Search results

 1. mwanaNjilo

  Msaada: Certification ya Advanced Diploma

  Habari zenu wadau wa jukwaa hili! Naomba heading ya sred ihusike! Nimekua nikipata changamoto ya jinsi gani yakumuhakikishia mwajiri mtarajiwa juu ya kigezo cha kitaaluma cha stashahada ya juu (advanced diploma). Pengine napata changamoto hii kutokana na kutokujua mfumo rasmi wa elimu wa...
 2. mwanaNjilo

  Machizi wote wana maumbile ya kiume makubwa

  Staki kusalimia! Nina stress. Swaumu kali! Juzi hapa kabla ya mwezi mtukufu kuanza, nimeachwa na manzi, kaniacha kwa kunikejeli sana...kaniambia, unanisumbua kwa kipi ulichokua nacho...ananipa ni 'Sonyo' moja ivi la dharau, afu kabla cjamjibu ktu akanambia, "Ivi wakiitwa wanaume wenye mashine...
 3. mwanaNjilo

  Nitajieni magonjwa ya mlipuko ambayo yameanzia Afrika na kusambaa duniani

  Stay Home, Stay Safe! (Naomba iwe salaam ya leo!) Wanajamvi, naomba kukiri kua cjafanya research yakutosha kwenye hili ninalotaka kuuliza. Mtasaidia kuongeza mnachokijua ili nikamilishe uzi huu... For the records, magonjwa ya mlipuko ambayo yalikua na status ya 'World Pandemic Diseases' ni...
 4. mwanaNjilo

  Short course gani itanifaa?

  Mwaraye! Mimi ni mtu wa Operation. Nahitaji kuongeza skill set yangu so naombeni mnisaidie kufanya maamuzi kati ya hizi short courses: 1. Computer Maintenance 2. Computer Application Nikachukue short course ipi kati ya hizo mbili? Asanteni sana! Sent using Jamii Forums mobile app
 5. mwanaNjilo

  Naomba msaada wa kutatua changamoto hii katika hard disk

  Hard Disk ya PC yangu haisomi kwnye PC...cjajua tatzo ni nini. Naomba msaada wa nini chakufanya ili iwe serviceable tena. >Nilipata nayo ajali, monitor ikapasuka...wino ulitoka so nkaiweka ndan kwa miez mitatu mpk nilipo replace monitor nakuanza kuitumia tna. Ahsanten Sent using Jamii Forums...
 6. mwanaNjilo

  Karibuni tushindanishe tattoo bora ulizowahi kuziona

  Mi naanza na hii... Sent using Jamii Forums mobile app
 7. mwanaNjilo

  Tatizo la mwanamke kutokua na hamu ya tendo la ndoa ni dalili ya nini?

  Habari zenu experts! Nina manzi yangu, ambae kwa sasa she is about 20y/o. Nipo nae kwenye mahusiano kwa miezi mitano sasa, lakini sijafanikiwa kufanya nae chochote. By 'chochote' nadhani nitakua nimeeleweka! ni mgumu mno, kashaingia gheto at least mara tatu, lakini akitoka ni 'bila-bila'...
 8. mwanaNjilo

  Naweza kupata wapi kioo cha HP Probook 6400

  Habar za sasa hivi wadau! Naomba mnisaidie gharama ya kioo cha laptop tajwa hapo juu, iwe used au kipya! Na mahali ninapoweza kukipata(dukani au kwa mafundi) Naomba niwasilishe! Asante Sent using Jamii Forums mobile app
 9. mwanaNjilo

  We Unaonaje kuhusu Hili?

  Habar za wikienda wana-jamvi! Mda huu nipo kwenye gari naelekea makongo. Ghafla nimepitiwa na wazo ambalo kwa jinsi flan nahis sio zuri ku share. Lakin nikaona wazo hili pia linaweza likawa 'game-changer' km science litalifanyia kazi... Naanzia hapa, kabla cjaliainisha wazo langu kwenu... Ndoa...
 10. mwanaNjilo

  Nitapata wapi plastic surgeon hapa Tanzania?

  Habar wana JF! Naomba jibu kwa yeyote mwenye kufahamu hospital ambayo ina good record ya kufanya plastic surgery au hata plastic surgeon unaemfahamu ambae ana good record ya kufanya hizo surgeries (esp, LASER SKIN RESURFACING)! Kama kuna anayefahamu hiyo hosptal/plastic surgeon aliyepo hapa...
 11. mwanaNjilo

  Matatizo yasiyosemwa katika Industry ya ajira na Taasisi za elimu Tz

  Leo nilikua napita-pita kwenye site moja ya ajira (Ntahifadhi jina la site)...nikakutana na job vacancy ya Senior Transport Officer ilitangazwa na Jhpiego (Tz)! Kabla cjaendelea na hi thread, naomba niseme maoni yangu juu ya taaluma hii ya Transport management japo kwa muhtasari, mana hii ni...
 12. mwanaNjilo

  Nilipata ajali, nikafanyiwa 'stiching'

  Habar zenu wana jamvi! Mnamo tarehe 15 mwez wa 12/18 nilipata ajal nikiwa natoka kwenye mizunguko yangu...nilipata majeraha sehemu tofaut-tofaut za mwil ikiwemo usoni, hasa kweny paji la uso, ambapo niliumia zaid na kulazimika kufany 'stiching' (cjui km ni terminology yenyewe hii au laah, lkn...
 13. mwanaNjilo

  KWANINI 'DUSHE' YANGU INANIONGOPEA??

  Chei chei! Leo, kama ilivyo cku zote, nilienda washroom kukojoa, Dushe langu likanambia limeshamaliza kukojoa! Nilipoirudisha ndani ya zipu ndo nikajua kua DUSHE limeniongopea. Kuna tone la mwisho la mkojo ambalo hua linadondokea boxer/suruali yangu kila siku. Sasa kwanini dushe linambie...
 14. mwanaNjilo

  Naomba Nihakikishiwe Usalama wa Proposal yangu ya biashara!

  Wasalaam! Kwa yeyote mwenye ufahamu kuhusu usalama wa idea ya kibiashara ambayo sijaisajil rasmi kua property yangu kwenye mamlaka husika, naomba anisaidie kunihakikishie usalama in percentage! Kuna competition ya business proposals (kwa biashara inayo exist au new business idea). Utaratibu ni...
 15. mwanaNjilo

  Nitawezaje kujua endapo mtu ameniblock kwenye mtandao wa WhatsApp?

  Naomba nisalimie baada ya hii paragraph hapa chini! Eti, nikitaka kujua kama mtu kani block kwenye whatsapp natumia ujuz gani??! Naomba kujuzwa kama kuna utaratbu wowote hnaohusika hapa. Nawasilisha! Habar za jioni waungwana!
 16. mwanaNjilo

  Changamoto: Recruitment portal

  Habar za humu WanaJF! Naomba niende straight. Napata changamoto ya kuweka info (Academic qualifications) kwny hii recruitment portal yetu ya secretariat ya ajira. Hivi ikitokea kozi uliosoma haipo kwenye selection walizoziorodhesha unafanya vipi to fill the blank??! Kwamfano mimi I majored in...
 17. mwanaNjilo

  MSAADA WA HARAKA UNAHITAJIKA KABLA SIJAMTAFUTA FUNDI

  Habar zenu wanaJF.. Hii ni post ya kwanza kwnye jamvi hili, natumaini ntapata ushirikiano wa kutosha (In shah Allah) Nimepata changamoto kwnye PC yngu. Natumia dell lattitude 64000. Mara ya mwsho kupandisha windows ilikua ni miez minne ilopita. Kila litu kilikua sawa. Lakn juzi nilitaka kununua...
 18. mwanaNjilo

  Afrika ya miaka 20 ijayo, itakua ni ya wageni wenye nguvu

  Wachina wanakuja tena kututawala. Tena wanakuja kwa kasi sana. Wait n' see!
 19. mwanaNjilo

  Njooni tuongeze idadi ya mapacha Tanzania

  Wazima humu?? Mi cyo mtaalam wa uzaz. Lakn nshawah kuskia kwmba...kuna uwezekano mkubw wa kupata watoto mapacha km mmoja au wote kati ya two parties zilizoshirik kutungisha mimba atakua/watakua wametoka kwny familia zenye uzao wa mapacha! Km hii ni kwel, bhasi naomba wale wote ambao wana uzao...
 20. mwanaNjilo

  Account gani ya bank itatunza pesa zangu mpaka 2020 bila ku-draw??

  Habar za humu wanajamvi?! Naomben msaada wenu kwenye hili. Nataka niwe na-deposit nusu ya mshahara wng wa kila mwezi kwny account ya benk. Lakin bado cjajua kama kuna benk inayotoa huduma ya account ambayo inamzuia customer kutokutumia pesa anayoiweza once akishai-deposit kwny account hyo kwa...
Top Bottom