Search results

 1. Muangila

  Bsc in Wildlife Management

  Heshima kwenu wana JF! Nina dogo amaemaliza form six na kupata Div 2 ya point 11 na alisoma PCB malengo yake aliomba Bsc in Medicine,Bsc in Laboratory na Bsc in Nursing lakini zote amekosa na amechaguliwa SUA kuchukua Bsc in Wildlife Management. Sasa swali langu kwenu VP hii Bachelor ipo vizuri...
 2. Muangila

  Airtel mnajifukuzia wateja kwa kufungia fungia line bila utaratibu

  Namiliki line ya airtel toka ikiitwa Celtel ikaja Zain na kwa sasa airtel. Lilipokuja zoezi la kusajili nilisajili Ila baada ya muda niliambiwa laini yangu haijasaliwa, nikaamua kufanya usajili mara ya pili tena kwa kulipia hela nikadhibitisha kuwa nimesajiliwa kupitia number maalum. Juzi juzi...
 3. Muangila

  AZAM TV mnaamanisha nini kutulazimisha kuangalia taarifa ya habari via Azam App?

  Siku za hivi karibuni Azam Tv wamekuwa hawarushi taarifa ya habari ya saa mbili usiku kwa kisingizio kuwa ni sababu zilizo nje ya uwezo wao. Lakini baadae wameanza kutwambia wateja wao tuingalie Azam news via Azam app kwa wenye smart phone. Jambo hili binafsi linanichanganya, inawezekanaje...
 4. Muangila

  Msaada kwa Mafudi ujenzi:Nawezaje kumaliza tatizo la fugus zinazoharibu ukuta.

  Heshima kwenu mafundi na wana JF wrote! Hapa kwangu nina tatizo la kuta za nyumba yangu kupukutika rangi sehemu za chini nimerudishia rangi lakini baada ya mwaka tatizo linajirudia . Naomba ushauri wa kiufundi kama kuna rangi special au namna yoyote ninayoweza kufanya kutibu hali hii
 5. Muangila

  Kukata umeme kwenye taasisi za umma wananchi ndo wanaoumia na si waliozembea kulipa

  Hivi karibuni tumeshuhudia kutekelezwa kwa agizo la mkuu wa nchi la kuwaruhusu TANESCO Kukata huduma za umeme katika taasisi za umma zenye madeni sugu ambapo kule Arusha Jeshi la Polisi na Hospitali za serikali wamekatiwa umeme. Binafsi naona wanaoumia kutokana na kadhia hii sio wale...
 6. Muangila

  Kufuatia TCRA luxuries kampigia za mawasiliano faini watumiaji WA mtandao tunafidiwa vipi?

  Kufuatia TCRA kuzitoza faini ya Tsh 600 million kampuni Kadhaa zinazotoa huduma za mawasiliano kwa kosa la kutoa huduma chini ya kiwango nimejikuta najiuliza maswali yafuatayo? 1.Sisi walaji (watumiaji wa mtandao ya simu na mawasiliano kwa ujumla) ndio tumeathirika kwa kukosa huduma sahihi na...
 7. Muangila

  Hii msg inanisumbua sana kwenye laptop msaada plz..!

  Nina laptop yangu ilikuja na window 7 starter kila mara ninapokuwa nafanya shughuli zangu in a display massage hiyo hapo chini Niki cancell inarudi tena na tena nikibonyeza continue bado inarudi nikaona nitoe window niirudishe tena bado msg ni ileile Naomba msaada kwa anayefahamu namna ya...
 8. Muangila

  Najma Abdalah wa RFA unajua tofauti ya IMF na IFM kweli?

  Leo katika kipindi cha yasemavyo magazeti kinachorushwa na Radio Free Africa mtangazaji Najma Abdallah aliisoma habari inayosema "IFM waionya Tanzania" nijuavyo mimi IFM ni Chuo cha usimamizi wa fedha nikasubiri asome kwa undani lakini akaendelea kutaja kuwa IFM ni shirika la fedha duniani...
 9. Muangila

  Nawezaje kupiga videocall kwenye Tecno c9?

  Wadau nimenunua simu tajwa hapo Juu lkn kupiga video call nimeshindwa Naomba maelekezo kwa anayefahamu.
 10. Muangila

  Hongera dada Jackline Silemu wa ITV kwa uendeshaji mzuri wa kipindi cha Kipima Joto

  Baada ya kundoka Mzee Masako nilijiuliza ni nani atavaa viatu vyake katika kipindi cha Kipimajoto. Lakini kwa muda mfupi ambao umeendesha kipindi hiki umekitendea haki kwa 100% na umekiendesha kwa umahiri mkubwa hasa kwa vipindi viwili vilivyopita kuhudu Fao la kujitoa na Maafa ya Kagera...
 11. Muangila

  Sijakuelewa mkuu wa wilaya ya Geita

  Akiongea kwenye hafla ya utoaji vyandarua kwa wanafunzi Mkuu wa wilaya ya Geita Mwl Kapufi amewaamuru askari polisi na vyombo vingine vya dola kumkamata mtu yoyote atayekutwa ametumia chandarua kuzungishia bustani ama kufunikia vifaranga. Wasi wasi wangu ni kuwa sioni kosa kisheria kwa mtu...
 12. Muangila

  Msaada laptop haikamati internet

  Habari wadau? Nina Laptop yangu ambayo nilikuwa naitumia kwa shughuli mbalimbali nashangaa kwa sasa imegoma kupata internet japo nikiunganisha modem inaconnect vizuri na speed inakuwa poa tu lakini haifungui web yoyote Nimjaribu troubleshooting zote ikagoma nikapiga window chini nikaiweka upya...
 13. Muangila

  Clouds TV mnatia aibu

  Jana Clouds TV wakitangaza taarifa ya habari ya saa 2:00 usiku waliandika jina la rais wa JMT walimwandika kama JOHN PIMBE MAGUFULI hili ni kosa dogo la kiuandishi lakini wahariri hii ni aibu kwenu kulikosea jina la Rais kuanzia mwanzo wa taarifa mpaka mwisho jirekebisheni.
 14. Muangila

  Natafuta fundi wa kuniwekea USB PORT kwenye music system

  Heshima kwenu wakuu Nina Music System aina ya Sony toleo la zamani ambazo hazina usb port ila inacheza tape za kawaida na dvd Nauliza kama naweza kupata fundi wa kuimodify kwa kuiwekea usb port japo ya mp3 mimi nipo Mwanza.
 15. Muangila

  Msaada wa haraka, mwanangu kameza kidude cha plastic

  Waungwana mtoto wangu wa miaka 6 amemeza kidude vha plastic wakati anacheza kwa mujibu wa maelezo yake ila analalamika maumivu ya kifua anasema kimekwamia kifuani. Naomba mwenye kujua namna ya kumsaidia mtoto aliyemeza kitu ni kwamba hakijakwama ila inaonekana kimekwamia maeneo ya kifuani kwa...
 16. Muangila

  Tuwe makini na vitisho hivi dhidi ya wataalam hasa madaktari na manesi

  Siku za hivi karibuni kumeibuka malalamiko makubwa dhidi ya Madaktari na manesi kuhusu utendaji kazi wao kutoridhisha. Lakini kinachonisikitisha ni serikali kufumbia vitendo vya wananchi/wagonjwa kutofuata utaratibu na kutumia lugha ya vitisho kwa wataalam wakiwatishia kuwa wasipofanya...
 17. Muangila

  Hongera Mama Tibaijuka kwa kutufariji wana UKAWA

  Jana nimemuona mama Anna Tibaijuka kwenye msiba wa diwani wa CUF aliyeuawa kikatili huko Kimwani jimbo la Muleba kusini. Pamoja na kutokukubaliana na wewe kiitikadi lakini napongeza kitendo chako cha kuudhuria msibani na kulaani mauaji ya namna hii tofauti na wana CCM wengine HONGERA PROFESSOR.
 18. Muangila

  Wapi nitapata betri ya Laptop Mwanza?

  Wakuu nina Laptop aina ya Acer betri yake haikai na charge hata kwa lisaa limoja natafuta wapi naweza nunua bwtri mpya kwa Mwanza Nitashukuru nikipatiwa na bei ...
 19. Muangila

  Solar za Mobisol vs solar za madukani

  Wadau naomba kwa mwenye uzoefu juu ya hizi solar zinazouzwa na kampuni ya mobisol na hizi za madukani ni zipi nzuri kwa wenye uzoefu nazo? maana ukilinganisha bei ya dukani na hizi za mobisol hawa mobisol bei zao zipo juu sana ila suala la ubora ndo sijalijua naomba ufafanuzi plz....
 20. Muangila

  Ni halali Mbunge mteule kila kiapo cha Uwaziri kabla ya kile cha ubunge?

  Tumeshuhudia wabunge wanoteuliwa na rais wakila viapo vya uwaziri na unaibu kabla ya viapo vya ubunge swali langu ni kuwa je kwa sasa hawa mawaziri ambao ni wabunge wa kuteuliwa wanakidhi matakwa ya kisheria yanayotaka waziri kuwa mbunge?
Top Bottom