Search results

 1. Futota

  House4Rent 3 bedroom house at Sinza uzuri

  BRAND NEW HOUSE, 3 BDRMS, 3 BATHROOMS, CLOSE TO MAIN ROAD- MOROGORO ROAD, SO VERY CLOSE TO MWENDO-KASI PUBLIC BUSES. RENT 500,000/MONTH (NEGOTIABLE) PAYABLE ONE YEAR IN ADVANCE. RELIABLE WATER SOURCE FROM DAWASCO AND A WELL WITH 7000 LTRS STORAGE TANKS. SAFE WITH "SUNGUSUNGU" NEIGHBORHOOD...
 2. Futota

  Natafuta fundi mbao

  Hello wakuu JF Natafuta fundi stadi wa mbao, tufanye kazi ya kutengeneza kwa kutumia mbao ya mninga au mkongo, kitchen cabinets pia kazi ya ku design walk-in-closet kwa kuweka shelves, drawers, hangers n.k. Tafadhali uni PM. Kazi ipo Dar
 3. Futota

  Natafuta Contractor/Civil engineer kwa Mkataba wa Ujenzi wa nyumba

  Jamani kama wewe ni contractor au civil engineer mwenye kampuni, basi tuwasiliane kwa Private message,tuongee biashara na kuingia mkataba wa ujenzi wa nyumba ya kuishi (1) na kuweka utilities....maji ya kisima na umeme wa Tanesco, ujenzi katika kipindi cha miezi 6 hadi mwaka 1. Ideally, malipo...
 4. Futota

  Ile Escudo 1995 4WD bado ipo sokoni

  Ndugu zangu wana JF, lile gari escudo, milango mitatu bado linauzwa na mwaka huu bei imezidi kushuka (kwani itabidi ulipie road permit ya miaka miwili (post). Bei sasa ni Tshs milioni 2 na nusu tu! Linatembea. Nitumie Private message tuongee zaidi, kama utapenda. Shukran!
 5. Futota

  Guest houses; eti hii ni kweli?

  Wanasema eti guest houses mara nyingi hujaa wake za watu wakiambatana na vijana wadogo wadogo, ati kulikoni waume za watu wakiambatana na mabinti wadogo wadogo. Wana JF hebu tuambizane ipi statement ni kweli kutokana na mtazamo wako. Cheers!
 6. Futota

  Wawili hawa yupi chaguo lako?

  Ungemchagua yupi hapa awe mwandani wako…. the red-head or the blonde au tuseme kimobitel au missbantu :smiling:
 7. Futota

  Damien Hirst and thought provoking art!

  Wewe unaonaje kuhusu hii?:thinking:
 8. Futota

  Returning citizen, upi ni utaratibu wa kupata TZ driving license?

  Wakuu wa JF, Tafadhalini naomba nijulishwe upi ni utaratibu wa kupata driving license for a returning resident. Je kuna haja ya kwenda driving school? Ninayo driving license ya huko majuu
 9. Futota

  Natafuta Contractor wa ujenzi

  Asalaamu Aleykum! Jamani wana JF, nimerudi tena, Natafuta Contractor wa Ujenzi, mwenye kampuni iliyokuwa registered, yenye ofisi. Yahusu kujenga nyumba ya makazi maeneo ya Manzese. Ni PM na contact zako
 10. Futota

  House for lease at Ali maua Kijitonyama area

  Jamani wana JF, Bado nyumba ipo sokoni for lease. Ni nyumba ya 3 bedrooms (one master bedroom en-suite), dining, living rooms, kitchen with attached storage room, recently refurbished house. 7,000 liters water storage tanks, umeme wa LUKU, fenced with an area for 2 cars to park. Safe...
 11. Futota

  Airport Dar na Masanduku/mizigo yetu

  Jamani haka ka mchezo ka kufungua masanduku/mizigo yetu airport Dar na kutuibia, kipindi kidogo cha nyuma tulipumzika. Sasa naona tabia hii imerudi tena. Kama wasipoiba kitu basi wanapaka sijui kemikali gani katika viatu nk. ambayo inaweka madoa yasitoka. Jamani hii ni nini lakini? Leteni...
 12. Futota

  Escudo 1995 inauzwa

  Only serious buyers please. Call or SMS, number +255 767999345. The price is Tshs 6 million only, negotiable
 13. Futota

  Mashallah anapendeza African Lady

  Amependeza, Mashallah!!
 14. Futota

  Mashallah anapendeza African Lady

  Amependeza, Mashallah!!
 15. Futota

  Photoshop---- ni balaa

  Aisee, check out this photoshopped picture of Kim and Kanye as overweight couple Lol. And compare this with a non photoshopped one Enjoy
 16. Futota

  Je huu ni Umbea? Tuambizane wadau wa Chadema

  Hii habari imeandikwa na mdau ktk blog yetu moja maarufu. Wadau wa Chadema, tuambizane basi :confused: Kwanza kabisa napenda kumshukuru mungu kwa kuniweka hai hadi muda huu,Kwa sababu ni wengi wanaowinda roho za binadamu wenzao ili wafiche maovu yao n.k Hapo juu ni madudu mengine ya Dr.slaa...
 17. Futota

  Katika hizi Models za Toyota ipi inafaa matumizi Bongo: Ushauri

  Wana JF ushauri tafadhali; Katika hizi models za gari la Toyota, ipi ni bora zaidi kwa matumizi Bongo?. Yaani ukizingatia uchakavu na upatikanaji wa spare parts. Hitaji pia ni gari lenye engine kubwa liweze kupanda miinuko. 1. Toyota Caldina 2. Toyota Ipsum 3. Toyota Premio 4. Toyota Camry...
 18. Futota

  Kina Mama nao kumbe wanaweza!

  Inapendeza sana namna hii. Sasa waTZ tunaachana na "ujinsia", kumbe hata kina Mama udereva wa mabasi ya mkoani wanaweza! Keep it up ladies :A S thumbs_up:
 19. Futota

  Chinese Civil Engineering contracting Firms.... toa ushauri

  Hello Wakuu JF, Hivi hawa ma contractors wa kichina huwa wanachukua contracts za kujenga nyumba binafsi za kuishi? Kama ndio, tupeane ushauri kutokana na experiences zetu, na pia contacts zao. Natanguliza shukran.
 20. Futota

  Go East, West, Central, South... Africans know how to do it

  Dance!! Its a Ghanaian thing! - YouTube
Top Bottom