Search results

 1. prof Mose

  Ni hatua gani za kufuata ili kufunguliwa matokeo yaliyofungiwa na NECTA?

  Asante kwa ushauri mkuu japo hapa shida inaonesha ilikuwa kwa mmiliki wa shule na siyo kwa wazazi
 2. prof Mose

  Ni hatua gani za kufuata ili kufunguliwa matokeo yaliyofungiwa na NECTA?

  Habari wakuu! Nina mdogo wangu alihitimu form four mwaka 2017 lakini kwa bahati mbaya kutokana na ubabaishaji wa shule aliyokuwa anasoma(shule ya private) uongozi wa shule haukulipia ada ya mtihani ya wanafunzi hali iliyopelekea matokeo yao kufungiwa. Naomba mnisaidie procedures za kufuata ili...
 3. prof Mose

  Laptop yangu inasumbua

  Habari wana Jf wakati naendelea na kazi zangu hapa pc yangu imecollapse ghafla ikanambia your pc run ito ploblem you need to restart ikajizima na kurestart yenyewe lakini ghafla tena ikacollapse na mara hii inashtuka na kuzima. Sasa naomba wataalamu mnieleze tatizo ninini na inatakiwa...
 4. prof Mose

  Namkubali sana mtangazaji Denis Mwasalanga wa RFA

  Huyo nampata kwenye michezo pale
 5. prof Mose

  Namkubali sana mtangazaji Denis Mwasalanga wa RFA

  Huyo nampata kwenye michezo pale
 6. prof Mose

  Namkubali sana mtangazaji Denis Mwasalanga wa RFA

  Mi nasikilizaga asubuhi tu mkuu
 7. prof Mose

  Namkubali sana mtangazaji Denis Mwasalanga wa RFA

  Habari wanajamvi wa JamiiForums. Kwa muda mrefu nimekuwa nikiutumia kusikiliza RFA hususani kuanzia ile saa 12:00 asbh Hadi 1:00 asubuhi, lengo likuwa ni kusikiliza kipindi cha BBC na magazeti hiyo asbh kabla sijaingia job. Lakini huwa naenjoy sana siku za weekend ambapo huyu mtangazaji Denis...
 8. prof Mose

  Msaada: Naomba kufahamishwa bei za camera

  So unapatikana wapi mkuu
 9. prof Mose

  Msaada: Naomba kufahamishwa bei za camera

  Ok nashukuru Sana ,nimekupata
 10. prof Mose

  Msaada: Naomba kufahamishwa bei za camera

  Asante mkuu nimekupata
 11. prof Mose

  Msaada: Naomba kufahamishwa bei za camera

  Samahani wanaJamiiForums nipo kitaa maeneo fulani jijini Dodoma. Kwa muda mrefu nimekuwa nikijishughulisha na upigaji picha kwa kutumia simu yangu na mpaka Sasa nimefikia hatua ya kutengeneza jina. Sasa tatizo ni kwamba imekuwa ni vigumu kwenda na simu kupiga picha kwenye matukio Kama harusi...
 12. prof Mose

  TANZIA: Mwandishi nguli wa Habari Marin Hassan Marin afariki dunia

  R.I.P Comrade Sent using Jamii Forums mobile app
 13. prof Mose

  Kipindi cha TBC aridhio wamejitahidi sana

  Ni taarifa ya habari kipindi kimefanyiwa maboresho Sent using Jamii Forums mobile app
 14. prof Mose

  Kipindi cha TBC aridhio wamejitahidi sana

  Kwakweli nimeamini watu mmeichoka kweli TBC Mimi mwenyewe ni mmojawapo wa waliyoichoka lakini waswahili wanasema mnyonge mnyongeni haki yake mpeni Sasa Mimi na wafanyakazi wa TBC wapi na wapi! Sent using Jamii Forums mobile app
 15. prof Mose

  Kipindi cha TBC aridhio wamejitahidi sana

  Yes! Upo sahihi na Hilo ndo linawapelekea audience wasiwe na imani nao Sent using Jamii Forums mobile app
Top Bottom