Search results

 1. Mzururaji

  Rais Magufuli muongeze RC Makonda aongoze mapambano ya Covid-19

  Pole na majukukumu hapo Chato, Mheshimiwa Rais wangu. Baada ya kuwaza sana juu ya kuongezeka kwa idadi ya wagonjwa corona naomba nikuombe bomoa zile kamati muweke RC Makonda aongoze mapambano kwa sababu zangu ninazoziona. Kwanza Makonda akili imesha mkaa sawa sasa hivi naona ameamua kuongoza...
 2. Mzururaji

  Sijamlaumu Mtu na wala Sitaki kumlaumu MTU kuna eneo tumekwama kama nchi

  Salam!! Ukiambiwa Dr Salim Ahmed Salim aliteuliwa balozi nchini Misri akiwa na miaka 22 halafu ukalinganisha na vijana wetu wa leo wenye elimu na umri huo utaona km vile tunarudi nyuma badala kwenda mbele... Na ukiambiwa miaka ya 70 hadi 90 nchi yetu ilikuwa na vyama vya ushirika kila mko...
 3. Mzururaji

  CCM ilejee kwenye misingi yake CHAMA CHA WAKULIMA NA WAFANYA KAZI

  wakati tuna elekea maazimisho ya siku ya wafanya kazi duniani wafanyakai wa tanzania wamekuwa wanyonge bila mtetezi hasa kutokana na kunyimwa kwa stahiki zao ambazo zingine ipo kisheria haki hizo zimepokwa ama zimekandamizwa kwa makusudi na serikali ya awamu ya tano haki kama ya kupanda...
 4. Mzururaji

  Barua ya mnyonge Kwa Mhe, Rais

  Mhe rais natumaini kiafya mzima kabisa unaendelea vizuri kutimiza majukum yako ya kusaidia taifa hili Kwanza naomba nikupe pole zangu za dhati kwa msiba ambao umewakumba ndugu raia wako ambao ni ndugu zetu kutoka Bukoba, pia Pole kwa majukumu mzito Mhe, rais ya ujenz Wa taifa hili ambalo bado...
 5. Mzururaji

  Hii imekaaje kupatwa kwa jua kuwa Njombe dunia nzima?

  Hii imekaaje dunia nzima kupatwa kwa jua kuonekane njombe tuuu Ina maana dunia nzima inatokea Tanzania tu tena njombe peke yake? Je Tanzania nzima jua si hili hili moja kwa nini likipatwa lisionekane kote au kote kuwe Giza Naomba tusaidiane wadau mana naona hii kama fursa kwa Tanzania yetu...
 6. Mzururaji

  Waumini tuna cha kujifunza hapa

  Jana zilisambaa picha kwenye social media ambazo zilimwonesha Mhe, lowasa akiwa na viongozi wa serikali na chama cha mapinduzi akiwepo Mhe, rais na Katibu Mkuu wa CCM. Picha ilipigwa kanisan huku viongozi hao wakionesha furaha ya waziwazi akiwepo mama Regina LOWASA, mbali ya kuwa tunajua wana...
 7. Mzururaji

  Operation UKUTA dalili za mapinduzi?

  Wakat CHADEMA wakiendelea na maandalizi yao ya operation UKUTA ambapo wamepanga kuzunguka nchi nzima kwa kufanya mikutano mimi kwa upande wangu naona sasa hizi ni dalili za jaribio la wazi la mapinduzi kwa serikali inayoongozwa na Mhe, JPM. Bara la afrika na nchi nyinginezo duniani tulizoea...
 8. Mzururaji

  Upo sahihi rais wangu lakini uharaka wa nini?

  UPO SAHIHI RAIS WANGU, LAKINI UHARAKA WA NINI? _Na Mzururaji wa Gairo Morogoro_ Domo la bibi kizee hudaiwa hunuka lakini mate yake hutibu baadhi ya magonjwa kijijini kwetu!!Sahau ubaya wa baniani na tuanze sasa kutambua umuhimu wa viatu vyake. Hakuna shaka kuhusu ubabe wa rais wetu wa awamu...
 9. Mzururaji

  # Nawaza kijinga na mawzo ya kijinga.

  Nawaza kijinga katika ubora wa ujinga wangu! Mimi si nabii ila nahisi neno MAKONDA litaingia katika orodha ya misamiati mipya ya Kiswahili japo mpaka sasa sijui wanazuoni wa kitaa watalipa neno hilo maana ipi. Hili li dhahiri sasa na linatiwa nakshi na historia ya baadhi ya misamiati...
 10. Mzururaji

  Revealed: Upinzani kugomea kujadili hotuba ya rais

  Wapinzani wamegomea kuingia bungeni kwa na kujadili hotuba ya rais sababu hawana cha kujadili sababu siku ya hotuba hawakuwepo hivyo hawana cha kujadili. Tuwaombe wabunge wa upinzani tulieni wengine wajadili ambao walimsikiliza rais.Kama mmepata sababu ya TBC na hoja ya serikali kubana matumizi...
 11. Mzururaji

  Serikali ya ccm yafungua sekondari isio na maabara kimya kimya

  Serikali ya ccm wilayani kilosa imefungua kinyemela sekondari ambayo haina maabala, nyumba za walimu wala miundo mbinu ya kutosha kwa majengo hayo kuitwa shule. Awali serikali ilitoa tamko la kuto kusajili shule mpya za serikali kwani mkakati ulio kuwepo ni kuboresha shule za kata zilizopo kwa...
 12. Mzururaji

  Wana Yanga njooni tujadili

  Dirisha dogo la usajili linafungwa leo saa 5: 59 mpaka sasa yanga ina wachezaji sita wa kigen ambao ni jaja,continho, niyonzima, kihiza,okwi, na mbuyu twite na sheria inataka wachezaji watano wa kigeni sasa maxmo atamkata nani? Kumbuka akimkata okwi ndo simba washa mchukua na hela imeenda wakati...
 13. Mzururaji

  Ccm washindwa kugawa zawadi ligi ya mbunge gairo

  Chama cha mapinduzi kimeshindwa kugawa zawadi wakati wa fainal hapa gairo na kusababisha fainal kushindwa kufanyika kwan vijana waligoma kucheza bila zawadi ambazo walihaidiwa zawad hizo ni jezi na mpira kwa mshind wa kwanza
 14. Mzururaji

  Tusaidiane kujibu swali!!!

  Nimekua nikifuatilia wimbi la wahamiaji haramu kutoka Tanzania najiuliza kwenye sensa ya mwaka jana hawa watu si walihesabiwa kama walihesabiwa je kama wameondoka watanzania tupo pungufu au idad ipoje
 15. Mzururaji

  Msaada jamani

  Wanabodi! Kuna post humu nimepekua mpaka macho yamekua mekundu post yenyewe inazungumzia aina ya mavazi bint anaweza vaa kwenda ukweni naomba mwenye link ya hiyo aniwekee wadau
 16. Mzururaji

  Waungwana nisaidieni

  Mke wangu anataka kwenda ukwen kibaya nguo za vitenge nipen msaada aina za mishono ya kisasa
 17. Mzururaji

  Maswali magumu kwetu wenye majibu wapo busy

  "TUKUMBUSHANE" Hivi Gazeti la Mwanahalisi liko wap? Naye Dr.ulimboka amehamia nchi gan? Hv mgomo wa walimu lin? Na mafisadi wa EPA watanyongwa lin? Hivi unakumbuka mbunge analipwa posho kiasi gani kwa siku? Unakumbuka bunge liliamuru bwn jairo na philimon Luhanjo wafukuzwe kazi iliishia wap...
 18. Mzururaji

  Hii mitoto iliyopo!!

  Ticha: how old is your father? son: as old as i am teacher: how it is possible? Son: yes it is possible because he become father only after i was born @@@@@@@@@ Baba: mwanangu nikuulize swali mtoto:uliza baba baba: assume unafukuzwa na simba mara ukaona mti ukaamua kuuparamia gafla...
 19. Mzururaji

  Nimeshindwa kuvumilia

  Habari wana bodi naomba kuuliza kama kuna sheria yoyote ambayo ninaweza kumshitaki huyu mama diwan aliyefukuzwa kutoka chadema na kujiunga na ccm na kusudia kumshitaki sio kwa sababu kutoa siri ya kutongwozwa la hasha! Nakusudia kumshitaki kwa msongo wa mawazo alitusabishia sisi wazaz ambao...
 20. Mzururaji

  Kila la kheri darasa la saba

  Wakuu wa jf naomba 2watakie mtihani mwema ndugu zetu zomba na ritz na mwenzao njundanjundelekajo labda baada ya kuhitimu mtihan wao wa rasaba watakuweza kujenga hoja. mtihan mwema wanajamvi wenzetu pamoja na std 7 tz nzima
Top Bottom