Search results


 1. kanali mstaafu

  Ukweli kuhusu baadhi ya mabinti wa kilokole

  Awali ya yote naomba kuweka katika kumbukumbu za jukwaa hili kuwa, mosi, uchambuzi huu haujalenga kubeza, kukejeli ama kudhalilisha imani za watu. Pili uchambuzi huu hauwahusu mabinti wote wa kilokole bali na baadhi ya wengi wao na si wote wapo hivi. Pia nikiri kuwa, madhehebu ya dini zote...
 2. kanali mstaafu

  Mwenye wimbo wa ENIKA- BARIDI KALU auweke hapa

  Nauhitaji huu wimbo jamani.. aliye nao auweke hapa Nahitaji AUDIO wakuu.
 3. kanali mstaafu

  Ushauri:Mdada wa Qnet namvizia....

  Tulifahamiana kipindi nipo shule moja uboyzini na yeye alikuwa anasoma shule ya girls. So tulikuwa tunakutana kwenye ma event sababu shule zetu zilikuwa partners. Kanipa mwaliko ana project na ofisi zao zipo makumbusho na amesisitiza nikimuunga mkono atafurah. Na mm nimejiongeza tu atakuwa...
 4. kanali mstaafu

  Mwanza: Diwani wa kata ya Kabila (CHADEMA) ajiuzulu udiwani na kuhamia CCM

  Aliyekuwa diwani wa kata ya Kabila wilayani Magu mkoa wa Mwanza, Ndugu Edward James Kihamba amejiuzulu udiwani na nafasi zote ndani ya chama na kujiunga na chama cha mapinduzi ccm. Taifa ndipo lilipofikia.
 5. kanali mstaafu

  Nafundisha lugha ya kihispania.

  cómo estás..... Kwa yeyote mwenye interest na kujifunza kihispania. Kuna teknolojia ninayotumia kukufundisha misamiati, matamshi,nyakati, miundo ya sentensi na miktadha ya utumizi wa lugha hii kwa ujumla na unaelewa kwa ufasaha zaidi. Hili linawezekana hata ukiwa mbali siyo lazima tuwe...
 6. kanali mstaafu

  Ninachokiona uchaguzi jimbo la Ukonga

  Mimi sijawahi kupost post ya kisiasa au kuwa katika mabishano hot ya kisiasa lakini kwa ninachokiona Ukonga ni wazi kabisa waitara anashindwa. Kuna project naifanya maeneo yale kipindi hiki ambayo inanilazimisha kujichanganya na watu sana. CCM wasipotuliza vichwa vyao kuwaza jinsi ya kuiba...
 7. kanali mstaafu

  Kuhadithiana utamu kunawaponza wadada

  Siku moja nimeshuka katika usafiri wa umma niliamua kuingia supermarket moja pale Tabata fulani siitaji, ambayo wanauza maji ya kilimanjaro buku badala ya buku jero ili budget yangu niiminye. Baada ya kuchukua maji nikalipa yakawa scanned nikaanza kuondoka lakini kabla sijatoka dada mmoja...
 8. kanali mstaafu

  Shule za African Tabata nursery na primary zinapigwa mnada na CRDB leo

  Jana nikiwa naelekea segerea nikapishana na gari linatangaza mnada wa kuuza hizi shule na muuzaji ni CRDB. Nilisikia za chinichini kuwa huyu mmiliki wake anadaiwa madeni kama yote. Wenye nia jitokezeni. Sent using Jamii Forums mobile app
 9. kanali mstaafu

  Joh makini unamtafuta nini FID Q??

  Baada ya joh kusikia Fid q anaachia album yake ya kitaaolojia kesho Joh ameamua kuachia ngoma yake mpya inaitwa simwachii mungu halaf atatoa ngoma kila jtatu mpka tarehe 27.
 10. kanali mstaafu

  Madalali njooni hapa.

  Nataka chumba kati ya maeneo yafuatayo; tabata bima, magengeni,shule, aroma. Budget yangu ni kati ya 50k mpka 80k. Ukiwa serious njoo pm.
 11. kanali mstaafu

  Nimjibu nini huyu?

  Jamani hivi wanawake nani kawaroga?? Muangalieni huyu
 12. kanali mstaafu

  Maswali ya msingi juu ya tukio la kuuawa kwa nesi wa Mkuranga

  Kwanza nipende kutumia hii fursa kuwapa pole wafiwa na kulaani kilichotokea. Kila mtu anamtupia lawama muuaji japo kweli yeye ndo wa kwanza kulaumiwa lakini hii triangle ya marehemu, muuaji na shangazi ndio kiini hasa cha siri za mauaji haya. Nimekaa nikawaza maswali haya nikaona shangazi wa...
 13. kanali mstaafu

  Namna ya kupata ISBN number na copyright ya kitabu

  Habari ndugu zangu. Mm ni mwalimu niliyeamua kuweka maarifa yangu na ya wanazuoni wengine katika kitabu ili kuwasaidia wanafunzi na waalimu katika kujifunzia na kufundishia. Kitabu ni kwa ajili ya kidato cha tatu na cha nne. Sasa naomba msaada wenu nifuate taratibu zipi ili nipate ISBN number na...
 14. kanali mstaafu

  Nimetembea hospitali 5 sioni tatizo

  Tangu tarehe 26 nimeanza kuwa na dalili zifuatazo; .Kuumwa kichwa .Kukosa hamu ya kula .Homa kali natetemeka sana .Nakuwa nahisi mishipa ya upande wa kushoto kwenye moyo inakaza japo kwa mbali Nimeenda hospitali nimepima malaria, typhod na UTI ila sijabaini ugonjwa wowote kati ya hayo. Najua...
 15. kanali mstaafu

  Riwaya za Shaaban Robert

  Jamani mwenye soft copy za riwaya za huyu nguli naomba anitumie au anielekeze pa kuzipata
 16. kanali mstaafu

  Maana ya "Third love"

  Huu msemo nasikia kweny nyimbo za akifa 2pac, Fa, Fid q na wengine. Mwenye kujua anijuze maana halisi ya hii Third love
 17. kanali mstaafu

  Maana ya hii phrase "THIRD LOVE"

  Mara nyingi naona hiki ki-statement kinatajwa. akina 2pac na mwana Fa kwny nyimbo zao wameta. Naomba kuuliza hivi maana yake ni nini
 18. kanali mstaafu

  Taharuki baada ya fununu za wapima tezi dume kupita nyumba baada ya nyumba

  Jana nikiwa natoka job nilipita kwenye mchezo wa bao ili kama ilivyo kawaida yangu. Nilikuta story zimezagaa eti jopo la wapima tezi dume linapita nyumba kwa nyumba. Wanaume walikuwa wamehaha huku wakikwepa kurudi nyumbani mapema na kuahidi kudamka kukwepa hii kadhia. Ww Makonda naomba...
 19. kanali mstaafu

  Nyimbo 15 bora za HIP HOP kati ya 2000 na 2010

  15. Dar-Es-Salaam stand up -chid benz 14.Anakuja - Sister P 13. Hayakuhusu - Rah P 12. Stimu zimelipiwa -Joh makini 11. Bila sanaa -Imamu Abbas ft Juma nature. 9. Ni hayo tu - Fid q 10. Wauguzi -Wagosi wa kaya 9. Propaganda -Fid Q 8. Mchizi wangu remix. 7. Ukisikia paa remix - Jcb ft Jay moe &...
 20. kanali mstaafu

  Channel hii ya viuno youtube ni gumzo

  Sitaki kuongea sana kama unataka kahakikishe. Hii channel inaitwa BONGO SHOW TV. Yaan mpka sasa hivi mkunyenge haushuki maana niliyoyaona kule....... Mtakaoenda msiache kuleta mirejesho