Search results

 1. Mizizi

  CHADEMA ngazi ya Mwenyekiti ni zamu ya Zanzibar

  Kwa habari tulizozipata ni kwamba, baadhi ya wanachadema wametaka nafasi ya uenyekiti Taifa iende Zanzibar ili kuudhihirishia kwamba chama hicho ni cha kitaifa na si chama cha upande mmoja na kanda moja. Zaidi wanasema, kupeleka kiti hicho Zanzibar kitaondoa hofu ya dhana iliyopo juu ya CDM...
 2. Mizizi

  Pole Ridhiwani Kikwete

  PAMOJA NA KUTUMIA GHARAMA KUBWA SANA KUUSAKA UBUNGE WA CHALINZE Ili kupunguza upinzani wa CUF na Chadema... sasa Chadema wameibuka na mbinu mpya ya kujiondoa katika mbio hizo na hivyo kukutia hasara bure... Mgombea wa Chadema anadai eti yeye alipanga hilo tangu maapema.. ila alifanya hivyo...
 3. Mizizi

  Kinachotokea zanzibar ni maslahi binafsi ya watu na si udini

  Ni Siri Nzito lakini acha tuiseme kwa maslahi ya Taifa Letu. imekuwa ikiaaminika ya kwamba kinachotokea zanzibar kwa Viongozi wa dini kukoswa kuuawa ama kuuawa ni eti Waislamu wa Zanzibar kuwachukia wakristo wanaoishi visiwani humo. hata kama hilo ni kweli basi ni kwa kiasi kidogo mno. Ukweli...
 4. Mizizi

  ATN ni wezi au ni nini??

  Nimehunishwa sana. Nimekuwa nikiona matangazo kwenye TV ya ATN kwa muda mrefu kwamba, wanauza ving'amuzi vya TING! Na ukinunua utaona mechi za Ligi kuu mbali mbali ulaya LIVE ikiwemo ligi kuu ya Uingereza! Cha ajabu juzi nimenunua, na hadi leo, mechi za ligi mbali mbali zinaendelea na sijawahi...
 5. Mizizi

  Kuitwa Kazini NSSF

  Jamani, Ndugu yangu anaulizia kama tayari wameitwa kazini wale aliofanya nao interview hivi karibuni! Kwani yupo hapa mjini tangu muda huo na hajui kinachoendelea!
 6. Mizizi

  Lulu na Ngwala ya ukombozi

  Poleni sana watanzania wote kwa msiba mkubwa, hasa kwa wale wapenzi wa Tasnia ya Filamu nchini, kwa kuondokewa na kipenzi chetu, kaka yetu, The Great Steve K!! Tulimpenda, ila mungu amempenda zaidi: Tukiangalia namna ingine ya kifo chake kilivyotokea. Kila mmoja amejaribu kuelezea vile...
 7. Mizizi

  Mponda: Nitajiuzulu kuepusha vifo na si shinikizo la madaktari!

  Waziri wa Afya Dr Haji Mponda amesema yeye atajiuzulu ili kuokoa roho za watanzania ambao wataathirika na mgomo mpya wa madaktari na si kwa shinikizo! Hayo aliyasema jana usiku kwenye kikao cha dharura cha baraza la mawaziri cha kujadili mgomo mpya wa Madaktari na Manesi! Hata hivyo Mponda...
 8. Mizizi

  Madaktari kwenye mgomo mpya

  Madaktari hapa wilayani Mafia wameingia kwenye mgomo mpya kuanzia leo asubuhi. "Total tools down" hiyo inaendelea hadi mda huu na kuathiri huduma za afya kwa wagonjwa ambao wanategemea kupata huduma kutoka hospitali hiyo pekee wilayani hapa. Hivi sasa magari ya hospitali hiyo zinasomba...
 9. Mizizi

  2012 dunia yako chaguo lako

  Chagua kuishi kwa amani na upendo, upuka migogoro isiyo ya lazima. Chagua kuishi vizuri kwa kufanya kazi kwa bidii. chagua kuepuka ajali za barabarani kwa kuepuka kunywa pombe na kuendesha. chagua mabadliliko ya maisha yako na jamii yako kwa ujumla
 10. Mizizi

  Wanaharakati Mafia watishia kuishtaki Serikali na DC!

  Wanaharakati Kisiwani Mafia wamedhamiria kuishtaki serikali pamoja na DC wa wilaya hiyo endapo sheria itakiukwa kwenye kushughulikia malalamiko ya wananchi wilayani hapa. Hayo yameelezwa leo pale wanaharakati hao walipokutana na wananchi ambao walikuwa wakilalamika juu ya ubaguzi wa sheria kwa...
 11. Mizizi

  Hii ya Mwakyembe vipi?

  Nimefika Dar sas hivi nikitokea Mwanza, nafika hapa Airport nasikia taarifa ambazo nahisi ni taarifa za uzushi, eti Dr Mwakyembe Amefariki. Haraka nikaingia JF ili nipate taarifa. Lakini sikukuta kitu kama hicho, nikajua haikuwa sahihi, kwani JF hutoa taarifa ndani ya Dakika moja jambo...
 12. Mizizi

  Mabom! Mabom! Mabom!

  Jamani yale mabomu kulipuka kwenye kambi za jeshi inaendelea, na sasa ni zamu ya Nevy Kigamboni!
 13. Mizizi

  UVCCM janga la kitaifa

  Nimeshangaa kusikia, Makamo mwenyekiti UVCCM bara Beno Malisa na Yule wa Zanzibar Jamal Ally, kufika Arusha na kutaka kufanya kazi za umoja huo bila uongozi wa huko kufahamu na kupewa taarifa. Hata hivyo, zoezi la viongozi hao kutaka kufungua matawi ya Umoja huo huko Arusha ulikwama baada ya...
 14. Mizizi

  Game Driver/Guide wanted

  Beach House and Safaris adventure group are looking for the experienced game driver/guide. Qualities - should be fluent in English. Additional languages are added aadvantage - Latest driving License - Knowlege in Tourists demands and hospitality - Flexible in the sense that, our workers...
 15. Mizizi

  Game Driver/Guide wanted

  Beach House and adventure group are looking for the experienced game driver/guide. Qualities - should be fluent in English. Additional languages are added aadvantage - Latest driving License - Knowlege in Tourists demands and hospitality - Flexible in the sense that, our workers are...
 16. Mizizi

  Mtoto wa Ngeleja anaitwa nani? Nataka kutunga singo aongee na mshua wake!

  Wakuu, nina idea ya kutunga singo ya kumpelekea ujumbe Ngeleja, nilipenda nitumie strategy ya kama "naongea na riz 1" pia naomba wadau waniongezee mistari katika wimbo huo! Asanteni
 17. Mizizi

  Binti Makamba, Lundenga, Miss Tanzania na roho zinazoelea!

  Ni dalili ya wazi kwamba ile dhana ya uzalendo iliyodumu kwa muda mrefu hapa Tanzania imeelekea kutoweka! Kikubwa na cha kushtusha ni kusikia taarifa ya Lundenga kwamba alipata taarifa saa tisa alasiri, wakati bado roho za watanzania zikiwa zinaendelea kuelea ndani ya maji ya kina kirefu kwenye...
 18. Mizizi

  Mwalimu Nyerere College Inahujumiwa!

  Kwa taarifa nilizozipata leo hii kutoka kwa wadau wa Mwalimu nyerere Memorial Academy ni za kusikitisha sana. Cha kusikitisha zaidi ni kwamba, mambo haya yanafanywa na vijana, ambao tulitegemea wangeleta mabadiliko na kusahau ile kasumba iliyokuwa ikishusha hadhi ya baadhi ya vyuo mbali mbali...
 19. Mizizi

  Natafuta wakili mzuri

  Mimi pamoja na familia yangu, tumedhurumiwa ardhi na mwekezaji! Story ilikuwa kama ifuatavyo: Mama yetu aikuwa na ardhi iliyoanzia barabarani na kwenda umbali wa mita kama 400 hivi hadi kufikia ufukweni. Mwaka 1995 Mwekezaji kutoka australia alikuja na kufanya makubaliano na mama yetu ya...
 20. Mizizi

  Ngeleja kujiuzulu ni lazima

  Ngeleja, Hakuna cha kusubiri, uongozi ni ridhaa. Ili uongoze inatakiwa unaowaongoza waridhie na uongozi wako. Kwa sasa hakuna mtanzania anaefurahishwa na mwenendo wa wizara unayoiongoza. Hakuna zuri la kufurahisha kwenye wizara yako, hakuja hata kimoja kwako cha kujivunia, hakuna jipya...
Top Bottom