Wakuu wenye bongo bobevu,
Hili bandiko limekusudiwa kuuliza wataalamu wabobezi kwamba, mosi,
1. Je, vimelea vya virusi vya Korona vilitokea tu kutokana na nguvu ya asili na mabadiliko ya hali hewa ikiwa na chanzo cha viumbe hai ama mimea au vimetengenezwa na binadamu kupitia utafiti wa utukutu...
Jukwaa la JF
Wito wangu ni kwa mamlaka ya nchi na Wataalamu wa Afya wafanye yafuatayo ili kuwa na uwezo wa kujikinga na kupambana na magonjwa mbalimbali:
1. Mamlaka ya nchi iwezeshe kifedha wataalamu wa afya na sayansi kwa ujumla kufanya utafiti wa uwezekano wa kutengeneza chanjo ya magonjwa...
Hili ni bandiko la WITO
Serikali za Jamhuri ya Kenya na Jamhuri ya Somalia zote ni huru kuendesha mambo yake ya ndani. Nchi moja kuingia nchi nyingine kwa kisingizio cha tishio la UGAIDI katika nchi vamizi ni uvunjifu wa haki za binadamu. Nchi ya Somalia haijawahi kuomba seriikali ya Kenya na...
Wakuu,
Mjadala unawekwa mezani kuhusu fursa za kiuchumi kutokana na rasilimali asili zilizoko Singida
1. Safu za mlima Sekenke hadi Makutupora ina mkanda wa madini ya Dhahabu. Wajerumani walivuna sana madini hayo na jinsi ya usafirishaji wake ilikuwa wanatumia mitaro ya zege.
2. Zao la...
Wakuu na mamlaka husika (Wizara Elimu na TAMISEMI)
Uzi wenye sura ya swali umeletwa jukwaani hapa baada ya kufanya jitihada za kutosha kutafuta mwongozo wa kuaminiwa kutoka serikalini , lakini imeshindikana kupata.
Taratibu za sasa katika utafutaji ajira na kujiendeleza kielimu unahitaji uwe...
Kupitia Jukwaa Tukufu,
Nawasilisha ushauri na maoni yangu kupendekeza kwa serikali ya Jamhuri wa Tanzania kujenga bwawa/lambo kubwa linalotokana na uvunaji wa maji ya mvua (rainfall water catchment dam).
katika eneo lolote litakalobainishwa na wataalamu kati ya wilaya za Kongwa, Chamwino na...
Wakuu,
Mikoa ifuatayo haikugawanywa kwa kuzingatia Jiografia rafiki kwa uendeshaji wenye ufanisi na tija.
1. Arusha kupata mkoa wa Manyara: ingefaa usianzishwe mkoa wa Manyara badala yake wilaya mbili za Simanjiro na Kiteto ndio zingeunganishwa na mkoa wa Kilimajaro.
2. Mkoa wa Pwani umekaa...
Wakuu,
Kama mmojawapo wa raia mjenzi wa nchi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (JMT) ambayo ni zao la Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya Zanzibar
Uchumi nufaishi kwa nchi na watu
A:
1. Uchumi wa mazao ya Bahari
2. Uchumi wa Utalii (mali kale, viumbe adimu, wanyama asili lugha, utamaduni)
3...
Wakuu,
Huu ni mtazamo kwa yaliyomo kwenye Ilani ya CCM kwa kuzingatia yafuatayo
A:
1. Rasirimali asili
2. Rasirimali Watu
3. Rasirimali Vifaa na Teknolojia
B:
1. Elimu, Ujuzi, Weledi na Taaluma
2. Ubunifu, Bidii ya kazi na kujitoa kwa manufaa ya jamii
3. Uadilifu, Nidhamu na Uaminifu
C:
1...
Wakuu,
Hili ni bandiko la mshangao na masikitiko kwa sauti za wafanyakazi kutoka sekta binafsi zimeiga seriklali kutoongeza mishahara kwa asilimia 6%-10% kwa zaidi ya miaka mitano sasa, lakini hata motisha ya jumla kwa mwaka kwa wafanyakazi imeondolewa bila maadalizi ya kisaikolojia kwa watenda...
Wanabodi,
Hili bandiko la ulizo kuhusu usalama wa maisha ya wakazi wa manispaa ya Morogoro kwa kuwepo mashamba makubwa ya mkonge mali ya magereza huku idadi ya wakazi wake kuzidi kuongezeka na mahitaji ya ardhi kuwa makubwa.
Eneo kuanzia Mkambarani hadi Kingolwira kuna mashamaba makubwa kando...
Wakuu,
Hili ni bandiko la ushauri kwa mam;laka husika lakini kuwekwa kwenye mjadala kuhusu jiwe kubwa la aina yake ambalo linatumika kama utambulisho wa jiji la Mwanza.
Jiwe hili liko pembezoni mwa mwa ufukwe wa ziwa Viktoria karibu na feri ya Kamanga na sambamba na barabara ya Nasser...
Wakuu,
Hili ni bandiko la manung'uniko kuhusu Mkurabita upimaji viwanja na mchakato wa kupata hati.
Wananchi wengi waliojengwa au kuuziwa viwanja kwenye maeneo ambayo yalikuwa bado kupimwa na serikali wanalalamika, wengine wamelipia ada ya shilingi 310,000/= tangu 2016, 2017 hadi leo hakuna...
Wakuu,
Haya ni maoni binafsi kuhusiana na mienendo ya siasa za Tanzania.
1. Chama tawala-mmepewa dhamana ya kuongoza watu wa imani, itikadi, rangi, kabila zote bila kujali nafasi ya kiuchumi, kiuongozi, kiusalama, kiafya na kijinsia ili wajikwamue kutokana na lindi la umasikini ambaye ni adui...
Esteemed GT
This is my personal opinion based on the ongoing political hiccups in Tanzania, east africa, Africa, Europe, Asia and USA that democracy governance is on teh sharp decline right from teh first to the so called thrid wolrd.
When you meet a liberal, social, pluralist, conservative...
Jukwaa la msuguano wa akili na mawazo mbadala kwa kutoa sulushi kwa faida ya wote;
Kwa sasa Tanzania ina maadui wengi sana kutoka miongoni mwa Wananchi wake na viongozi wa kisiasa.
Maadui wa kimkakati ni watatu kama wanarivyorithishwa kila awamu ya uongozi ni Ujinga, Maradhi na Umaskini...
Wakuu,
Yapata takribani miaka 36 tangu waziri mkuu Edward Moringe Sokoine afariki kwa ajali ya gari huko Wami-Dakawa akitokea Dodoma baada ya kuahirisha bunge tarehe 12/4/1984 akielekea Jijini Dar Es Salaam. Eneo linalodaidaiwa ndipo ajali ilitokea baada ya gari alilokuwa akisafiria kugongana...
Wakuu,
Haya ni maono binafsi kwa rejea za USA Senate, EU council, wanaharakati wa haki za binadamu, waandishi wa habari wa ndani na nje ya nchi
1. Kati ya nchi inayotajwa zaidi duniani kwa sasa na mataifa mbalimbali iwe kwa wema au ubaya ni TANZANIIA
1. Kati ya Marais wanayeongelewa na watu...
Esteemed Great Thinkers
There is fast shift of the political diplomacy to economic and security diplomacy in teh current era that Tanzania should not grant a room to be aggressively superseded and call it a junk for fear to be blamed.
The country has to vigorously engage in strategic economic...
Wakuu,
Inaelekea mataifa tajwa hapo juu wamejizatiti kuendelea kuhuju ustawi wa Tanzania. Kifupi hizo nchi zisithubutu kushitaki popote, kupanga njama za kuvamia, kuhujumu ustawi wa nchi kwa kutumia mamluki, wasaliti na vibaraka wao.
Mataifa tajwa hapo juu hawana maslahi yoyote na madai ya...