Search results

 1. mawaridi

  Uchaguzi 2020 Dkt. Tulia atangazwa mshindi Mbeya Mjini, Sugu apoteza kiti chake cha Ubunge

  Aliyekuwa Naibu Spika wa Bunge lililopita, Dkt. Tulia Ackson, kupitia CCM ametangazwa kuwa mshindi wa Ubunge wa jimbo hilo kwa kupata kura 75,225. Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo kupitia CHADEMA, Joseph Mbilinyi (Sugu) ametangazwa kupata kura 37,591 katika nafasi ya pili. PIA SOMA = > Uchaguzi...
 2. mawaridi

  Don Nalimison nimeachana na siasa za Afrika, nitakwenda kufanya harakati Marekani

  Mtemi Nalimison unatukimbia Tanzania wakati tumeingia kwenye uchumi wa Kati Unataka kuwa mmarekani sio ? Kila la heri mtemi huko kwa Trump
 3. mawaridi

  Nani kati ya Vijana wa kitanzania wa kuanzia 1970?

  Aisee naona ulikosea utabiri wako wa 2010, tusubiri utabiri wako wa 2020 Huyo Mwnakijiji ni huyu Mzee Mwanakijiji wa JF?
 4. mawaridi

  Mo Dewji akana kujiuzulu Uenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba na Kubakia kuwa Mwekezaji

  Kasi ya GSM inawachanganya watu wengi sana
 5. mawaridi

  Viongozi wa awamu ya tano wengi wajiandae kufungwa maisha

  Hapo kwenye nyekundu: Dah kiongozi inaonyesha umepania sana
 6. mawaridi

  Msajili aipa CHADEMA mpaka Jumatatu kupeleka ratiba ya Mkutano Mkuu wa kuchagua Viongozi wao

  Msajili wa vyama vya siasa aiandikia barua Chadema kupeleka ratiba ya mkutano mkuu wao wa kuchagua viongozi wao ===== Msajili wa vyama vya siasa nchini Tanzania amekiandikia barua Chadema kukitaka kuwasilisha ratiba ya mkutano mkuu wa kuchagua viongozi wa kitaifa wa chama hicho kabla ya...
 7. mawaridi

  Waziri Dr Mwakyembe Doha kuna nini

  Bosi mbona unakuwa msahaulifu hivyo Kwenye mada Yako so umesema watanzania hatupo, nimekuambia kuwa watanzania tupo, Sasa umebadilisha gia kuwa "kupeleka mtu mmoja" Hi ni Jamiiforums mkuu kuwa na data zilizokamilika Angalia siku ya Marathon ya wanaume wakikimbia halafu angalia Kama kutakuwa...
 8. mawaridi

  Waziri Dr Mwakyembe Doha kuna nini

  Siku ya ufunguzi wa mashindano hayo kulikuwa na mtanzania alikuwepo, alishiriki Marathon kwa wanawake Kuwa na data kabla hujalalamika, usije ukaitwa muongo
 9. mawaridi

  This man is either a sadist or alimuua kibaka, akanywa bia kusherehekea?

  Afadhali aliyesema "Wanyang'anyeni silaha haraka haraka"
 10. mawaridi

  Sylivia Sebastian ashinda taji la Miss Tanzania 2019

  Miss Mwanza Sylivia Sebastian, usiku huu wa leo amefanikiwa kutwaa taji la Miss Tanzania baada ya kuwashinda warembo wenzake 19 waliokuwa wanawania taji hilo Sylivia baada ya kushinda taji la Miss Mwanza, alishiriki na kushinda pia taji la Miss Lake Zone Kwa ushindi huo, Sylivia amefanikiwa...
 11. mawaridi

  2019 Africa Cup of Nations Special Thread

  Wazimbabwe wanapambana sana
 12. mawaridi

  2019 Africa Cup of Nations Special Thread

  Egypt 1 Mfungaji Trezeguet
 13. mawaridi

  2019 Africa Cup of Nations Special Thread

  Dakika ya 30 Egypt 0 - 0 Zimbabwe
 14. mawaridi

  Tetesi: Gazeti la 'Mbongo' huenda likauzwa au kufungwa wiki ijayo..

  "Kubadili muelekeo kutoka print na kuelekea digital kuanzia tarehe 20" Nimekuelewa Interest
 15. mawaridi

  Kumiliki Silaha za Moto ( Bunduki)!

  Ni kweli ni vizuri kwa watu kumiliki silaha za moto kwa ajili ya kujilinda Ila huko kwa "rafiki" yako, ruhusa hiyo imesababisha watu wanauana kama "kuku" Mwanafunzi anatoka nyumbani na bunduki yake anaenda kufanya maafa shuleni, mtu mwingine anakwenda kwenye mall / kanisani anaanza kuwapiga...
 16. mawaridi

  Meghan Markle ajifungua mtoto wa kiume

  Duchess of Sussex Meghan Markle mapema leo amejifungua mtoto wa kiume Meghan alijifungua mtoto mnano saa moja asubuhi kwa saa za Afrika Mashariki, na Mama na Mtoto wanaendelea vizuri Prince Harry amewashukuru wananchi kwa support yao katika kipindi chote, na bado wanafikilia jina la kumpa...
 17. mawaridi

  Russia: Watu 41 wafariki dunia baada ya ndege kuwaka moto

  Watu 41 wamefariki dunia baada ya ndege waliyokuwa wamepanda kupatwa na hitilafu na kuwaka moto. Tukio hili limetokea jijini Moscow, baada ya ndege hiyo kujaribu kutua kwa dharura kwenye uwanja wa Sheremetyevo. Ndege hiyo ilikuwa imeruka kutoka Moscow kwenda Murmansk. Ndege hiyo ilikuwa na...
 18. mawaridi

  Uingereza: Waziri wa mambo ya nje Boris Johnson ajiuzulu

  UINGEREZA: Waziri wa Mambo ya Nje, Boris Johnson ametangaza kujiuzulu wakati nchi hiyo ikiwa kwenye mgogoro uliozuka katika utekelezaji wa mpango wa kujiondoa kutoka katika uanachama wa Jumuiya ya Ulaya 'BREXIT' Boris anakuwa Waziri wa pili kujiuzulu ndani ya saa chache baada ya Waziri...
 19. mawaridi

  Sakata kuhusu Brexit: Waziri wa Uingereza anayehusika na Brexit Ajiuzulu

  Brexit Secretary David Davis has resigned from the UK government His resignation comes days after Theresa May secured the cabinet's backing for her Brexit plan despite claims from Brexiteers it was "soft". Mr Davis was appointed Brexit secretary in 2016 and was responsible for negotiating the...
Top Bottom