Search results

 1. CHAUMMA Tanzania

  TANZIA Wakala wa CHAUMMA visiwani Pemba auawa

  Viongoz wa CHAUMMA Tupo mazikoni kwa wakala wetu aliyepigwa risasi Jana Usiku majira ya saa 6 usiku katika kituo cha kupiga kura skuli ya vitongoji Jimbo la wawi. Wakala wetu wa CHAUMMA aliyeuawa anaitwa Muhammad khalfan Mjaka. Maziko ni baada ya sala ya alasir Leo tarehe 27 /10/2020...
 2. CHAUMMA Tanzania

  Uchaguzi 2020 Mawakala wa CHAUMMA wanahujumiwa. Tukisema uchaguzi unavurugwa na Tume yenyewe, hii ndio maana yake

  Tumefanya Kila jitihada kuhakikisha tunampata MKURUGENZI WA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI Ndugu Mahera lakini Hapokei simu na Wala Ofisini kwake hakubali kuonana nasi. Tunazidi kuamini Kuwa yeye ndio karatibu kutoa maelekezo kwa Wasimamizi wa Uchaguzi Ngazi ya Majimbo kutokuapisha Mawakala wa...
 3. CHAUMMA Tanzania

  Uchaguzi 2020 Kutoapishwa kwa mawakala wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA)

  Wewe kundi lako Itakua la kukosa ... Fuatilia Mambo Vizuri usiwe unaropoka Hovyo wewe
 4. CHAUMMA Tanzania

  Uchaguzi 2020 Kutoapishwa kwa mawakala wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA)

  Kunywa dawa upone uondokane na huu ujinga wa kuropoka ropoka !
 5. CHAUMMA Tanzania

  Uchaguzi 2020 Kutoapishwa kwa mawakala wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA)

  We unaumwa eeh , kibaraka iwe CHAUMMA !? ebu pima Vizuri andiko lako .Labda hufatilii Vizuri Siasa za Tanzania
 6. CHAUMMA Tanzania

  Uchaguzi 2020 Kutoapishwa kwa mawakala wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA)

  Tunapenda kuufahamisha UMMA kuwa wasimamizi wa uchaguzi katika maeneo yafuatayo wamegoma kuwaapisha mawakala wetu:- 1) Bariadi 2) Bunda 3) Sinyanga Mjini 4) Morogoro Mjini 5) Chemba 6) Alumeru Pamoja na maeneo mengine mengi, Pia kwa upande wa Zanzibar (Chakechake) mawakala wetu wa CHAUMMA...
 7. CHAUMMA Tanzania

  Uchaguzi 2020 Kabendera: Nichague Ubunge jimbo la Ubungo nikomeshe tatizo la wanafunzi kushindishwa njaa shuleni kwa kuleta 'Ubwabwa Mashuleni'

  Tuchague Kukomesha kushindishwa Njaa watoto wetu Shule za Serikali. Wagonjwa wanaolazwa Mahospitali ya Serikali wapate huduma ya Chakula kwa gharama ya Serikali.
Top Bottom