Search results

 1. pisi jacky

  Looking for something hanging in between

  Hello men!! Looking for someone to talk to... not a relationship neither friendship!?! Nothing serious just talking cuddle Abit.... Damn just tired of being single but not in a mood to be in a relationship anyone interested come kwa pm Should be tall black guy age 32 above I prefer deep voice...
 2. pisi jacky

  Dear ladies...

  Hope mko poa... Niwaibie siri mwenye maskio na asikie. Jamani siku hizi kuna kamsemo, "mwanaume akimwaga mboga we mwaga ugali ikiwezekana mwaga hadi maji ya kunawa". Jaman mwanamke asiposimama imara dunia yote inayumba, kamwe kwenye maisha yako usimlipe mwanaume ubaya kwa ubaya anaokutendea...
 3. pisi jacky

  Nashauri kipindi cha mvua wanafunzi wawe wanavaa buti za plastiki

  Sio mwanangu plus nimeongea in general kwa sababu hii ni rain season afu uajabu wa wazo sijauona kama hujala mchana kaa kwa kutulia usije hapa na kelele hujaitwa.
 4. pisi jacky

  Nashauri kipindi cha mvua wanafunzi wawe wanavaa buti za plastiki

  Kuna kuibiwa na kupoteza na mtoto wa darasa la kwanza kumpatia vitu vingi sidhani kama vitarudi salama.
 5. pisi jacky

  Nashauri kipindi cha mvua wanafunzi wawe wanavaa buti za plastiki

  Ningependa kuiomba serikali yangu tukufu na njema, kwa miezi hii ya Januari hadi Aprili watoto wawe wanavaa buti za plastic shuleni. Iweke tu sheria ya buti nyeusi, kwa sababu katika kipindi cha mvua watoto hukanyaga sana maji machafu. Leo nimekutana na katoto ka darasa la kwanza kamevua viatu...
 6. pisi jacky

  Hivi inawezekanaje kufanya unyama kama huu kwa mtu unayempenda?

  ~ Mke ni baraka ~ Mke ni mlango wa mafanikio ~ Mke anakuletea watoto unaheshimika kama mwanaume ~ Unapokwama mke anasimama usifedheheke ~ Linapokupata jambo la aibu na fedheha mke anakuwa kama mtandio kukufunika ile aibu ikuondoke Lakin narudia tena lakini jikague kabla hujaoa. Jiangalie...
 7. pisi jacky

  Uke wenza...

  Happy new year [emoji95] Hope mko poa, tuanze mwaka na simulizi izi mbili za wake wenza. Ya kwanza ni ya kijana mmoja natamuita dany, dany alioa kwa bahati nzuri au mbaya mkewe hakubahatka kuzaa ivo dany katika pita pita zake akakutana na kabinti kamoto kweli yule binti alibeba mimba na kuzAa...
 8. pisi jacky

  Gentlemen nawaita kwa heshima zote

  Hello, everyone Hope mko poa, siku kazaa zimepita niliitisha Kikao Cha ladies. kutaka kujua kwanini mala nyingi hua haiwezekani kushare mwanaume[emoji848] wapo waliorespond raha ya mume muwe zaidi ya mmoja! Wapo waliobisha kabisa[emoji2955] wengine Hadi nimewaona pm wakieleezea kwa hisia Kali...
 9. pisi jacky

  Kisa cha Mimi kugombea demu na Jini

  Achana na moderators wasamehe bure Enhe ikawaje Sasa[emoji4]
 10. pisi jacky

  Ladies mkuje hapa tuseme jambo

  Hope mko poa Moyo wangu unasononeka sana, ndan ya wiki moja yametokea matukio ya ajabu sana hapa mtaan kwetu. Yaan kila nikifikilia na kuangalia nakosa hata ham ya kula. Lakini kabla sijawasimulia naomba Niulize swali. kuna shida gani?!mwanaume akiwa na wake wawili na wote anawahudumia vzuri...
 11. pisi jacky

  Wanaume mnaopiga wake zenu

  Wasalaam, Mungu ametuumba tu katika hali ya kutegemeana, moyo wangu unaniuma sana ninapoona watu wanapishana to the extent wanapigana . Kwa wanaume mnaopigwa mtanisamehe, sikuhukumu mwanaume unaempiga mkeo Wala sikunyoshei kidole. Let's talk just talk Najua mpaka unachukua uamuzi wa kumpiga...
 12. pisi jacky

  Dunia ina Mambo...

  Sasa ndo tunakwambia wanawake sio wachoyo na huyo wakwako kama ni mchoyo wewe ndo sababu
 13. pisi jacky

  Dunia ina Mambo...

  Nature is nature mwanaume always anatakiwa aheshimiwe na mwanamke apendwe utatetea sana but asili ya ndani hua haijifichwi and remember always respect is earned. tofauti na upendo
 14. pisi jacky

  Dunia ina Mambo...

  Ukweli hua unakera sana I can feel you[emoji3][emoji3][emoji3]
 15. pisi jacky

  Dunia ina Mambo...

  Read carefully before replying child.
 16. pisi jacky

  Dunia ina Mambo...

  The boring ain't bout the handwriting, It's the truth behind the handwriting that bores you. Anyone reading and accepting what I've written won't complain it's boring. By the way reading and commenting it's optional no one forces you to read[emoji3166] With love Jacky.
 17. pisi jacky

  Dunia ina Mambo...

  Vijana wetu wa kiume hamjambo, nawasalim ni mim tena mwandiko bila nukta Wala vituo. Kuna wakaka mi nawaita watoto, bila kujali umri wao yaan n wavulana. unakuta mvulana ana More than 34 years hajaoa, ila kakazana kupost "mwanaume mwenye gari utamkuta unapopaki gari lako" mala nyingi mtu...
 18. pisi jacky

  Watu waliosoma Urusi kwanini wakirudi nchini wanakuwa na kasoro fulani?

  [emoji16][emoji16][emoji16] mekupenda bure
 19. pisi jacky

  Kuoga mara mbili

  Pakawaida tu tena pakwangu sishei na mtu basi tu yaan nkizaa mtoto wa kiume akachukua hii akili angu sijui itakuaje[emoji19][emoji19][emoji19]
Top Bottom