Search results

 1. Juakali jr

  'Baby walker' yangu inataka kunipasua kichwa!

  Mkuu umeandika vizuri ila navyojua mimi hata engine iwe off, brakes zipo sema unahitaji kuvumia nguvu kidogo wakati unazikanyaga. Ukipark gari kwenye muinuko hand brake/ parking brakes ndo zinatakiwa kulifanya gari lako lisiserereke na sio gear ya parking, Hiyo ipo hapo kama assuarance kuwa gari...
 2. Juakali jr

  'Baby walker' yangu inataka kunipasua kichwa!

  Kwani mkuu kwenye mteremko ukiweka neutral na kukanyaga break gari litaserereka?
 3. Juakali jr

  'Baby walker' yangu inataka kunipasua kichwa!

  Mkuu unawasha gari bila kukanyaga break wala kuweka parking brake????
 4. Juakali jr

  Wazee wa road trip mpo?

  Ni kweli mkuu, kilichosababisha tufike sawa ni speed yake ya juu aliyokua anatembelea. Ila kiukweli jamaa akishuka tuta alikua ana accelerate haraka sana shida inakuja akifika 120 ndo mwisho wake na ndo sababu nilikua namkuta.
 5. Juakali jr

  Wazee wa road trip mpo?

  Hapana bosi wangu, Ist haliwezi kukimbia kama prado. Prado lina kila advantage, lakini kama dereva wa prado yuko slow kwenye kufanya maamuzi kama kuovertake na pia ni muoga kuvuka 120 basi hapo hilo prado litakua linakimbia kama ist
 6. Juakali jr

  Msaidie Bujibuji anunue VW Polo

  Mkuu mbona kama vile umepigwa ganzi???
 7. Juakali jr

  Wazee wa road trip mpo?

  Kuna mdau alipost watu wakabisha. Ila leo nimejihakikishia kwa baadhi ya barabara zetu za tz na madereva pia. Prado linaweza kimbia kama ist. Nilipata safari ya ghafla nikajikuta ndani ya babywalker, baada ya kuchakata rough ya picha ya ndege nikajikuta nyuma ya prado. Aisee huyu mjamaa nimefika...
 8. Juakali jr

  JamiiForums Usiku wa manane

  👀
 9. Juakali jr

  JamiiForums Usiku wa manane

  0115 🚶‍♂️ 🚶‍♂️ 🚶‍♂️
 10. Juakali jr

  Naomba ufafanuzi kuhusu ulaji wa mafuta wa gari hii

  Mkuu kwa Dar inawezekana kwa vile mimi navyoona. Kipimo sahihi kama ataenda nalo mkoa
 11. Juakali jr

  Gari wanazohitaji waTanzania hazipatikani dunia nzima

  Umetisha mkuu, umechukua kitu sahihi
 12. Juakali jr

  Gari wanazohitaji waTanzania hazipatikani dunia nzima

  Mwisho wa siku kila mtu anaishi na alichonacho. Kuna anayeenjoy kilometer nyingi town kwa mafuta hafifu, kuna anayeenjoy kutembea kwenye makorongo kama yupo kwenye rami, kuna anayeenjoy kupita kila gari akienda mkoa, kuna anayeenjoy kuwa na gari la kipekee kwenye parking space, kuna anayeenjoy...
 13. Juakali jr

  JamiiForums Usiku wa manane

  joto: 27 C upepo: NNE 17 km/h humidity: 87 usiku wa mwezi uliofichwa na mawingu mazito ya mvua! Sign out
 14. Juakali jr

  JamiiForums Usiku wa manane

  ni mazito ila mapambano yanaendelea vizuri
 15. Juakali jr

  JamiiForums Usiku wa manane

  Asante, mapambano bado yanaendelea Asante mkuu, Amen,
 16. Juakali jr

  JamiiForums Usiku wa manane

  Ukiona hili box ujue kumekucha
 17. Juakali jr

  JamiiForums Usiku wa manane

  0017
 18. Juakali jr

  JamiiForums Usiku wa manane

  🚶‍♂️ 🚶‍♂️ 🚶‍♂️ 0046
 19. Juakali jr

  Hii ni Gari Halali kwa Matajiri Duniani ila Wengi hawajui Utofauti wa Hizi Gari.

  Dah na mtindo wa kusoma content bila kuangalia mtumaji, baada ya kuangalia picha na kusoma line ya kwanza. hapo ikabidi nirudi juu ni hakiki jina la mtumaji
 20. Juakali jr

  JamiiForums Usiku wa manane

  0127 kikombe cha tangawizi limao na bibilia
Top Bottom