Search results

 1. kwadilo

  House4Sale Toyota Ist no. D only 7.5m

  Model: Toyota Ist Cc: 1490 Year: 2005 Full ac Haigongi Haijawahi kurudiwa rangi Location: Ukonga (Dar) Price: 7.5m (neg) Contact: 0785 857564
 2. kwadilo

  House4Rent Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Kitunda, kodi kuanzia miezi mitatu

  Habari za majukumu wanajukwaa Nyumba ina vyumba vinne Ina seating room pamoja na dinning room Ina public toilet. Full tiles, gypsum Ina feni vyumba vyote. Maji + umeme √ Car parking √ Location: nyumba ipo kitunda (Kibeberu) Kodi imepungua kutoka 200k hadi 180k Malipo ni kuanzia miezi 3+ Umbali...
 3. kwadilo

  House4Rent Apartments inapangishwa (Kitunda)

  Habari za majukumu, Apartment zipo mbili ndani ya fensi. Kila apartment ina chumba master, jiko na sebule. Maji + umeme Parking ya gari ipo. Kodi: tzs 150,000/ (kwa mwezi)
 4. kwadilo

  House4Rent Apartment nzuri inapangishwa (kitunda Relini)

  Nyumba inapatikana kitunda Relini 5km kutoka Airport Kutoka lami ni dakika 3 (kwa mwendo wa mguu) Ina chumba kimoja ambacho ni self-contained. Ina seating room Open kitchen Full ac Wapangaji wawili tu. ( kutoka posta/kivukoni, gerezani (k.koo), mnazi mmoja, machinga complex kwa usafiri wa...
 5. kwadilo

  Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Kitunda (Kodi Tsh: 200,000)

  Habari wana jukwaa. Nyumba inapatikana Kitunda kilomita 8 kutoka airport na Kilomita 5 kutoka Banana. Ukubwa wa NYUMBA Nyumba ina vyumba vinne vya kulala Ina sebule, dinning room na public toilet Ina tiles, gypsums board na feni kila chumba. Ipo ndani ya fensi Kutoka stand ya daladala ni...
 6. kwadilo

  House4Sale Sasa imeshuka bei, nyumba inauzwa milioni 45 Kitunda

  Nyumba imeshuka bei kutoka 50m hadi 45m Maelezo: Nyumba inapatikana Kitunda (manispaa ya Ilala) Umbali wa km 7 kutoka airport. Nyumba ina vyumba vitatu vya kulala Sebule, jiko, store, na choo cha ndani. Maji na umeme vipo tayari Nyumba ipo ndani ya fensi Nyumba ya pili kutoka Barabara ya mtaa...
 7. kwadilo

  House4Sale Nyumba na eneo kubwa inauzwa (Kivule Mwanzo)

  Wasalaam! Huku tukiendelea kupambana na kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa corona; Nyumba inapatikana kivule (Matembele ya pili). Kutoka lami mpya ni 1.3km Nyumba ina vyumba vitatu kimoja ni self contained. (Jiko, sebule, public toilet) Nyumba ina angalia barabara ya mtaa. Pia kuna nyumba...
 8. kwadilo

  Car4Sale Spacio new model Inauzwa (tzs 5.8m)

  Gari inapatikana kibamba Details Yom: 2004 Cc: 1490 Reg. # c Conditions: Good Bei: 5.8m Mawasiliano: 0785 857564 Sent using Jamii Forums mobile app
 9. kwadilo

  House4Rent Nyumba inapangishwa (Mwanagati, Kitunda)

  Habari wana jukwaa. Nyumba inapatikana Mwanagati (Kitunda) Kutoka airport ni km 8 na kutoka banana ni km 5. Nyumba inajitegemea kwa kila kitu. Ina vyumba viwili vya kulala (master bedroom inclusive), kitchen, seating room & public toilet. Ina tiles, gypsums, slides windows. Ipo ndani ya fensi...
 10. kwadilo

  House4Sale Nyumba inauzwa Pugu kwa Tshs 15 milioni

  Nyumba inapatikana PUGU 1km kutoka lami ya kwenda CHANIKA NYUMBA ina vyumba vitatu (kimoja ni self-contained), jiko, sebule na sitting room Wiring imeshafanyia na nguzo ya kuingiza umeme ndani ipo pembeni Eneo la nyumba ni meter 14*10 Gari inafika hadi kibarazani. (Parking ndio hakuna Bei: 15m...
 11. kwadilo

  Car4Sale Toyota Dyna 1.5t bei safi kabisa

  Gari inapatikana UKONGA Body iko vizuri Tyre safi Engine 2L Fuel consumption: Diesel Bei: 7.5m Sent using Jamii Forums mobile app
 12. kwadilo

  Nyumba ya kisasa inauzwa (Kitunda)

  House descriptions: Nyumba inapatikana Kitunda Km 5 kutoka nyerere road (Old Pugu Road) Kutoka kitunda shule ni umbali wa Km 1.6 NYUMBA ina vyumba vitatu, jiko, sebule, dinning na jiko. Nyumba ina leseni ya makazi na urasimishaji umeshafanyika. Eneo lake ni sqm 1005 (30*35) (Ipo ndani ya fensi)...
 13. kwadilo

  Car4Sale Noah road tourer inauzwa bei poa

  Gari bado ipo kwenye hali nzuri. Reg no. DCP Model: SR 40 ENGINE: 3S Location: dar es salaam Bei: 9.5m (neg) PM for business. Sent using Jamii Forums mobile app
 14. kwadilo

  Car4Sale Toyota Dyna (gari ya mizigo) Inauzwa 7.5m

  Car specifications Model: Toyota, dyana Engine: 2L Upande wa engine bado iko vizuri Body iko vizuri Dashboard iko vizuri pamoja na seat. Sent using Jamii Forums mobile app
 15. kwadilo

  Car4Sale SCANIA 113 inauzwa 30m tu.

  Gari haina tatizo lolote (unawasha na kuondoka) Model : SCANIA 113 HP 420 Tela iko vizuri kabisa na ni ya chuma. Cabin/horse iko vizuri pia Gear 10. Location: makambako Bei: 30m (only)
 16. kwadilo

  Plot4Sale Plot on sale (BUNJU A) Mil 18

  KIWANJA kinapatikana BUNJU 'A' ukubwa wa kiwanja ni sqm 600 (30*20) Kipo tambarare chote. Umbali kutoka BAGAMOYO road ni 1.5m Kiwanja kina hati miliki. Bei: 18m
 17. kwadilo

  Plot4Sale KIWANJA kizuri kinauzwa (KITUNDA) sqm 625

  Kiwanja kinapatikana kitunda karibu na kanisa katoliki (RC) Umbali wa km 3.5 kutoka banana (nyerere road) Umbali wa meter 200 kutoka KITUNDA road Kimezungushiwa michongoma Kina meter 25*25 (sqm 625) Miundombinu mizuri (maji, barabar etc) Bei: 15m
 18. kwadilo

  Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kigamboni, mbutu (sqm 400@3m)

  Viwanja viko vinne, vimegawanywa kwa ukubwa wa meter 20*20=sqm 400 Eneo ni tambarare na lina asili ya kichanga. Umbali kutoka ferry/kivukoni ni km 20 (mwendo wa gari) Eneo linaitwa mbutu mbele ya mwongozo. Gari za moja kwa moja zinapatikana Kigamboni ferry (k/mboni via mbutu) Bei ya kiwanja...
 19. kwadilo

  Plot4Sale SHAMBA la HEKARI 3 linauzwa CHANIKA (nzasa)

  Shamba linapatikana CHANIKA, nzasa. Takribani km 4 kutoka CHANIKA mwisho. Shamba lina jumla ya hekari 3 Eneo lote ni tambarare. Lina documents za kutoka serikali ya mtaa. Bei kwa kila hekari ni tsh 6m Mawasiliano: 0756 832833
 20. kwadilo

  Techno w4 or w5 inahitajika

  Closed
Top Bottom