Afro East mule kuna ile ngoma inaitwa “Mpaka kesho” yamoto sana. Album Launch imeifanya iyo Afro East kuwa kubwa sana lkn me cjaona ule ufundi wa kijana wa kimakonde. Ngoja nipime ndani ya week 2 hv lile vibe, kama bado itakuwa inatrend.
#WabongoSieWanafkiSana
Sent from my iPhone using...
Mbinu za kibiashara tu hizo mkuu, Serengeti Lite 330ml anauza sana. Yaweza ikawa sababu ya Castle Lite kupunguza ujazo aweze kucompete vzr
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hv Harmonize aliondoka Wasafi kisa Diamond au akina Babu Tale, Salam Sk na Mkubwa Fella. Sijawahi kumskia Diamond akisema chochote?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Probably it’s true. Me siwezi amini YouTube ikulipe hela halafu waweke system mizinguo, yaan kila mtu mwenye access basi anaweza kuingia kwenye account yako akapunguza views.
Mtumishi wa umma lazima awe mfano mzuri kwa Jamii. Me nimkristo, yule jamaa amekosea, sawa serikali haina dini lakini unawezaje kudhihaki kitabu cha dini ya wenzio tena hadharani kabisa bado kiongozi wa serikali ambaye ni raisi akuchekee? Vp kama kwa funyanya hivyo kungeleta uvunjifu wa amani...
Amekonda sana jamaa. Daah Mavoko anakupaj sana aisee, tatizo anaonekana tu anakaroho furani hv ndio maana apati mafanikio makubwa. Angebaki tu kule, hz media zinawaharibu sana wasanii hususa ni Cloudz. Wakishaona tu Soko limeshuka wanakususa.
Leo Harmonize anapewa Promo kushinda Ali Kiba na...
Mkuu kama huna ufahamu na kitu ni vzr kunyamaza muda mwingine. Ushaona Raisi hapa Tanzania kasimama kizimbani. Ndio ujue katiba mpya muhimu nyie mnapigania madaraka tu. Mpk mnasahau vitu muhimu
Mbona kama me pia nimeguswa na mtoa mada. Umecopy alichosema wewe ukaandika, kuna tofauti ya your na you’re, take care. Uyo yeye kashakuwa Professor na ana wadhifa. Me na wewe tuendelee tu kujenga Taifa hii kitu haitatusaidia.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu ukiacha content, packaging yake iko vizuri sana ina ubora wa hali ya juu na ndio maana watu wanayapenda sana. Hill Packaging Ltd wanahitaji consistency tu sioni wa kuwasumbua kwenye Marketing.
Tatizo letu watu wa 255 kila mtu anaelimu kwa namna yake. Me naamini hata kesho wakiwa kwenye hizo nyazifa ambazo hao wenye elimu wanabezwa. Mtasema wakatafute hiyo elimu ya makaratasi.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkibadadirishiwa radha mnasema anapotea tena. Uyo kaka yao mshaanza kusema siku hizi aimbi kama zamani. Muacheni atembelee humo humo naskia ana idadi nzuri ya views YouTube
Sent from my iPhone using JamiiForums