Search results

 1. Alphonce Kagezi

  Katiba mpya ni mhimu miaka ijayo

  Kulingana na hali ilivyo kisiasa kijamii kiuchumi Tanzania na Duniani kwa ujumla Ni mda sahihi sasa mchakato wa rasmu ya Mh Jaji J Walioba .Ilejeshwe maoni yangu . Mchakato huo kwa kuwa rasmu ya Walioba ipo sasa Watalaam wa Sheria walioko kwenye mfumo wa umma (majaji,Mawakili wa selikali) na...
 2. Alphonce Kagezi

  Uchaguzi 2020 Kampeni za uchaguzi Tanzania

  Amani ni tunu yetu Watanzania kuipoteza ikatuponyoka tutalia kilio kikuu cha kusaga meno tangu mimba hadi wazee. Kila mmoja aiombee Tanzania ipite salama kwenye kikaango uchaguzi mkuu. Amani itamalaki. Haki idumishwe bila kumpokonya mwenye nayo. Vyeo ni dhamana za mda tu . Heshima hutoka kwa...
 3. Alphonce Kagezi

  Watanzania,wazazi,viongozi tuupige vita uharifu kwa pamoja bila kujali madhila yatakayotupata

  Hivi Karibu kumeibuka Uharifu wakutisha unaoendeshwa na Vijana wenye umri Kati 18+ 20_23.Uharifu huu unafanywa ktk Maeneo ya Mwanza. Makazi ya Vijana hao au uwenyeji wao,Baadhi ni Mwanza mjini na wengine ni wa Igombe B,A Kigote,Tx na Kayenze ndogo. Nilibahatika kunasa Mtandao wa wanaotoka...
 4. Alphonce Kagezi

  Mashirika kuua Home Based Care

  Ndg Watanzania wa Kada ya HUWANYU hasa wa Mwanza HBC imefia mkononi mwa watao tenda kwa Mashirika yalio ava koti huruma na chungu kumbe ni wachuma pesa za Wafadhili tu,leo nimepata taarifa mrithi wa life project iliopita aja na mapya ila ya kushangaza kama Sio kusikitisha afuta Watoa huduma...
Top Bottom