Search results

  1. black jeus

    Mtoto anatokwa na jasho hata Kama ni nyakati za baridi

    Habar JF Doctor, Nina mwanangu ana miezi sita, anatokwa na jasho ana kichwan akiwa amelala, amekaa au anakula. Je, hali hii inasababishwa na nini? Je, ina madhara gan kwenye afya yake? Naomba msaada ta tafadhali!
  2. black jeus

    Nina shahada ya Uhandisi ya ElektronikI na Mawasiliano, ninatafuta kazi yoyote

    Wakuu nawasalimu, Mimi ni kijana niliyemaliza chuo ngazi ya shahada ya uhandis kitivo cha Elektroniki na Mawasiliano natafuta kazi yoyote nina uzoefu ufuatao: 1. Radio and tv transmission 3 years 2. Configuration of 2G,3G na Drive test 3. Computer application, hardware maintanace na kidgo...
Top Bottom