Nilikuwa nasoma na kusikia ishu za kina Vicky Kamata lakini leo limefika mikononi...
Mdogo wangu alitaraji kufunga ndoa hivi soon shughuli zoote mnazozijua za maandalizi zilifika ukingoni...
Siku nne zilizopita nilipata simu ya Mume mtarajiwa akiniambia alikuta mesej ya mdogo wangu akitumiwa na...
Tuko, Heko na hongera kwa kuongeza miaka kadhaa ya kukimbilia uzeeni..
Nashukuru Mungu huyu kwa kuzidi kukuongezea miaka zaidi ya kuendelea kuwa nami na member wote wa JF , kwa michango mbali mbali ya mawazo yako..natumai miaka inavyoongezeka na comments zako zitaongezeka..
Tunakutakia HERI YA...
Rafiki wa kiume nafahamiana nae tangu enzi za darasa la kwanza. Tuliepotezana kwa muda mrefu tu, ikatokea tukakutana tena njiani, nadhani mwajua furaha inayokuwa kwa watu mliopotezana muda mrefu.
Tulibadilishana namba na since then tukawa tunachart vizuri tu tukapanga tuonane tupige stori...
Nimetoka kufatilia leo zile products za Man of God,Nimependa kushare nanyi taarifa hizi:
Products za SCOAN hazipatikani kwa sasa,si kwa anoiting water za zamani wala hizi mpya, Wanaozipata ni wale wanaoenda kulekule na haijulikani ni lini tena zitakuwa zinapatikana...
nimeambulia kurudi na...
Nawapenda Jf members wote lakini inafika hatua mnanikwaza,
Sidhani kama nimewahi kukwaruzana na mtu Humu Ndani,
Naomba kwa anayejua nilimkwaza aje ajitokeze na aseme, Ili turekebishe madhaifu yangu,mimi sio mtu mkamilifu na huwa sipendi kuchezewa rough na mtu...
Mara ya kwanza nilishakutana na...
Hivi karibuni kwa aliyepima, kituo chochote, aliambiwa kupima ni mara moja kwa mwaka sahizi?si tena ile kila baada ya miezi mitatu @?
Haya turudi penyewe leo,Habari mabibi na mabwana na wadogo zangu nawe miss neddy na Excel mzee mapicha ndhani leo utanisaidia kunibandikia pics.
Nashangazwa...
One of my dearest rafiki ( mwanamke), ambaye yuko kwenye ndoa kwa muda wa mwaka na nusu sasa, alianza kuishi na mchumba wake kwa muda mrefu tu.
Akiwa kwenye stage ya uchumba alikuwa akipata text toka kwa mashemeji na mawifi zake, wakimtaka aachane na ndugu yao, (yaani mwanaume) kwasababu...
Natanguliza samahani kwa wale ambao nitakuwa nimewakwaza jana,lakini ndugu zangu,Tupo kwajili ya kufahamishana tu sio ugomvi wala kashfa,kwani najua mtu akishajua mapungufu yake anajua jinsi ya kutafuta suluhisho.
Nawaheshimu sana kaka zangu,baba zangu,wadogo zangu wote humu JF,Tusambaze...
Watu wengi wanachukulia single momz kama hawana umuhimu tena na hawafai katika mahusiano. Siku hizi wanaume wengi ambao hawajakuwa na watoto utasikia wakisema "Mimi mwanamke wenye mtoto simtaki amechoka na amekongoroka kabisa huyo"
Kumbuka hapa kuna wanawake wengine hata ukikutana nae na...
Nakumbuka miaka hiyo style ya Afro ilibamba sana mitaani,na watu walikuwa wanapendeza sana yani kitu natural hair,
Lakini sahizi hao wenye style za afro wanaweka dawa nywele mwanaume mzima nywele kama kalamba mbwa bwana,
wengine viduku kama yule jogoo kishingo aliyenyonyoka manyoya,mi nachoka...
Habari ndugu zangu wote wa JF
Nimekuja na mkasa unaonihusu mwenyewe, Nina marafiki wawili wa kiume,nipo nao karibu kama ndugu zangu tu,Weekend iliyopita niliwakaribisha nyumbani tukae na kubadilishana mawazo,wale marafiki sikufahamu kama wanafahamiana kiukweli,
Kwa time tuko wote tulikuwa...
Mwiliwe, Mwiliwe bhahungu na bhakobwa???
Jumapili ya leo najua imetawala amani pande zote,
Kwasie tusiokuwa na mitoko leo,tulioamua kupumzika hebu tupeane habari,salaam,za pande hizo...Tuwaite na wengine jamani, tusogeze muda mbele siku iishe haraka...
Naomba kuuliza kidogo,eti nasikia JF...
Twambombooo....
Jamani hili nimeandika kwa experience kabisa, nikaona ni vizuri leo tueleweshane ili isaidie kurekebisha makosa fulani fulani kwa wale watakaokutana...
MADA: Meeting kwa mara ya kwanza, kwa wale ambao hawajawahi kuonana kabisaaa,mara nyingi wakitumia mawasiliano tu,tunashukuru...
Habarichiiii
Mimi nasema toka rohoni .....Kwa wale wanaume wanaotuletea matangazo ya kusaka wachumba,lazima watakuwa ni madomo zege na wengine hawatizamiki mara mbili, (kama masoud sura mbaya) na hata sent hawana..
Mwanaume mbaya hata kama sura ni maporomoko ya ukrain lakini kama anahela hakosi...
Habari za Jumapili wana MMU na wengine wooote toka majukwaa mbalimbali...
Nipo hapa leo kwajili ya Kutafuta amani kwa sie tunaotokea kukwazana kwa somecomments,
Inafikia hatua mtu kujenga chuki na mtu humu ndani,kiasi kwamba kila wakikutana sehemu yoyote JF lazima watoleane maneno ya karaha...