Kwanza jua kilichosababisha kufeli kimaisha ni nini? Halafu tafuta hiko kilichokusababisha wew kufeli je kuna waliopitia kama hicho na hawajafeli? Sasa hapo tumia mbinu zao kuhakikisha na wewe unashinda.
Hongeren wababa wte mliopo hum,niwatakie happy father's day,ila kama wew n baba na unamchepuko nje hii hongera yangu usichukue,nawale wa baba ambao mlizalisha hamjaoa ila mnalea watoto wenu mbarikiwe pia,ila kama ulizalisha alafu hujui kulea wew pita kushoto [emoji23][emoji23]