Search results

 1. Genisys

  COURSES MPYA NA SEKTA YA VIWANDA

  SALAAM.. Nachukua fursa hii kuwasilisha kwenu, shukrani za kipekee sana kwa Raisi wetu kwa kuja na sera ya viwanda ili Tanzania ielekee uchumi wa kati. Japo kuwa changamoto ni nyingi sana kwenye sector hii ikiwemo uhitaji wa resources za kutosha hususa ni Umeme wa uhakika, ili kuifanya sekta...
 2. Genisys

  MSAADA

  Habari wakuu! Naomba kupata MSAADA kisheria kwenye Hili. Kwa kawaida tunatakiwa kutumia Majina matatu kama utambulisho kwetu. Mfano. John Azra Lema. Vyeti vyangu vyote vya shule vina John Azra na Vitambulisho vyangu vya uraia vina John Azra Lema. Huwa linantatiza sana hili jambo. Naomba kupata...
 3. Genisys

  MSAADA WA EMOJI

  Salaam wakuu! Mwenye ujuzi jinsi ya kupata emoji ya question mark in a box kwenye simu aina ya iPhone 5s ansaidie?
 4. Genisys

  How to leave what's up group without notifying everyone in the group chat.

  Wakuu Msaada apa kidogo nimekwama kwa anaejua hii trick anisaidie. Sent using Jamii Forums mobile app
 5. Genisys

  eBay

  Msaada wakuu..! Kwa yeyote anaye fahamu jinsi ya ku_purchase mzigo eBay eg. Mobilephone, nawezaje kuepukana na mataperi na pia kuweza kupata kitu ambacho ni Og..kwa anayefahamu nitashkuru kwa maelekezo mazuri.
 6. Genisys

  LG G2 inashindwa kusoma 3G na H+

  Habari wakuu! Nna cmu aina ya LG G2, cmu hii ni 4g lte sasa bas huwa inasoma 2g na 4g tu, Nnapojaribu kueka setting ya 4g mtandao unakata. Mpaka ss line inayotumia ni halotel na inasoma 2g pekee, Naulza wakuu kama naweza kupata utundu wa kuifanya...
 7. Genisys

  Industrial Engineering manager ana wajibu gani kiwandani?

  Habari wakuu! Huyu mtu anafanya kaz gan kiwandan
 8. Genisys

  Tamthilia za Filipino

  Salamu wakuu! Nauliza eet zile tamthilia za kiflipino znazooneshwa na startv zlzokuwa translated in englsh znapatikana kwny web site gan..!?
 9. Genisys

  Bachelor of science in industrial engineering

  Salaam wakuu.. Nahitaji msaada kiundani kujua hiyo kozi tajwa apo juu. Shughuri zake viwandani, je inakua applicable viwanda vyote au baadhi ya viwanda lakini pia management ake inakua vipi? Natanguliza shukraan za dhati. Nawasilisha wakuu Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 10. Genisys

  Bachelor of science in industrial engineering

  salaam wanajamvi... Nahitaji msaada kiundani kuijua vizuri hii kozi tajwa apo juu. Shughuri zake viwandani, pia hiyo kozi inakua applicable viwanda vyote au baadhi ya viwanda lakini pia management yake iko vipi? Natanguliza shukraan za dhati Nawasilisha wakuu Sent from my BlackBerry 9900...
Top Bottom