Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetoa awamu ya kwanza ya majina ya wanafunzi 25,532 waliopewa mikopo kwa mwaka wa masomo 2018/19. Mkopo huo una thamani ya TZS Bilioni 88.36 ambapo wanafunzi wa kiume waliopewa ni 16,085 na wanafunzi wa wakike ni 9,447.
Source: Swahili TImes
Habari,
Kwa wale waliochagulia UDSM without mulitiple selection, kuna mtu mwingine anaekutana na ujumbe "You have REJECTED this admission offer " ilihali hakukua na sehemu ya kukubali wala kukataa? Mwanzoni walikua wamendika "Your admission offer is confirmed to this institution" ila sasa...