Ebola ni gonjwa la kutisha sana, hii ni kwasababu huambikiza kirahisi sana, huua haraka na vibaya sana na halina tiba mpaka sasa! Tunaambiwa gonjwa hili linasababishwa na kirusi kinachopatikana kwenye nyani “kuruka”(mutate) na kuweza kumwathiri binadamu.
Mnamo tarehe 21/8/2018 Serikali ya...
Wa Tanzania wenzangu mtandao wa vodacom unatuibia hela mchana kweupe bila kujali na hakuna popote tunapoweza kushtaki.
Huduma zao za kutuma pesa ni sawa na ujambazi wa kuvunja na kuingia kabisa sababu wanachukua hela yako halafu hawafikishi kwa mhusika na kukwambia kuna "tatizo la mtandao" na...
Habari wadau.
Nina kodisha mashamba yangu huko Nyanzwa Ruaha Mbuyuni na Mgama Iringa. Bei ni laki moja na nusu kwa eka. 150,000/=. Kote kunafikika kirahisi kabisa na gari maana moja liko barabarani kabisa na lingine sio mbali na barabara kuu.
Kwa Nyanzwa Ruaha mbuyuni unaweza kuwa unalala gesti...
Ni mambo ya ajabu na mysterious. Angalia youtube yake hapa:https://www.youtube.com/watch?v=yIfU41BICf4<br>
Na maelezo yake haya (anayeweza kutafsiri na atafsiri) http://vigilantcitizen.com/sinistersites/sinister-sites-the-georgia-guidestones/<br><br>
Amri hizi kumi zilizoandikwa na watu...
Ni mambo ya ajabu na mysterious. Angalia youtube yake hapa:https://www.youtube.com/watch?v=yIfU41BICf4
Na maelezo yake haya:(anayeweza kutafsiri na atafsiri) Sinister Sites: The Georgia Guidestones
Amri hizi kumi zilizoandikwa na watu wasiojulikana kwa lugha kuu za dunia 8 tofauti kikiwepo na...
Ni mawe matati yaliyowekwa huko Marekani na watu wasiojulikana mpaka leo hii yakitoa amri 10 zingine za dunia kwa lugha 8 za dunia kikiwepo na kiswahili.
Sababu na tumia simu siwezi weka maelezo mengi kwa kiswahili. Naomba wadau kama mshana jr MziziMkavu et al ku nyambulia zaidi...
Nimekaa sehemu na maji yangu na nyagi pembeni nikaskia nyimbo kali sana. Mhudumu hajui title ila kaniambia ni kala jeremiah na roma.
Hawa vijana hatari.
Naomba mwenye clip na lyrics aweke. Chorus inasema wana nchi mnamsikia mheshimwa aa?
Nikiwaona hawa vijana nitawapa hela kama shukrani
Haya wadau nimekuja Tanga kwa GPS sijui A wala Be. Niliosikia ga tu waja leo ila kuondoka majaliwa. Nambie ni wapi pakwend shangaa shangaa.
Nimekuja for business AND pleasure.
Habari za mida hii wadau,
Kwa mda mfupi sana tumeshuhudia ongezeko lakasi sana la wachina katika nchi yetu. Kwa kwelu hasa kwa wakazi wa dar, ni dhahir kila mmoja kashuhudia hili. Wapo kuanzia Mikocheni mpaka Manzese ndani kabisa huko.
Pamoja na ongezeko kwa number hawa watu wamekua ni...
Mdada kanikosha sana huyu. The confidence, intelligence mixed with the beauty is the most attractive combination in a woman. Namcheki hapa BBC mpaka mate yamenijaa mdomoni.
Mtu atupie picha.
Ukitaka kuijua Marekani na CIA angalia hio mivie yenye title kill the messenger.
Hii ni kwa ajili ya ma anko ruckus wote wanaojipendekeza na ulaya na kuona wazungu wao ni malaika. Sitataja majina wanajijiua.
Here is the plot
Based on the true story of journalist Gary Webb, the film takes...
Ukitaka kuijua Marekani na CIA angalia hio mivie yenye title kill the messenger.
Hii ni kwa ajili ya ma anko ruckus wote wanaojipendekeza na ulaya na kuona wazungu wao ni malaika. Sitataja majina wanajijiua.
Here is the plot
Based on the true story of journalist Gary Webb, the film takes...
Wadau hili swala mnalioneje? Huwa napenda sana ku analyse biashara tofauti kila mahali niendapo, kuna swala linanishangaza mara nyingi. Unakuta kuna sehemu mbili ziko eneo moja lakini mmoja anabiashara sana kuliko mwenzake wakati logical reasoning inaonyesha mwenzake ambaye hana wateja ana...
Wadau weekend hii nimeamua kupita hizi apartments za Upanga hapa na mwenzangu kuangalia apartment ya kupanga/kununua.
Aisee, nimeshangaa sana. Apartment zote ni kuanzia dola 1500 mpaka 3000.
Hio ni mil 2.6 mpaka mil 5.2 kwa mwezi. Hakuna apartment open ya dola 1500 iliyoko wazi na majengo...
Habari wadau, nimejaribu ku google ila nimeshindwa pata NGO zilizopo Tanzania zinazo dili na kuokoa Tembo wetu hapa Tanzania. Article zingine ni za zamani na ni habari tu lakini sijaweza pata specific NGO ya kuweza kuwa contact.
Naomba mdau yeyote mwenye jina na mahali ilipo ofisi yeyote ya NGO...
Wakuu TEAM Lowasa ocampo four Pasco na wengine Friends of Lowassa.
Je kuna ambae anayo ile hotuba aliyoitoa Lowassa pindi anapojiuzulu uwaziri? Naomba mtu mwenye access nayo a copy na kuweka hapa kimaandishi hata kwa you tube.
Ile hotuba ina ujumbe mkubwa sana. Bahati mbaya mimi natumia...
Habari wadau,
Tukiweka ushabiki pembeni ni dhahir serikali yetu chini ya CCM imefeli katika kuleta maisha bora kwa watanzania wengi. Kiwango cha kufeli hicho kinaweza kujadilika lakini swala la kufeli ni dhahir.
Vyombo vya habari vimeweza kuonyesha umma ufisadi,kiburi, dharau, wizi...