Salaam wakuu,
Rejea kichwa cha habari hapo juu, natafuta boda boda ya mkataba au kwa siku, maongezi zaidi nipo hapa kujibu, nipo Dar es Salaam. Tufanye biashara.
1. Kuna wataalamu wa kuchukua mabeki tatu. Yaani hata aje beki tatu gani, anaye, yeye mademu wengine hana habari nao.
2. Kuna wataalamu wa kuchukua vicheche. Yaani kicheche kwake hapindui na hajisikii poa akiwa na mademu wa kawaida.
3. Kuna wataalamu wa kuchukua watoto wa geti, nyie...