Search results

 1. mjanja wa kijiji

  Afcon Itaonyeshwa kwenye channel gani hapa bongo?

  naomba jibu.
 2. mjanja wa kijiji

  Swali kwa waliowahi kuishi au kufika ulaya

  1.Kuna wanawake wanaopewa mimba kisha kutelekezwa na wanaume kama tz? 2.Iwapo mwanafunzi atapigwa mimba, miaka 30 itamuhusu huyo mwanaume aliyempa mimba? 3.Viongozi huwa wanafanya ufisadi? 4.Vipi suala la umeme kukata Kata hovyo? 5.Kuna waganga wa kienyeji wa kuongeza nguvu za kiume, mvuto wa...
 3. mjanja wa kijiji

  Kipande system imehamia Tanzania?

  Kipande System ni mfumo uliokuwepo Kenya kipindi cha ukoloni, ambapo kila mtu mwenye umri wa kuanzia miaka 18 alilazimika kulipa kodi na kuwa na kitambulisho cha kazi ambapo ilikuwa ni lazima utembee nacho popote uendako. Sasa kwa hapa Tanzania tangu itangazwe kuwa machinga wote wawe na...
 4. mjanja wa kijiji

  Utaratibu huu kwenye soka la bongo umetoka wapi?

  1. Kuona askari wenye virungu wakisindikiza wachezaji wakati wa kutoka au kuingia kwenye vyumba vya kubadilishia nguo. 2. Askari Polisi kujazana uwanjani na kuanza kutazama wachezaji ndani ya uwanja badala ya kulinda usalama kwa kuwatazama mashabiki. 3. Wakuu wa mikoa na wilaya kufanya...
 5. mjanja wa kijiji

  Kwanini wanaume tunakuwa hivi tukiwa Kanisani?

  Tunapokuwa kwenye ibada za kuabudu na kusifu hasa kwa makanisa kama kkt, Moravian, Anglicana utakuta asilimia kubwa ya wanaume tunakuwa na aibu kucheza wakati wamama wenyewe wanajiachia tu kucheza, lakin tukiwa kwenye miziki ya kilimwengu(disco) wanaume ndio tunaojiachia zaidi kucheza kuliko...
 6. mjanja wa kijiji

  kauka nikuvae ni nini?

  ni ile hali ya kufua nguo halafu kila baada ya dakika tano unaigeuza geuza utafikiri unabanika samaki jikoni, na pia unahamisha nguo kila wakati kwa kufuata mwanga wa jua.
 7. mjanja wa kijiji

  Adha za udomo zege

  kipindi cha balehe nakumbuka nilikuwa bingwa wa kutoa ushauri wa jinsi ya kutongoza madem kwa vijana wenzangu lakini wasichojua mimi nilikuwa muoga kwa madem hata kunguru ana afadhali, basi kuna binti mmoja mtaani nilitokea kumpenda sana lakini kumwambia ndio ikawa shida halafu binti mwenyewe...
 8. mjanja wa kijiji

  Naomba kufahamu kuhusu mvua na ndege

  nilipokuwa shule nilifundishwa kwamba wingu la mvua ni barafu, sasa hoja yangu ni kwamba ndege inawezaje kupita hayo mawingu bila kupata hitilafu yoyote?
Top Bottom