Search results

 1. Roger Ramer

  Chuo bora kati ya DIT na NIT kwa mechanical engineering

  Nataka kuchukua diploma ya mechanical engineering na nmechaguliwa DIT na NIT. Kozi ya diplo kwa waliomaliza form6 kama mimi ni miaka miwili NIT lakini DIT ni lazima miaka mitatu. Naombeni ushauri wenu nikasome wapi?
 2. Roger Ramer

  Dondosha coment ya season kali uliyowahi kuiona

  Niadje ndugu unaesoma Uzi huu kwa wakati huu?.. Wakorea wanasifika sana kwa utunzi mzuri wa story ktk season zao. Je ni season gani kali uliyowahi kuitazama ukaipenda? Tutajie jina la season yoyote ile uliyoipenda iwe ya kichina, kikorea au hata ya kizungu na ni kwa nini umeipenda season hiyo...
 3. Roger Ramer

  Ndugu yangu mwenye umri wa miaka 19 anatatizo la kuwa na Kitovu kikubwa

  Ndugu yangu mwenye umri wa miaka 19 anatatizo la kuwa na Kitovu kikubwa, akaulizia kwenye maduka ya madawa asili akaambiwa dawa yake itakuwepo ila akaulizie jina la hiyo dawa kwa wataalam wa dawa za asili. Kama kuna mtu anajua jina la hiyo dawa ya kurudisha Kitovu ndani naomba anitajie.
 4. Roger Ramer

  Natafuta chuo kizuri kinachosifika kwenye kutoa mafunzo ya nursing kilichopo Dar

  Habar wapendwa wana JF, natafuta chuo kizuri kinachosifika kwenye kutoa mafunzo ya nursing level ya certificate kilichopo Dar Es Salaam naombeni mnitajie .
 5. Roger Ramer

  Nina gari canter, Je niifanyie biashara gani?

  Mimi namiliki gari aina ya center yenye uwezo wa kubeba tani 2. Nimeajiriwa na kampuni za bandarini hivyo natakiwa kila Siku ofisini gari nmepaki tu nyumbani. Wikend napata muda wa kutumia gari langu kwa shughuli za uzalishaji . Sihitaji kumpa dereva katikati ya wiki aniletee hesabu ninaendesha...
 6. Roger Ramer

  Naomba kufahamishwa module za Mechanical engineering

  Naombeni mnitajie masomo wanayosoma wanafunzi wa mechanical engineering diploma.
 7. Roger Ramer

  Talent

  Natafuta dojo la karate lililo karibu au maeneo ya gongolamboto. Naombeni msaada kwa anaejua linapopatikana.
 8. Roger Ramer

  Natafuta Scholarship, msaada

  Nipo form six nahitaji kutafuta scholarship nisaidieni jinsi ya kupata au link za kuomba scholarship
Top Bottom