Kazi hii ni ya mkataba wa mwezi mmoja ambao unaweza kuongezwa. Mfasiri/mkalimani huyo, anatakiwa kuwa na sifa ya uelewa mzuri wa lugha zote mbili, alie na uwezo wa kufasiri kwa kasi na ufasaha mazungumzo ya papo kwa papo na hata yale ya sauti katika picha za video. Awe na ufahamu wa matumizi ya...
Natafuta wafasiri wanaoweza kufasiri lugha hizi kwenda katika Kiingereza: Bangala, Kizigula na Mai Mai.
Walio na uwezo huo,tafadhali karibuni inbox.
Asanteni.
Natafuta wafasiri wanaoweza kufasiri lugha hizi kwenda katika Kiingereza: Bangala, Kizigula na Mai Mai.
Walio na uwezo huo tafadhali waje inbox.
Asanteni.
Natafuta wafasiri wanaoweza kufasiri lugha hizi kwenda katika Kiingereza: Bangala, Kizigula na Mai Mai.
Walio na uwezo huo tafadhali waje inbox.
Asanteni.
Habari gani wakuu?
Napenda kuwataarifu kuwa tumeandaa chapisho tunalotegemea kuliingiza mitamboni ndani ya siku chache zijazo kuhusiana na ufugaji wa Kuku na samaki.
Kutokana na machapisho yetu kusomwa na watu wengi hapa Tanzania na katika nchi za Afrika Mashariki pamoja na mwamko wa watu...
Majority rule: Mfumo wa kimaamuzi unaofuata matakwa/ Maoni ya walio wengi.
Minority right: Haki ana/wana/zostahili mtu/kundi walio na sifa ya aina moja(Rangi, Imani, tabia, mtazamo) inayowaunganisha, wenye kuwa na idadi ndogo ya watu kulinganisha na ile ya makundi/kundi la watu wenye sifa zenye...
Can't you atleast ask yourself, what kind of a person in that so called designation, writes English in that form? Hao ni vilaza lakini wajanja wanaodhani wanaweza kuwaibia watu kirahisi!
Tatizo lako litakuwa limesababishwa na factors nyingine na si hilo neno "She". Hii ni kwa sababu ukiangalia kwa ufasaha wake , katika kiingereza huwezi kusema kwa mf;
"thats my she"! kama unavyodai mnatumia katika kiswahili chenu.
Nachoona mimi ni kuwa, kuna uwezekano umeathiriwa zaidi na...