Kitabu gani cha historia? Uzuri vitabu vina majina na mchapaji wake vitaje? Baba yake Freeman ametajwa kwa jina gani hata tukisoma hivyo vitabu tuweze kumfahamu?
Huyu Mkurugenzi Mwakabibi hawamuwezi, ana misingi imara chini yake inayompa majivuno. Hawamuwezi! Wataishia kuitwa kupewa maonyo. Hataki kufanya Kazi za wananchi, yeye kujiona na kunata tu. Kiburi hana mfano!
Hapa ndipo shida yetu ilipo, ukweli wenye mashaka. Unaposema amefia kwenye ofisi ya kata na hapo hapo unasema amefikia Sekou Toure, unaweka mashaka makubwa kwenye maelezo yako. Inapunguza umakini wa ufuatiliaji. Tutulie na kutoa maelezo ya kina na haja popote haki ilipoonekana kuminywa
Kabisaaaa, pesa halali zinazotokana na idadi ya kura za wabunge na madiwani waloshiriki katika uchaguzi Mkuu halali kwa mujibu wa sheria. Ni haki ya msingi ya kikatiba ya Chama Cha siasa kilichotimiza vigezo kama chadema
Watu wanaunda taasisi. Tabia za watu ndani ya taasisi zinafanya organization culture (tabia ya taasisi) Kama taasisi hiyo watu wake wanaishi kiunyumba bila kuoana, kama taasisi hiyo watu wake wana mahusiano ya wazi ya kingono pasipo kuwa wachumba, Kama taasisi hiyo utoaji wa fursa ni wa...
Sintofahamu inayoendelea katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimegubikwa na sarakasi na nadharia nyingi. Moja ikiwa viongozi wa kamati kuu wanafanya usanii kwa kujidai kuwafukuza wabunge wale 19 uanachama wakati walifahamu fika mchezo mzima na walikuwa wakifahamu wale wabunge...
Kitu ambacho wengi hatukielewi ni kuwa Chama chochote cha siasa ni taasisi ya umma. Hivyo mtu yeyote ndani ya umma huo, ana haki ya kikatiba kuhoji mienendo yake.
Pamoja na mambo mengine, Chama Cha siasa katika utekelezaji wa utawala bora ni lazima kiwe shirikishi, sikivu, chenye uwazi, chenye...
Hahahahaha! Hata CUF waliamini Lipumba sio Mwenyekiti wao. Safari ya mwisho wa enzi imeanza. Rufaa yenye mashiko, mahakamani huku wakiwa na bargaining power kubwa ambayo wewe huijui. Usiku kitanda kimoja, mchana mwingine mjumbe ya kamati kuu, mwingine Mbunge aliyeapa akavuliwa uanachama.
Mind...
Pole weeee! Kwa taarifa yako vita imetangazwa, akina Halima wamedokeza tu silaha zao, CHADEMA ndio imepewa nafasi ijitafakari. Hakuna aliyeomba msamaha hapo. CC imeulizwa kiaina, are you ok tuendelee na vita? Are you ready tumalizane wenyewe kwa wenyewe?
Pia wamemuasa Mwenyekiti, wamemwambia...
Hivyo ndivyo ulivyofundishwa shuleni? We subiri uone siasa ilivyo katika uwanja halisi. Ufahamu kanuni za uraiani zikoje. Mnasumbua watu na utoto wenu bure. Umeyaona Sasa eenh??
Ukidhani mshamba ni wewe peke yako? Washamba tupo wengi na kwa taarifa yako ndio wapiga kura sasa! Acha porojo za kujifanya ujuaji, kitu gani unachochadili kidichohusu kushika madaraka?
Uoga tu unakufanya kupepesa pepesa! Hakuna chochote pasipo wanasiasa, Hakuna chochote pasipo vyama vya siasa.
Halima na wenzake hawahamii CCM kwa kwa vile bado hawajafukuzwa CDM. Wamezuiliwa kuwa viongozi, bado wanachama. Azimio sio uamuzi. Wataendelea kuwa wabunge na azimio halitapitishwa!
Wajinga ndio waliwao. Waume zao, wajumbe wa kamati kuu si wajinga na ndio maana wamevuliwa nyadhfa zote lakini cc...
Hakuna mazito yoyote! Kama nchi imepiga kura wabunge wa upinzani wamepatikana wawili. Mazito gani ambayo wabunge wa wananchi waliwasikisha mawazo ya nchi yao yatatokea. Labda mazito yawe shangwe kubwa ambalo halijapata kutokea nchi nzima
Jamani, acheni kuota ndoto zisizoshikika. Akili hiyo iko wapi? Akili ya kuwapeleka wake wakawe wabunge kesho mambo yakiwa magumu wanawageuka? Hebu onesha alternative basi Kama kweli ipo.
Halafu haya mambo ya kuambiwa nchi haiendelei, hivi ukilinganisha na muda gani na nchi gani?
Msije kuwa...