Search results

 1. Mama Brian

  Mama aunguza mwanawe mikono kwa kuiba sh 200!

  jamani huu ni unyama wa hali ya juu na wala siyo kumfunza mtoto tena.
 2. Mama Brian

  Laptop for every varsity student !

  Good plan!
 3. Mama Brian

  Huu ni unyama wa hali ya juu!

  Jamani hivi kuna watu wana roho mbaya namna hii, mh dunia hii hata hatumuogopi Mungu?ama kweli imeniuma sana nikiwa kama mzazi.
 4. Mama Brian

  Dola yafanywa mbadala wa shilingi Dar es salaam!

  Jamani maoni yenu wana JF kwa mwendo huu tutafika kweli?
 5. Mama Brian

  Natafuta Nyumba ya kupanga Mbeya!

  Wadau wa JF naomba msaada kwa yeyote anayejua wapi naweza kupata nyumba nzuri ya kupanga Mbeya, iwe selfcontained,isiwe kubwa sana ya wastani.msaada tafadhari.
 6. Mama Brian

  Be aware!

  Jamani wadau wa JF nimepata visitor message kwa profile yangu huyo mtu anadai anaitwa Monica akaniambia amefurahi sana kuiona profile yangu na akasema tuwasiliane zaidi anataka tuwe marafiki akaniwekea na email adress yake nami bila ajizi nikaicopy na kumtumia mail. Asalale! majibu yaliyorudi si...
 7. Mama Brian

  Kiswahili kwenye kompyuta!!!

  Kiswahili kwenye kompyuta!!! Plans are already at an advanced stage for the Swahili language to be incorporated in MS Applications. Let’s take a sneak peek at developments so far: It’s the high time you buy a kamusi as things might not get easy as you can see below. 1. Mtambo wako unakimbia nje...
 8. Mama Brian

  Msaada wadau!

  Tokea juzi najaribu kufungua document zangu zilizopo kwenye Micro Softword 2003 hazifunguki, power point inafunguka kama kawaida, sasa sijui ni virus au nini naomba msaada wa kitaalamu.
 9. Mama Brian

  Jibu la China kuwa Super power hili hapaaa!!!

  Jamani wadau read an attchment about whether China will become super power or not sina mengi, zaidi yapo humo ndani!!
 10. Mama Brian

  Mambo ya UDOM hayo!!

  Hi dears, soma hiyo attachment mnaionaje ebu toa maoni yako ukiwa kama great thinker!!!
Top Bottom