGEREZA: Waziri wa Mambo ya Nje, Boris Johnson ametangaza kujiuzulu wakati nchi hiyo ikiwa kwenye mgogoro uliozuka katika utekelezaji wa mpango wa kujiondoa kutoka katika uanachama wa Jumuiya ya Ulaya 'BREXIT'
Boris anakuwa Waziri wa pili kujiuzulu ndani ya saa chache baada ya Waziri...
Brexit Secretary David Davis has resigned from the UK government
His resignation comes days after Theresa May secured the cabinet's backing for her Brexit plan despite claims from Brexiteers it was "soft".
Mr Davis was appointed Brexit secretary in 2016 and was responsible for negotiating the...