Search results

 1. VIKWAZO

  MSAADA WINDON

  Salamu wakuu , Nina Stationary yangu sehemu nimepata changamoto Mbili kwenye pc , pc moja Ina install software/drive za Epson printer w-345 lakini inakuwa incomplete hivyo siwezi ku print Pc nyingine inaniambia Kama hapo Chini kwenye picha Naomba msaada mwenye kuweza haya matatizo, pia...
 2. VIKWAZO

  Natafuta dada wa stationery ukonga madafu

  Natafuta dada wa kazi kwa ajili ya Stationery iko ukonga madafu tuwasiliane kwa email bunyinyiga2014@gmail.com, Form 4 mwenye speed nzuri ya typying pia anaweza apply maana mafunzo kazini inawezekana.
 3. VIKWAZO

  Nauza samsung tablet E

  Nauzi samsung tablet E, imetumika Kwa miezi miwili , inauzwa Tsh 450,000 Inakuja Na cover Na accessories zake zote simu 0656 064808
 4. VIKWAZO

  Nauza Iphone 5

  Salamu wakuu Nina iphone 5 yenye 16Gb , nyeusi , used ( Mimi mwenyewe toka ikiwa mpya na ilinunuliwa uk ) Bei sh 300,000 Tuwasiliane 0655064808 e
 5. VIKWAZO

  Natafuta mfanyakazi wa stationary ( Dar )

  Kama kichwa Cha habari hapo juu, Eneo la Kazi ni Dar Temeke Chang'ombe (DUCE) SIFA - mchapakazi -mbunifu - awe na uzoefu wa muda mrefu miaka 2 au zaidi, Kama aliwahi kufanyakazi sehemu yenye Chuo ni bora zaidi - awe na network Yaani wataje wanaomfahamu na kumpa kazi - awe anajua misingi ya...
 6. VIKWAZO

  Msaada wa SPARE part ya CANON iR5870Ci touch screen

  Wakubwa salamu Kama nilivyoeleza hapo juu nina mashine ya CANON iR5870Ci inatatizo la TOUCH SCREEN, panel ya namba inafanyakazi na display inafanya kazi, ila TOUCH imekufa ndio hakuna command inatuma kwenye mashine. Nimewasiliana na hawa jamaa wa canon city naona nao ni wababaishaji...
 7. VIKWAZO

  Apartment for rent (Mchikichini Project NHC) Ilala

  ==========++++++BRAND NEWS APARTMENT+++++================ Mchikichi Residential Apartments are located at Ilala-200 metres off Kawawa Road, just less than 2kms from City Centre with easy access to the airport and all other important parts of the city. The three bedroom apartments have a spacious...
 8. VIKWAZO

  Msaada : Touch ya Printer ( canon iR5870 ci ) haifanyi kazi

  Salamu wakubwa, Naomba msaada printer tajwa hapo juu ilikuwa inafanyakazi vizuri, lakini iliposafirishwa toka imefika TOUCH haifanyikazi ( in display lakini hakuna response ninapotaka kuitumia kutuma command kwenye printer) 1. Kwa mwenye kujua shida ni nini? ushauri wa nini cha kufanya...
 9. VIKWAZO

  Joining instruction ya Mbalizi Institute of Health Science

  Salamu ndugu Wakuu namba msaada kupata joining instruction ya chuo taja, kuna bwana mdogo amechaguliwa kwenya hapo ila jamaa awajatuma join instruction mpaka sasa na chuo kimekaribia kufunguliwa, kwa mwenye nayo anisaidie tafadhali maana hata wizara haina wala NACTE, sasa kufunga safari dar...
 10. VIKWAZO

  Daraja la Kinyerezi labomoka

  Kuna lori lililokuwa limebeba kontena limejaribu kupita daraja linalounganisha UKONGA {BANANA)- SEGEREA- KINYEREZI NA MBEZI limeharibika kabisa kwa kutumbukia na lori , kwa sasa foleni ni kubwa magari yote yanarudi, kwa wanaotoka mjini ni vyema kutumia njia ya VINGUNGUTI kwenda KINYEREZI...
 11. VIKWAZO

  Msaada SKY BOX la UK kama linaweza shika channel Bongo

  Wakuu salamu, Naomba msaada kama kuna uwezekana wa SKY BOX (uk) kuweza kushika satellite likiwa bongo, Je kuna program yoyote inatakiwa? maana nilikuwa na box yangu sina kazi nayo nimeisafirisha bongo sasa wenyeji wanasema inawazungua hakuna channel inayoonekana, hiko kwenye searching tu...
 12. VIKWAZO

  Viwanja vyetu vya ndege vina mfumo wa ulinzi uliopitwa na wakati

  Salamu, Nimesoma maelezo ya mwakyembe kuhusu polisi waliohusika na tukio la upitishaji wa madawa hapo JNIA, kwa kweli inasikitisha sana jinsi tulivyo nyuma ya wakati katika mifumo yetu ya ulinzi hasa idara za serikali.[INDENT=2] Malezo ya waziri hapo juu yako bayana kwamba CCTV zinachofanya...
 13. VIKWAZO

  Waandishi wa habari na Jukwaa la Wahariri hii tabia ni sahihi?

  Gazeti la Habari leo limetoka na habari inayosema WANAOPINGA KODI YA SIMU HAWANA JEMA, hiyo habari imechapishwa kwenye gazeti lao la leo na linaendelea kuuzwa mtaani likiwa na hicho kichwa cha habari. Baada ya hiyo habari kusambaa kwenye mitandao ya kijamii ambapo Pinda alinyooshewa vidole...
 14. VIKWAZO

  Wito wa kusitisha tozo/kodi ya laini ya simu kufuatia mabadiliko ya sheria ya kodi 2013

  WITO WA KUSITISHA TOZO/KODI YA LAINI YA SIMU KUFUATIA MABADILIKO YA SHERIA YA KODI 2013 Wakati ni wetu kuonyesha kuwa mabadiliko ni sisi na si kusubiri mtu mwingine alete mabadiliko. Tembelea tovuti hii ( WITO WA KUSITISHA TOZO/KODI YA LAINI YA SIMU KILA MWEZI KUFUATIA MABADILIKO YA SHERIA YA...
 15. VIKWAZO

  Mbunge Serukamba atoa maoni kuhusu bomu la Arusha

  Kupitia mtandao wake wa twitter, Viongozi wetu awajitambui kabisa wala hawana sense of human, ameshindwa kusoma tukio?! CCM Kama chama discipline naona hakuna kabisa, wanaokota wapi Hawa watu wao? Ujasiri wa kuonge ujinga Kama huu unatoka wapi? Yaani Kama vile wanaona raha ya hivi vifo...
 16. VIKWAZO

  Faida na Hasara za uraia wa nchi mbili kwa mujibu wa serikali ya CANADA

  Member anaweza waingiza watanzania walioko nchi kwenye mkenge bila kujua, kumiliki uraia wa nchi mbili kuna harasa kuliko faida, lakini pia ukirudi Tanzania na kukutana na kasheshe za bongo uwezi sema unataka msaada wa kibalozi wa huko unakotoka maana wewe ni raia wa Tanzania, hata huo uwekezaji...
 17. VIKWAZO

  Vyombo vya habari na tuhuma ya uongo

  Salamu wanaJF, Nianze kwa kusema nasikitishwa sana na TABIA ya VYOMBO vya habari nchini kutuhumia kwamba ni waongo tena WAZIWAZI hasa na hawa VIONGOZI wa KISIASA (kwa wiki hii tu Spika na Mbunge wa Nzega wamevihita vyombo mbalimbali vya habari waongo) lakini cha ajabu hakuna hatua...
 18. VIKWAZO

  Tuvunje uhusiano na IRAN wanatufanyia MAOVU, matumizi ya bendera yetu kinyemela

  Habari za meli 32 za Iran kutumia bendera ya Tanzania zilivuja mwaka jana, lakini waziri wa mambo ya nje alitoka na taarifa kwamba ana taarifa na hayo matukio. Jana kuna meli ya IRAN imekamatwa na bendera yetu : Mwaka jana ilikuwa hivi US Lawmaker Asks Tanzania to Cancel Reflagging Iranian...
 19. VIKWAZO

  Polisi wa ukweli ukamata watekaji kama hivi

  Kuna raia mmoja wa uingereza alikuwa kwenye hatari ya kuua, lakini hata yeye akuwa na taarifa kwamba kuna wate wanataka kuua, taarifa zilimfikia baada ya polisi kumwambia alikuwa hatarini lakini wabaya wake wamekamatwa
 20. VIKWAZO

  Email za wabunge kwenye website ya bunge ni danganya toto

  Moja ya mambo muhimu kwa kiongozi bora ni mawasiliano ya uhakika na watu anaowaongoza, Inakuwa muhimu zaidi kama kiongozi husika ni mwakilishi wa kikundi au jimbo, maana maoni au uwakilishi wake lazima utokane na maisha au matatizo/mahitaji ya wananchi anaowakilisha. Hivi karibuni kuna...
Top Bottom