Search results

 1. Roger Ramer

  Chuo bora kati ya DIT na NIT kwa mechanical engineering

  Hiyo a.k.a imetokana na ukwel uliopo kwamba wengi wanasema pale ni pagumu
 2. Roger Ramer

  Chuo bora kati ya DIT na NIT kwa mechanical engineering

  yuo vinavyofanana na DIT ni kama vp?
 3. Roger Ramer

  Chuo bora kati ya DIT na NIT kwa mechanical engineering

  Hivi nkimaliza diplo DIT halaf nkaomba bachelor chuo kingine ntasoma bachelor miaka mitatu?
 4. Roger Ramer

  Chuo bora kati ya DIT na NIT kwa mechanical engineering

  Baada ya Kwan ugumu wake nini hasa?
 5. Roger Ramer

  Chuo bora kati ya DIT na NIT kwa mechanical engineering

  Nataka kuchukua diploma ya mechanical engineering na nmechaguliwa DIT na NIT. Kozi ya diplo kwa waliomaliza form6 kama mimi ni miaka miwili NIT lakini DIT ni lazima miaka mitatu. Naombeni ushauri wenu nikasome wapi?
 6. Roger Ramer

  Dondosha coment ya season kali uliyowahi kuiona

  Ok poa ila kwa ninavyofahamu series ni ule mfululizo wa episodes ambazo kwa ujumla wake ndo inaitwa season
 7. Roger Ramer

  Dondosha coment ya season kali uliyowahi kuiona

  Umetisha Mzee..nmeulizia nyama umeleta dagaa[emoji47]
 8. Roger Ramer

  Dondosha coment ya season kali uliyowahi kuiona

  Maana si ileile ndugu
 9. Roger Ramer

  Dondosha coment ya season kali uliyowahi kuiona

  Niadje ndugu unaesoma Uzi huu kwa wakati huu?.. Wakorea wanasifika sana kwa utunzi mzuri wa story ktk season zao. Je ni season gani kali uliyowahi kuitazama ukaipenda? Tutajie jina la season yoyote ile uliyoipenda iwe ya kichina, kikorea au hata ya kizungu na ni kwa nini umeipenda season hiyo...
 10. Roger Ramer

  Ndugu yangu mwenye umri wa miaka 19 anatatizo la kuwa na Kitovu kikubwa

  Ndugu yangu mwenye umri wa miaka 19 anatatizo la kuwa na Kitovu kikubwa, akaulizia kwenye maduka ya madawa asili akaambiwa dawa yake itakuwepo ila akaulizie jina la hiyo dawa kwa wataalam wa dawa za asili. Kama kuna mtu anajua jina la hiyo dawa ya kurudisha Kitovu ndani naomba anitajie.
 11. Roger Ramer

  Natafuta chuo kizuri kinachosifika kwenye kutoa mafunzo ya nursing kilichopo Dar

  Habar wapendwa wana JF, natafuta chuo kizuri kinachosifika kwenye kutoa mafunzo ya nursing level ya certificate kilichopo Dar Es Salaam naombeni mnitajie .
 12. Roger Ramer

  Chunusi: Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

  Baadhi ya watu huamini hamna tiba ya chunusi ila dawa huzipunguza tu. Je ulisha wahi kuwa na chunusi zikaisha kabisa? Tuambie ulifanyaje tufaidike pamoja.
 13. Roger Ramer

  Kuyafanya Meno Yenye Rangi Kuwa Meupe (Teeth Whitening)

  Naomba nkuulize. Kwa nnavyo fahamu fluoride compound ndiyo inayosafisha meno ingawa ina side effects. Sasa kama hiyo dawa haina fluoride inasafisha kweli?
 14. Roger Ramer

  Kuyafanya Meno Yenye Rangi Kuwa Meupe (Teeth Whitening)

  Poa. Aaah.. I think is a crazy qn but anakupigisha mswaki au anakusafishaje !!?
 15. Roger Ramer

  Kuyafanya Meno Yenye Rangi Kuwa Meupe (Teeth Whitening)

  Cjawahi kwenda kusafisha meno kwa daktari wa meno kama ww umewahi je inagharimu bei gan?
 16. Roger Ramer

  Kuyafanya Meno Yenye Rangi Kuwa Meupe (Teeth Whitening)

  Dawa za meno zina kemikali aina ya fluoride ambazo huweza kuozesha viungo ndani ya mwili baada ya muda fulani nmesahau specifically ni vipi (fuatilia uvijue) hivyo si vizuri kuacha kusukutua dawa maana italeta madhara baadae itakapo ingia mwilini.
 17. Roger Ramer

  Kuyafanya Meno Yenye Rangi Kuwa Meupe (Teeth Whitening)

  Uchunguzi unaonesha asilimia kubwa ya watanzania meno yetu hayang'ai sana lakini wapo wachache meno yao ni meupe sana. Jiangalie mwenyewe na uniambie upo kwenye kundi gani? Kisha niambie je unaamini ni asili tu ya meno kutokua na weupe unaon'gaa au kama sio nini tufanye ili kun'garisha meno...
Top Bottom