Search results

 1. Kipis

  BlackBird I9000 Smartphone

  Specifications: System: Android 4.0 Platform: Dual Core ,1.2GHz Size: 167.1X90.1X10.5mm Network: GSM(850M/900M/1800M/1900M) WCDMA(850/2100M) Display: 6.0in. Resolution 480X854 (FWVGA), to support multi-touch capacitive screen Camera: 5.0million-pixel...
 2. Kipis

  Hebu pitia hapa.

  Ni karine nyingi sana tangu afrika mashariki ilipoanzisha msemo wa lunga ya kiswahili. Na hii ilisababishwa na muungano wa wageni nchini na wenyeji. Tangu wakati huo, lugha hii ilichukuliwa kama chombo cha potea kwani watalamidhi wengi nchini walijikita zaidi na lugha za kigeni!! Is it true...
 3. Kipis

  Sahara media na ujio wa king'amuzi cha continental!!

  Wadau heri ya X-mass na Mwaka mpya!! Tukiwa ndani mfumo mpya kwa mkoa wa Dar es Salaam wa Kidijitali,tunashuhudia wimbi la ving'amuzi likishamiri kwa kishindo. Hii itakuwa faraja kwa watanzania,baada ya kampuni ya sahara media kututangazia kupitia media zao kuwa king'amuzi kijulikanacho kwa jina...
 4. Kipis

  Is it easy a husband to know and understand his wife!!?

  There are great differeces,not only in the nature of man and woman, but also in their reproductive functions. In this sense,the man is simpler than a woman. He has only one thing to do to make a child give his semen to his wife in the act of love. A woman has five reproductive functions. In this...
 5. Kipis

  Bei mpya ya umeme kutangazwa leo

  Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Bei mpya ya umeme inatangazwa rasmi tayari kwa kuanza kutumika hivyo wananchi tujiandae kwa hilo. Wana nchi tunaumizwa na viongozi wasiokuwa na huruma kwa wananchi wao ukilinganisha na hali mbaya ya maisha tulionao. Bidhaa zimepanda bei kipato bado kipo palepale...
 6. Kipis

  Maadili

  Swala la maadili limekuwa tatizo sugu sana katika jamii ya kitanzania,licha ya taasisi mbalimbli za dini na zisizokuwa hizo kulikemea. kwa watu muishio Dar es salaam hili litakuwa si jambo geni machoni mwenu. Wakati fulani serikali ilishalitolea tamko jambo hili lakini nadhani wanaohusika...
 7. Kipis

  Ni nini chanzo cha haya matatizo na tiba yake?

  Sina uhakika kama wote au baadhi huwatokea haya matatizo hususani kwa wajawazito. kuvimba miguu kwa kinamama wajawazito ni dalili ya nini! chanzo chake na tiba yake ni nini hasa? Pia baadhi yao kama si wote kutokwa na mabaka tumboni mfano wa utangotango ambao husababisha maumivu sehemu...
 8. Kipis

  Singo nyingine ya TANESCO!

  Nimesikitishwa sana jana na kauli ya tanesco kuhusu huu mgao wa umeme usiojulikana kikomo chake. tanesco inawashangaa wananchi kwa kuwatupia wao lawama kuhusu mgao wa umeme,bila kujua nani anasitahili kutupiwa lawama hizo. kwa mujibu wa maelezo ya tanesco kwa wananchi,wanadai eti wao kwa...
 9. Kipis

  Shamba linauzwa

  Shamba lenye ukubwa wa mita 280 urefu na 247 upana linauzwa maeneo ya kimbiji,nnje kidogo ya mji wa kigamboni. Shamba lina mazao ndani yake kama vile minazi,migomba,michungwa nk. Bei ni Tsh.80,000,000/= haina udalali 4more info:0774 664 478
 10. Kipis

  Azam cola

  Ni kiburudisho kilichotokea kupendwa na jamii ya kitanzania na hata nnje ya mipaka yetu,chakushangaza kiburudisho hiki kimekukuwa adimu kwa siku za hivi karibuni. Kuna tetesi nimezisikia kuwa,uzalishaji umesimamishwa kutokana na jina la mwisho linalotumika kwenye kinywaji hicho,(cola)...
 11. Kipis

  Shamba linauzwa

  Upande wa mshariki lina urefu wa mita244, upande wa kaskazini, lina upana wa mita247, upande wa magharibi,lina urefu wa mita280 na upande wa kusini,lina upana wa mita123. Shamba lipo kimbiji wilaya ya temeke,mkoa wa dar es salaa. <br /> <br /> ni mwendo wa masaa mawili au moja na nusu kutoka...
 12. Kipis

  Ushauri wenu unahitajika wana jf

  Nina sister wangu yeye ni mjamzito, uja uzito wake una tkribani miezi kama sita hivi.<br /> <br /> katika kipindi hiki alichokuwanacho, kuna baadhi ya matatizo huwa yanamtokea kama vile kufa ganzi kuanzia maeneo ya kiuno hadi Miguuni. Pia kuna wakati anaishiwa nguvu kabisa. Anaomba msaada...
 13. Kipis

  Nokia E61i

  Nokia E61i,ipo sokoni.
 14. Kipis

  Shamba linauzwa

  Shamba lenye ukubwa wa ekari sita (6) linauzwa maeneo ya puna-kimbiji. Lipo karibu na Anderson beach ni dakika kumi na tano tu(15mns) hadi kufika beach. Kwa more infomation: contact 0715 664 478.
 15. Kipis

  Msaada wakuu

  Nina tatizo ambalo lina muda mrefu takribani miaka 32 sasa. Nakumbuka hili tatizo lilinianza wakati nipo primary school. Siku moja wakati nipo home nafanya home work,ghafla nilijisikia baridi kali na moja ya kokwa yangu imevimba. Nilihisi kuwa na maumivu makali sana,lakini hayo maumivu...
 16. Kipis

  Nyoka akijivua gamba hageuki kuwa kenge

  Sishangai sana kwa mh.jk kwa yale majibu aliyoyatoa alipokuwa akihojiwa na bbc.7bu huyohuyo mh.jk alishauambia uma wa watanzania kukatika umeme itakuwa historia baada ya mitambo ya richmond kuwasili pale airpot.imekuwa kawaida mh.rais wetu kwa kauli kama zile.sera ya kujivua gamba kwa ccm ni...
 17. Kipis

  Kiwanja kinauzwa

  Kiwanja kinauzwa kipo maeneo ya kigamboni kwa pinda. Kina ukubwa wa futi 60 kwa 70 kinatazamana na fun city. Bei 6'000'000/= 0784664478
Top Bottom