Search results

 1. fungi06

  Sababu gani inayofanya meno ya mbele kufa ganzi ukingata barafu

  Za mida? Nimekua nikifikiria mno juu ya ili swala bila mafanikio Japo ni wazi kila mzizi wa jini uko connected mpaka kwenye ubongo naisi imnazifahamu nerves vyema? Basi kila jino mdomoni mwako liko connected na ubongo lakini turejee kwenye kichwa cha uzi kilivyo sema apo juu Kwa wale...
 2. fungi06

  Hivi braza Fid Q na yeye akiwa anashuti anapakaga make up?

  Naulizia tu maana pia naona Diamond ni mkali kuliko wiz kid sema lugha ndo msala.. Nauliza maana nimetoka kuangalia apa mwimbo wa bilnas anaimba kigumu ila kapakwa poda vibaya maana adi harufu inapenya kwenye screen ya tv yangu Je fid ana fill make up kwenye ile sura ya kingosha?
 3. fungi06

  Mwanamke wapimwe akili kabla ya kupewa mtoto baada ya kujifungua

  Nazani mtaniunga mkono kwa maana;- Kuna mwaka fulani nikiwa bado KCMC nilifanikiwa kuona jinsi kichaa cha kuzaa kilivyo kibaya na hatari mno yahitaji moyo mno kusoma huu uzi. Kuna mwanamke mmoja (jina kapuni) nilifanikiwaga kumfanyia operation baada ya kushindwa kuzaa normal basi akazinduka...
 4. fungi06

  Muvi gani ilikufanya uache angalia muvi zilizotafsiriwa?

  Jana nimemka na weekend vibe nikasema embu kwanza nicheki muvi kali niliyo download Ee bwana kuwasha gafla nakuta kumbe imetafsiriwa nikasema ewaaaaa bora ata nisichoshe akili kusoma sub title. Ghafla muvi imefika dk ya 10 sekunde ya 40 nikaona sub title ya muvi imeandikwa (dont come around me...
 5. fungi06

  Kama hukuzaliwa mwanaume au mwanamke ungependa uzaliwe kiumbe gani?

  Habari, Tuende kwenye mada jumla jumla. Binafsi kwakua nimechoka kuona unyanyasaji unao endelea bayana ya binadamu us if kuna binadamu wachache wanao tuona sisi kama wanyama (yani wanatutawala kama vile wanavyo tawala vikuku vyao bandani) Kulingana na wasomi wakwanza tokea duniani ikiwamo...
 6. fungi06

  Hivi kwa nini wanaume wako tayari kuwa na wanawake wenye mahusiano mengine tofauti na wanawake walivyo?

  Mapenzi ni hasara tupu... Za mida... Nimekua niko namawazo sana hii siku sijui labda ni kwa sababu sijaona sms ya nimpendae ikiji display..... But namaswali machache... Ivi kwa nini wanaume wengi huwa tuko tiari kuwa spare tier sana Nikimaanisha kuwa vijana wengi tuko tiyari kuwa na mke wa...
 7. fungi06

  Nembo ya TRA inamaanisha nini?

  Za mida? Niende kwenye lengo thubuti, hivi hii nembo ya TRA huwa inamaanisha ninj yani kama kuna mizani yenye mabano Alie ifikiria alilenga nini hasa? Kwa wale wazee wa picha twende sawa picha iyo apo chini Tunajua bendera na rangi zake ni nini kinamaaisha. Pia tunajua nembo ya taifa...
 8. fungi06

  Umeacha lini tumia taulo kujifunika kwenda bafuni?

  Mimi binafsi mataulo makubwa nimeacha tumia miaka ya adolf hitler nikiwa form 2 Nakumbuka ilipiga mvua kubwa mno nikachelewa kushuka bwenini nikakuta mzigo umetupwa kitandani kwangu akati nilikua nimeninginiza kweny chuma ya kitanda Kuunyanyua mzigo nikakut unarangi ya chocolate kumbe ni tope...
 9. fungi06

  Vitu vya kufurahisha kuusu kobe wa majini (kasa)

  Hivi ndivyo mdomo wake ulivyo kwa ndani Picha na buzzfeed Watu wengi wamekua wakijiuliza sana kuusu mdomo wake unavyotisha Ukiingia kwenye account ya ig kwa brykim official kwa kutumia biology na illustrator ameelezea vyema kuusiana na mdomo wa kasa Izo miba za mdomo kwa kasa humsaidi...
 10. fungi06

  Nyimbo za Navy Kenzo zaniongezea wateja mgahawani kwangu

  Unajua kila alfajiri hapa nchini Ujerumani ninafungua kamgahawa kangu; ni kagari nimekafanya mgahawa unaotembea. Sasa kuna sehemu apa karibu nimepata location nzuri ina mchanganyiko wa watu, nikaamua nipaki gari langu aina Fiat ndogo. Nikashusha spika zangu kubwa mbili nika-play nyimbo ilivo...
 11. fungi06

  Ni vema mtoto wa Kitanzania asome masomo yatakayomwongoza kufanya kazi aipendayo hapo baadaye

  Basi kama sirikali kweli inataka kusaidia taifa a kesho kurudisha hadhi ya Mtanzania kuw mzalendo na nchi yake basi pasipo na shaka lazima tuwe watu waku make opportunity kulingana na mazingira yetu. Basi nimekutuna na mzungu fulani nikiwa natoka kusoma, ana furaha na kazi yake ya udereva wa...
 12. fungi06

  Binafsi sioni umuhimu wa Teknolojia kama bado tunapiga kura kwa kupanga mstari

  Ninashangaa mno kuwa mpaka sa ivi tuna watu wenye uwezo wa kudukua mawasiliano ya watu ila amna mwenye wazo zuri laku rahisisha watanzania wote kupiga kura. Yani kwa jinsi bus la teleology linavyo kwenda kasi basi watu pia tunatakiwa tuendane na iyo kasi japo kwa maendeleo tu. Naomba ushaguzi...
 13. fungi06

  Asubuhi njema na Jamii forum (JF)

  Je unajua kua ukiamka ukakunja na kutandika kitanda chako vyema inakupa 98% ya kukuonyesha mafanikio yako kwa siku hiyo Je unajua kua... 1. Unaweza acha kuvuta sigara na vingine mda wowote unaotaka 2. Unaweza start exercising wherever you want 3. Unaweza kutembelea jiji lolote duniani unalo...
 14. fungi06

  Ugomvi bayana Alon Musk na warusha Rocket wengine USA

  Huyu jamaa ukiingia Twitter utaelewa sio mtu wa kawaida. Kuna kampuni mpya iko Marekani waafanya kazi wao kila kukicha wanaona afadhali ya jana Sasa kumbe kuna vitu wanaviita debris (majabali) ambayo yamekua yaki aribu mno rocket angani. Nazani mmeyaona kwenye kwenye muvi za Skyfi sasa basi...
 15. fungi06

  Orodha ya wadudu walevi kupindukia

  Ndugu zangu nimekua niki tahamaki tabia za hawa wadudu yani kuna kabaar apa jirani kapo classic kiasi. Ila kila nikienda kugida bia zangu lazima awa wadudu waje mezani ata walambe japo kidogo bia kabla na wao awajalala sijui ni kwa nini!! Na mimi nimekua sio mchoyo nikiwaona tu mezani nawaekea...
 16. fungi06

  Barafu inaelea juu ya maji almost 10 years!

  Kama barafu inauwezo huo inamaanisha nini? Je ni nyuzi za baridi kua kubwa mno? Kama barafu inaweza kuelea juu ya maji mda wote huo inamaanisha kua hata wewe unaweza kukaa au kufanya lolote duniani Amka dunia inakutizama
 17. fungi06

  Karibu tujifunze C++

  Kwanza kabisa bila kuboa tuanze na historia ya C++ ; C++ programming languagee ilitengenezwa (vumbuliwa) na Bjarne Stroustrup na timu yake ijulikanayo kama team bell maabara (at & t. USA) kusaidia utendaji kazi wa programm za computer kufanya kazi kwa njia ya usahihi. Toleo la awali mwanzo...
 18. fungi06

  Viumbe wenye uwezo mkubwa wa ubongo

  Duniani kuna viumbe vitatu tuu.... vyenye mpangilio sawia kwenye ubongo. Navyo ni:~ A. Binadamu B. Dolfine C. Gorilla Bila kusahau tembo mwenye ubongo mkubwa mno lakini uko fold ndani ya sehemu kubwa 3 ( nitaweka nyungu...kwanini wanao ubongo mkubwa mno, ila tunajua tembo uwa wanatembea...
 19. fungi06

  Picha zifuatazo ni kwa watu intelligence tu

  Zifwatazo ni picha kwa ajili ya watu intelligence tu. Sija zielezea maana zinaeleweka 1 2 3 4. 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 Karibuni mwenye nyongeza N.B; kama aujaelewa uliza
 20. fungi06

  Binadamu unapaswa ujue haya...

  Itatokea nini pale ambapo ukiwaeka pamoja mchwa 100 wekundu na wengine 100 mchwa weusi kwenye chupa moja??? Kikawaida hakuna lolote litatokea!! Lakini balaa litatokea pale Ambapo Utaitingisha chupa ambayo ndani yake wapo mchwa (wekundu na weusi) Mchwa wekundu wataamini adui ni mchwa weusi...
Top Bottom