Search results

 1. zegebovu1

  Tractor la kulima linahitajika Dar

  Habarini wadau, Kama heading ilivyojieleza, nahitaji tractor la kukodi kulimia hapa Dar. Kama kuna mtu anayefanya biashara hiyo please naomba mawasiliano yako, au kama kuna mtu mnamjua anafanya hayo mambo naombeni mawasiliano yake.
 2. zegebovu1

  Wapi ntapata cement ya Dangote hapa Dar-es-Salaam

  Wadau kama kichwa cha habari kilivyojieleza hapo, kikubwa nimevutiwa na bei ninayoisikia juu juu ya 8,000/= sasa najaribu kupata details za wapi ntaipa hiyo cement kwa hapa Dar-es-Salaam maaana ukiingia site unapata contact za Nigeria tu afu ukipiga full mizunguo, kama ile ya mtwara imeshaingia...
 3. zegebovu1

  Nahitaji surveyor haraka

  Nahitaji surveyor haraka sana kwa ajili ya kunipimia viwanja, kama wapo humu naomba wani PM or kama kuna mtu anaweza kunipatia mawasiliano yao naomba aniPM niweze kuwasiliana nao,
 4. zegebovu1

  Kiwanja kinauzwa

  Nauza kiwanja kipo goba km2 kutoka barabara ya lami kipo kwenye barabara ya mtaa. Mitaa imepangika vizuri na kumejengeka vema kuna umeme na huduma zote za kijamii. Ukubwa 20*20meters bei 9mil. Contact 0755643324
 5. zegebovu1

  Kiwanja kinauzwa

  Kiwanja kipo goba km4 toka itakapokuwa barabara ya lami. kina face barabara ya mtaa. mtaa umepangika kisasa, umeme upo karibu kabisa. kina ukubwa wa 400sqm. Bei mil 8.5 serious buyer contact +255755643324
Top Bottom