Search results

 1. Muk

  Kuwa na ganzi na kusikia miguu na mikono kuwa ya moto

  Habari wa JF, Mimi ni kijana wa kiume wa miaka 32. nina tatizo la miguu na mikono kuwa ya moto na pia kuwa na ganzi ni tatizo ambalo limeanza kama wiki 4 zilizopita saa nyingine hata nikivua nguwa huwa najihisi kama sijavua ngu nahisi kama ninazo mwilini. Nimekwenda hospitali moja hapa Dar...
 2. Muk

  Msaada wa jinsi ya kuformt samsung galaxy S4

  Habari wa jf naimani na wataalumu wa humu ndani naombeni mnisaadie kujua jinsi ya kuformat samsung galaxy S4 maana nimeshindwa kufanya. msaada wanandugu natanguliza shukrani sana
 3. Muk

  Msaada: Kwa yeyote mwenye kuweza kunipa majadiliano ya mjadala wa richmond uliofanyika bungeni

  Habari wa jf tafadhali kwa yeyote mwenye kuwezakunipamajadtliano ya mjadala wa richmond uliofanyika bungeni mjini dodoma anisaidie niweze pata, maana nauhitaji kujua uliendaje? Maana siye wengine kipindi hichi tulikuwa bado wadogo kuweza kupata nafasi ya kusikiliza yani nilikuwa darasa la 6...
 4. Muk

  Kufutwa kwa vipengele vya ukomo wa ubunge wa miaaka 15 kwenye rasimu ya katiba

  Inasikitisha sana kwa wajumbe wa bunge maalumu la katiba kufuta kwa vipengele vya mbunge kuwajibishwa na wananchi walio mchagua kwa kushindwa kutimiza majukumu yake na kile kipengele cha ukomo wa ubunge kwa miaka 15 chanzo itv news saa mbili usiku ihi kweli wale walio out ya bunge hilo na walio...
 5. Muk

  Misa ya kumuaga marehemu Sr. Kapuli wa parokia ya Makoka aliyepigwa risasi

  Wapendwa wana jf leo inafanyika ibada ya kumwaga dada yetu mpendwa sr kapuli wa parokia ya makoka aliyepigwa risasi na kupoteza uhai wake tumwombee kwa mungu aweze kupumzika kwa amani
 6. Muk

  Basi la Princess Muro laungua maeneo ya Bahi Dodoma

  Habari wanaJF, Leo mida ya saa kumi jioni basi la Princess Muro limeungua eneo la Bahi mkoani Dodoma ila hakuna mtu aliyepoteza uhai.
 7. Muk

  BASI LA PRINCE MURRO LAUNGUA MAENEO YA BAHI MKOA WA DodomaMA

  Habari wana Jf Leo mida ya saa kumi jioni basi la prince murro limeungua eneo la bahi mkoani dodoma ila hakuna mtu aliyepoteza uhai
 8. Muk

  Natafuta msichana wa kumuoa

  Habari zenu wadau. Mi ni kijana wakiume nina umri wa miaka 30 Nimejiajiri. Natafuta msichana wa kumuoa awe ma umri wa kuanzia miaka 23 hadi 30 ukiwa tayari ni PM.
 9. Muk

  Machine ya kubet inacost kama shillingi ngapi maana napenda minus ili nianzishe

  Habari zenu wadau Jamani napenda kujua cost za kuanzisha issue ya kubet games yani uendeshaji na machine kwa ujumla.
 10. Muk

  Swali la ufahamu. Je mdhamini wa ligi kuu bara anapata mgao wa viingilio?

  Wana Jf Napenda kujua kama Mzamini mkuu wa ligi kuu bara je anapata mgao unao tokana. na viingirio vya kuangalia mechi?
 11. Muk

  Pongezi kwa askari trafic waliokuwa wakiongoza magari kwenye daraja la mto mpiji leo

  nawapa pongezi za Zati kabisa kwa askari walio kuwa wakiongoza magari kwenye hilo daraja maana pamoja na maji kujaa kwenye hilo daraja ambalo lipo mbele kidogo ukivuka mizani ya kibaha milemoja ukiwa unaingia dar jamaa walitoa msaada mkunwa sana. Pongezi kwao. jamaa walivua viatu na...
 12. Muk

  ukiwa suspended waweza andika barua ya kurisign?

  habari wana jf Mimi toka wiki iliyopita nimekuwasuspended kutokana na matatizo ya office so napenda nijue kama nawezakurisign? Naombeni ushauri
 13. Muk

  Ukiwa suspended waweza andika barua ya kurisign?

  habari wana jf Mimi nikuwasuspended from job for unknown period. Je naweza nikarisign?
 14. Muk

  ukiwa suspended waweza andika barua ya kurisign?

  habari wana jf. Mim nimekuwasuspended from work for unknown period kutokana na matatizo hapo job toka wiki iliyopita je naweza kurisign?
 15. Muk

  Tofauti ya imani ya makanisa inanifanya nishindwe kumuoa binti nimpendaye.

  Habari zenu wana jf. Mimi ni kijana wa umri wa miaka 30 sasa, nina mahusiano na binti mmoja na nampenda sana naye pia ananpenda. nipo naye kwenye mahusiano sasa ni mwaka na miezi miwili na nataka nimuoe ila tatizo ni utofauti wa imani ya madhehebu yetu, mimi na mkatoliki na yeye ni mpentekoste...
 16. Muk

  messi messi messi

  dogo kweli yupo poa na anaweza maana jana karudi na katupia 2. nampa big up.
 17. Muk

  Msanii top c aliyeimba wimbo uliyotamba wa "sababu ya ulofa" aweka mahabusu - mbulu

  Msani wa mziki wa kizazi kimya yani bongoflava top c juzi usiku kwenye mkesha wa mwaka mpyaalikamatwa na kuweka mahabusu na polisi wilayani mbulu kwa kosa la kulewa paka kushindwa kujitambua na kuleta fujo.
 18. Muk

  Kwa anaye mjua alicious dada aliye umba na juliana - mpita njia

  Wana jf kwanza nawapeni salamu. Jamani naomba kwa mtu anaye mhua huyu dada ( alicious) pls naomba anielezee historia yake kwa ufupi na jinsi ya kumpata maana namzimia sana. Natanguliza shukrani
 19. Muk

  Kwa anaye mjua alicious dada aliye umba na juliana - mpita njia

  Wana jf kwanza nawapeni salamu. Jamani naomba kwa mtu anaye mhua huyu dada ( alicious) pls naomba anielezee historia yake kwa ufupi na jinsi ya kumpata maana namzimia sana. Natanguliza shukrani
 20. Muk

  Lugha kama hii inafaa kwa matangazo?

  wana jf habari zenu, Kuna tangazo linaoneshwaga chanel 5 linalosema" fupi tamu ndefu inakela" mimi nimeshindwa kabisa kumwelezea mtoto wangu hilo tangazo lina maanisha nini baada ya kuniuliza. Sasa kama wenzangu mnajua nisaidieni.
Top Bottom