Search results

 1. jem_the_great

  Msaada: Namna ya kupata nyumba NHC Urafiki

  Habarini wakuu, Poleni na mihangaiko ya kila siku. Naomba kuuliza namna ya kupata nyumba za NHC urafiki kwa yeyote mwenye kufahamu. Msaada tafadhali.
 2. jem_the_great

  Ushauri tafadhali: Mpenzi wangu kakataliwa nyumbani

  Habarini za weekend wakuu, Natumaini wote ni wazima wa afya njema.. Ni hivi mimi nina mpenzi wangu tuna miaka minne sasa toka tuanze mahusiano yetu na kama ilivyo kawaida mkiwa kwenye mahusiano lazima muwe na mipango mingi ya maisha yenu ya kifamilia hapo badae mungu akijalia. Kwa kuwa...
 3. jem_the_great

  Kwanini Kundi la P Square limevunjika?

  Habarini wana jamvi.. Nimesikia tetesi hawa jamaa wamevunja kundi lao.. Anaefahamu nini chanzo?
 4. jem_the_great

  Msaada: Emergency Contraceptive Pills

  Habari wakuu, Naomba mnisaidie kupata jina la emergency contraceptive pills zozote.
 5. jem_the_great

  Betting Nigeria

  Wakuu habar za leo! Naomba kwa anaefahamu aeleze sababu za Kanjibai kukimbia Nigeria wenzetu wanaigeria walitumia njia gani? Naomba tufahamishane wakuu!
 6. jem_the_great

  Naomba kufahamu kuhusu ving'amuzi vya Zuku

  Wakuu naomba msaada kujua local channels zinazopatikana kwenye king'amuzi cha zuku. Pia naomba ushauri king'amuz gani ambacho ni kizuri kutumia ukiondoa startimes.
 7. jem_the_great

  msaada wa serial key kaspersky 3.0v

  wakuu mwenye serial key za hiyo version ya kaspersky naomba anisaidie
 8. jem_the_great

  Mpenzi wake wa zamani bado anamuhitaji kimapenzi

  Habarini wana MMU. Jamani nina girlfriend wangu tunakama mwaka mmoja na miezi kadhaa, kiukwel nampenda ila tatizo linakuja mwanaume aliyekuwa nae(ex boyfriend wake) bado anamsumbua sana, yaani jamaa ni king'ang'anizi sijapata kuona. Mara ya kwanza niliona kawaida ila imefika hatua hiki kitu...
 9. jem_the_great

  Wapenzi wa Nollywood

  Jaman wale wapenz wa muv za kutisha za kinigeria naomba tukumbushane kidogo..mm nilizipenda zaid KARISHIKA,LAST BURIAL,BILLIONARES CLUB,MARRIED TO A WITCH,HIGHWAY TO THE GRAVE,END OF THE WICKED,40 days in wilderness..na nyie ongezen wakuu
 10. jem_the_great

  Nauza HTC salsa c510e

  Laki 1 na 20 nauza aliye tayar ani pm..npo dsm
 11. jem_the_great

  Utabiri wangu world cup

  Quarter final Brazil vs Colombia Winner brazil Netherland vs costarica Winner Netherland France vs Germany Winner germany Argentina vs USA Winner Argentina Semi final Brazil vs Germany Winner Brazil Nertheland vs Argentina Winner Argentina Final Brazil vs Argentina Winner...
 12. jem_the_great

  Anaefaham historia ya komandoo Tamim

  Msaada wana jf kwa anaefahamu historia ya huyo bwana tamim
 13. jem_the_great

  Tablet ya Samsung inauzwa

  Bei yake lak nne na nusu haina tatizo lolote aliye tayar ani inbox Model tab2.10.1
 14. jem_the_great

  Machine ya kubet inauzwaje?

  Habarin wanajamv anaefaham bei ya hiyo machine naomba anifahamishe..
 15. jem_the_great

  Girlfriend wangu hatak kubadilika

  habarin wanajamvi.katka siku za hiv karbun tumekosana na girl wangu kutokana na tabia za ukal,na kuchukia bila sababu ya msingi.nikaona n bora tukae chin ili tuyasuluhishe.lakin baada ya kumwita na kuongea nae akaniambia kuwa yy amezaliwa na tabia ya ukal kwahiyo hawez badilika na kama...
 16. jem_the_great

  Kwa watumiaji wa Vodacom

  Jaman naomba niulize kile kifurush cha wajanja night bado kipo?
 17. jem_the_great

  Mionize kwenye chips

  Sina uhakika sana kama nimepatia spelling...lakin n moja ya vionjo vinavyowekwa kwenye chips...nmesikia ina madhara hasa kwa wanaume..kwa anayefahamu mandhara yake n yap??
 18. jem_the_great

  Mihogo mibichi

  Jaman hii biashara ya Mihogo mibichi naona imesheheni sana jijini dar kwa sasa!!!kulikoni wadau atiii!!!!!?
 19. jem_the_great

  KAKA' vs Ronaldinho gaucho

  Ng'ombe hazeeki maini!!kwa sasa kaka na ronaldinho wanafanya vizur kwenye club zao,yote kwa ajili ya kumshawishi scolari waitwe kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Brazil.na big phil alisema kwamba kati yao mmoja ataitwa kikosini endapo ataonyesha kiwango kizur.Je ni yupi unaona akiitwa ataongeza...
 20. jem_the_great

  Nahitaji kufahamu

  Habar zenu wana jamvi?nahitaj kujua hivi kuna ubaya mwanaume ukiishiwa fedha kuomba msaada kwa girlfriend wako??
Top Bottom