Hii ni thread maalum kwa wadau wote wanaouza maeneo sehemu mbali mbali hapa Tanzania, na pia kwa wadau wote wanaohitaji kununua maeneo.. #SellersMeetBuyers
Kama unauza eneo lako tiririka mama ifuatavyo:
Ukubwa wa eneo hilo
Mahali eneo hilo lilipo
Sifa za eneo hilo (Limepimwa au Halijapimwa)...
Habari za jumapili wana MMU,
Napenda kuuliza jambo moja kuhusiana na hii dhana ya hizi marriage anniversaries.
Lets say ulifunga ndoa miaka 50 iliyopita, lakini baada ya kufunga ndoa, mlikaa miaka 10 mkaachana, kila mtu akaendelea na maisha yake (possibly mume ukawa na mke mwingine au mke akawa...
Wasalaam wana JF
Kwa heshima na taadhima napenda kuwafahamisha kwamba ninauza shamba langu lililopo eneo la Ihumwa katika manispaa ya Dodoma.
Mwenyewe nina heka kadhaa katika eneo hilo, hivyo nimeamua kukata heka 5 kwa ajili ya kuuza.
Shamba lipo umbali wa kilometa 2.5 kutoka barabara kuu ya...
Kwa kupitia muonekano mpya wa JamiiForums tumewaona kwa urahisi vinara wa kupost JamiiForums. Hawa watu kwa kweli wanahitaji pongezi especially super woman bibi yetu @FaizaFoxy
Pia Nyani Ngabu naona amekuwa king'ang'anizi tangu enzi za mzee mwanakijiji.
Pongezi hizi ni maalum kwa kuufunga mwaka...