Search results

 1. Utotole

  Msaada kuhusu tiba ya "Migraine Headache"

  Hello wana Forum, Ni imani yangu kwamba baadhi humu mnautambua ugonjwa huo tajwa. Sasa mimi nina ndugu yangu wa karibu ambaye anasumbuliwa na kichwa ambacho kila nikitafakari nazidi kupata hisia kwamba kinasababishwa na tatizo hilo. Kwanza kabisa ni dalili ambazo hutangulia "headache...
 2. Utotole

  Genghis Khan akizungumzia 'wanywaji'

  “Who can’t stop drinking may get drunken three times a month. If he does it more often, he is guilty. To get drunken twice a month is better; once, still more praiseworthy. But not to drink at all - what could be better than this? But where could such a being be found? But if one would find it...
 3. Utotole

  Kukuza msamiati wa lugha ya Kiswahili: Maneno ya kichochezi

  Watanzania tupo katika harakati za kuboresha na kukuza lugha yetu. Sasa hivi tunashughulika kuongeza msamiati katika kundi la maneno ya uchochezi. Mifano ya maneno ya kichochezi ni pamoja na hii ifuatayo: 1. "dikteta" 2. "ukuta" 3. "uchwara" 4. "Magu" (wilaya ya,) 5. "Mapinduzi" (as in Chama...
 4. Utotole

  No-box Thinking: Hivi ni kweli machafuko yanayoendelea Burundi ni Nkurunziza pekee wa kulaumiwa?

  Tarehe 25 Aprili 2015, chama tawala nchini Burundi CNDD-FDD kilitangaza kuwa rais aliyekuwa madarakani wakati huo (na sasa pia) atagombea tena muhula wa tatu kukiwakilisha chama chake katika uchaguzi uliotarajiwa kufanyika miezi michache baadaye. Uamuzi huo ulipingwa vikali na makundi mbalimbali...
 5. Utotole

  NACTE na ubutu wa kitengo chao cha mawasiliano na huduma kwa wateja

  Kwa wale ambao wamejaribu kuwasiliana na NACTE moja kwa moja kupitia email address(es) pamoja na namba za simu ambazo wameweka mtandaoni kwa ajili ya mawasiliano naombeni uzoefu: 1. Kuna ambaye email yake imepata kujibiwa na hawa jamaa? 2. Kuna yeyote simu alizopiga zimepokelewa? Maana mimi...
 6. Utotole

  Sababu za kiintelijensia zimebadilika tayari

  1. Nakumbuka mara baada ya kwisha uchaguzi mkuu, mikutano ya kisiasa ilikatazwa kwa sababu hali ya amani ilikuwa tete, nchi ilikuwa haija-stabilize kutokana na tension ya uchaguzi. Sijui uhalisia wake lakini hiyo ndiyo sababu iliyotolewa. 2. Baadaye mikusanyiko hata ya ndani ilipigwa marufuku...
 7. Utotole

  Msaada wapi naweza kupata betri ya Nokia Lumia 900

  Wana Forum naombeni msaada wenu. Nilipata kununua simu ya Nokia Lumia 900 online ughaibuni na miongoni mwa vitu ambavyo sikuwa nimeviangalia sana ni betri yake. Simu hii inatumia betri wanayoita non-removable, japo inaweza kuondolewa baada ya kufungua ndani kabisa na huko ndani imeunganishwa...
 8. Utotole

  Msaada: Ada (Tuition Fees) za Vyuo vya Ualimu: St. Aggrey, Archibishop Mihayo na Maurus Chemchemi

  Salama wanajamvi. Tafadhali kwa mwenye kufahamu ada za vyuo vya ualimu vifuatavyo anisaidie: 1. St. Aggrey Chanji College of Education and Business Studies (Sumbawanga) 2. Archibishop Mihayo University College of Tabora (Tabora) 3. Maurus Chemchemi Teacgers College (Sumbawanga) Natanguliza...
 9. Utotole

  Msaada jinsi ya kufanya application ya vyuo vya Ualimu kupitia CAS ya NACTE

  Hello wanaJF, Naombeni msaada kama yupo anayefahamu ni namna gani 'application for Teacher Education' inafanyika kupitia CAS ya NACTE anisaidie maelekezo, especially orodha ya vyuo vinavyotoa elimu hiyo kwa mwaka 2016/2017 maana kati ya guide books tatu walizoweka, ni kama masuala ya walimu...
 10. Utotole

  Messi na 'viatu' vya mabeki uwanjani

  Haya wandugu, Kwa wale mashabiki wa Messi (au hata wale wa Ronaldo) hizi hapa dakika 45 zilizokusanywa pamoja toka mechi mbalimbali ambapo Messi anaonekana kukabiliana vilivyo na viatu, vikumbo na makucha ya mabeki huku akijitahidi kadiri awezavyo asianguke na hata akianguka, kuinuka haraka au...
 11. Utotole

  Suala la wasiwasi Zanzibar: Waziri Kitwanga kafanya maigizo au ndio uwezo wake?

  Jana nilipata kutizama taarifa ya habari kupitia kituo cha television cha ITV. Pamoja na mambo mengine ilikuwepo habari iliyohusu ziara ya Waziri wa Mambo ya Ndai Mheshimiwa Charles Kitwanga visiwani Zanzibar ambapo alikwenda kujionea hali ya mambo kuelekea uchaguzi unaotarajia kufanyika tarehe...
 12. Utotole

  Hawa Waandishi wengine wa Magazeti sijui wanajifunzia wapi!

  Focus ya uzi huu ni habari inayomhusu First Lady Jana nilitazama na kusikiliza taarifa ya habari toka vyombo mbalimbali vya habari na mojawapo ya habari zilizotawala ilikuwa ile ya Mke wa Rais kutembelea makazi maalum ya wazee na walemavu, Nunge, Kigamboni jijini Dar es salaam. Akiwa huko...
 13. Utotole

  Je, ni sahihi kuita uchaguzi huu kuwa ni wa Awamu ya Tano?

  Lipo jambo ambalo linanitatiza hapa na kwa fikra zangu naona haliko sawa. Linaweza kuwa dogo, lisilokuwa na 'impact' yoyote, lakini kama ninavyofikiria ni sahihi ipo haja ya kuweka rekodi hizi sawasawa. Tunaambiwa, na sisi tunasema uchaguzi huu ni wa kuweka serikali ya awamu ya tano. Swali...
 14. Utotole

  Eti Hii nayo ni Ajali kama Ajali nyingine tu!

  Kuna kauli nyingine kwa kweli ni za kushangaza hasa pale kiongozi mwenye dhamana ya ulinzi wa amani katika eneo husika anaposema watu kupigwa risasi na kuuawa kwamba ni ajali tu kama ajali ya basi inavyoweza kuua watu kadhaa. Huu ni uwendawazimu kabisa...
 15. Utotole

  Ulishawahi kukutana na hesabu kama hii? Tupe experience yako

  Wakati nakumbana nayo kwa mara ya kwanza ilikuwa mwanzoni-mwanzoni mwa miaka ya tisini. Hesabu yenyewe muulizaji anakusomea kwa njia ya imla (dictation) na wewe unakokotoa. Akimaliza anakuomba umtajie jibu ulilopata. Kumbuka, mkokotoaji anakokotoa kimya kimya. Na hivi ndivyo inavyokwenda...
 16. Utotole

  Jinsi ya Kuanzisha gazeti Tanzania

  Amani kwenu nyote. Nia ya bandiko hili ni kuomba msaada kwa wale wenye taarifa au wameshapitia mchakato huu wanisaidie maelezo na utaratibu jinsi ya kuanzisha gazeti la kila siku au kila wiki hapa nchini Tanzania. hapa namaanisha ni hatua zipi na mahali gani natakiwa kwenda, kufanya nini na pia...
 17. Utotole

  Afya ya Dr. Ulimboka: Mwenye taarifa tujuze please!

  Habari wana JF, Naamini kila mtu anakubaliana na mimi kuwa habari ya Dr. Ulimboka inaanza kufifia hapa jamvini. Hii ni kawaida kwa kila habari mpya, huvuma, hufifia na kisha hupotea kabisa, hasa zinapokuja taarifa nyingine moto zaidi kwa wakati huo. Pamoja na hayo, suala la afya ya huyu...
 18. Utotole

  EWURA wamekaa kimya bei ya mafuta ikizidi kupaa, mpango wa bei elekezi umeishia wapi?

  Kwa kuwa mimi si mtaalam wa uchumi nitaanza kwa kuomba radhi pale nitakapoandika mambo yatokayo kwa mtu wa kawaida (lay person). Ni kuhusu bei ya mafuta inayozidi kupaa kila siku. Sasa hivi bei mahali fulani inakaribia kufika shiling 2000 kwa lita moja. Kipindi fulani hapo awali kulikuwa na...
 19. Utotole

  Tanzania tuko awamu ya ngapi ya uongozi?

  Nimekuwa nikifuatilia kwa muda mrefu sasa na kuzidi kuchanganywa na jinsi tunavyozipambanua awamu za uongozi, hasa urais katika nchi yetu. Mfano Baba wa Taifa Mwalimu JK Nyerere tunamwita Rais wa awamu ya kwanza (na awamu ile inaitwa ya kwanza). Ali Hassan Mwinyi watu wanamwita rais wa awamu ya...
 20. Utotole

  Elections 2010 Wapenda CCM ndani ya JF, mnazungumziaje mwenendo wa uchaguzi na matokeo yake?

  Uchaguzi umemalizika sasa na matokeo yameshatangazwa. Ma-Rais waliochaguliwa wameshatangazwa, mmoja alishaapishwa, mwingine bado ni mteule naye ataapishwa muda si mrefu (kama bado). Wabunge nao wataapishwa mara baada ya Rais kuapishwa na wote waliopewa dhamana wataingia kazini. Sitaki...
Top Bottom