Wanajamvi;
Wiki chache zilizopita za Saudi Arabia, UAE, Bahrain na washirika wengine waliamua kuvunja uhusiano na Qatar wakiinyooshea kidole kwa kuunga mkono makundi ya kigaidi. Hatua zilizochukuliwa ikiwa ni pamoja na kufunga ofisi za ubalozi, kupiga marufuku qatar airways kufanya safari...
Baada ya zama za kina Tyson, Holyfield, Lewis kupita heavyweight boxing inaonekana kukosa ule msisimko wa zamani. Mikanda mikubwa 5 yote imekamatwa na wanandugu toka Ukraine kina Klitchko huku kukikosekana wapinzani wakali wa kuwatoa jasho hawa jamaa. Wapinzani wao wa hivi karibuni Chisora...
Leo asubuhi maeneo ya mbezi karibu na shule ya HOPAC nimeona gari moja ikiwa imeteketea kwa moto...nilipouliza kulikoni nikaambiwa gari ile imechomwa moto na waendesha bodaboda baada ya gari hilo kumgonga mmoja wao na baada ya mabishano kati yao ndipo walipoamua kulichoma moto gari hilo! Na kama...
Laptop yangu ina tatizo....
Ninapoweka kwenye umeme na kuiwasha inafanya kazi kwa muda fulani huku battery ikiwa inacharge kama kawaida lakini ghafla huwa inaacha kucharge kuwa inarun on battery mpaka inazimika kabisa. Nimejaribu kubadilisha battery na kuweka mpya lakini tatizo hili bado...